Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Sababu za kuongezeka kwa wagonjwa wa kisukari na Tanzania kuwa ya Pili kwa ugonjwa huo barani Afrika ni zipi?
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Kama huwezi kuwa Polite and Kind wakati wa kuhudumia watu wenye physical and emotional pains, sio ungesomea udaktari wa mifugo sasa.
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Kipindi watu wanalia kwa kulia baada ya Wananchi kuuliwa ila Msanii akafanya kibao kata ndio huyohuyo leo hii mnapush reli yake?? Kwamba nyie ndio mnaijua fedha sana au mnaona wengine hawana uhitaji kuliko ninyi au mnaona waliouawa hawakuwa wanataka hizo fedha eti?
I’m a whole expert 😁 @runjipapi
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Kadri mahusiano yako na Mungu yanavyokuwa imara,
ndivyo maamuzi yako, mwenendo wako, na kesho yako vinavyobadilika.
Hujachelewa, Anza leo 🙏🏼
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Unapoanza kukua , unaanza kuelewa baba yako alikuwa tu mwanamume pia anayejaribu kadiri ya maarifa aliyokuwa nayo kupambana na maisha. Msamahe , kwani pia alikuwa akiishi maisha kwa mara ya kwanza.
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Mnachekesha😂yaani vidinner, coffee, vimaua ndo eeh 😂 mwanaume anaye kupenda anatakiwa akupe akili ya Maisha namna Gani mpate pesa,namna Gani utaweza simama ata akiwa Chini akujenge uwe imara uache kuona vidinner ndo Kila kitu hamna cha tuvitu tudogo tudogo pewa Akili ya maisha
Mzee Mchafu 🎩 retweeted
Wanataka Taifa Stars washinde kwa raha baraka zipi!? As much as I love my country so much, sina mzuka wowote wa matokeo chanya kwa jinsi hali ilivyo... Tuna majeraha na hayaponywi kwa matokeo ya Taifa Stars bali kwa uwajibikaji.






















