Pinned Tweet
"And now these three remain: faith, hope and love. But the greatest of these is love." — [1 Corinthians 13:13]
1
3
553
Sarkodie retweeted
Alipokuwa mgonjwa London, Mwalimu Nyerere alimweleza mmoja wa wasaidizi wake majuto yake kwamba alikuwa amewatelekeza watoto wake na kumwachia Mama Maria mzigo wote wa kuwalea. Akakiri alijikita katika kulitumikia Taifa, kiasi cha kupuuza mahitaji ya watoto wake.
Sarkodie retweeted
Zamani kabla ya kulala nakumbuka madeni/
Ili kote nilipoacha vimeo kesho nipite pembeni/
Siku hizi kabla ya kulala nakagua wallet/
Nimeenda kwenye ATM niliyoacha kadi ya benki/
Sarkodie retweeted
Kamwe usijione unajua zaidi ya Boss wako.
#ElimikaWikiendi
Sarkodie retweeted
Je, sikukuamuru? Uwe na moyo wa ushujaa na nguvu; usiogope wala usifadhaike, kwa kuwa Bwana Mungu wako yu pamoja nawe kila uendako ~Yoshua 1:9
Sarkodie retweeted
Niwape story nyingine ya Nabii AYUBU? 😂
Ukisoma Biblia AYUBU 1:1, Biblia inasema Ayubu alikuwa mkamilifu na mnyoofu. 😎
Unajua kuwa mnyoofu wewe! Mungu alikuwa proud naye sana. Lakini kulikuwa wanoko 😂 wakasema, Mungu huyu unamuona yuko hivyo kwa sababu umempa kila kitu.
Chukua hivyo vitu vyake uone kama bado atakuwa mwaminifu kama unavyosema, Mungu akaona isiwe kesi ngoja tuone
Ghafla utajiri ukaondoka, mali zikapotea, watoto wakafa, na Ayubu akapata maradhi makali ya mwili.
Halafu wale wale Ma snitch wakaanza kusema, Hapana, lazima huyu kuna dhambi kubwa amefanya, Lakini pamoja na yote hayo, Ayubu aliendelea kushikilia imani yake.
Ndipo katika AYUBU 1:21 tunapata maneno haya
“Bwana alitoa, na Bwana ametwaa; jina la Bwana libarikiwe.” 🙏🏾
Guess what 😂 Baada ya kipindi chote cha mateso na maumivu, Mungu alimrudishia Ayubu kila kitu, tena zaidi ya alichokuwa nacho mwanzo. Hapo ni AYUBU 42:10.
Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana. Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
Usikate tamaa katikati ya story yako. Mungu bado hajaandika mwisho wake. ☺️
Nisikie Amen kutoka huku nyuma.
Sarkodie retweeted
Ukisoma Story ya Nabii Eliya katika Biblia baada ya kushinda vita dhidi ya karmel (1 Wafalme 19) Malkia Yazebel alimtishia kumuua😂akapata hofu kubwa akakimbilia Jangwani huko
Akiwa amechoka na kukata tamaa akamwambia Mungu “Yatosha sasa chukua Roho yangu” 😊 akiwa na uchovu mzito akalala, Malaika Bwana akamtokea na kumwambia “Amka ule maana una safari ndefu” kuna muda hata uwe umechoka kiasi gani Piga Msosi Lala mengine yatakuja tu 🚶♀️Nisikie Amen huko nyuma 🙏
Sarkodie retweeted
Hivi life is how you live it (Choices, hard working, risks) au yameshapangwa, tunayatekeleza tuu?
Some things dont make sense 😃
Sarkodie retweeted
Ni siku nyingine ya kukumbushana kwamba Kila Mtu ana KARAMA yake, KADRI yake na KUDRA yake!
Sarkodie retweeted
Zaburi 118:24
"Hii ndiyo siku aliyoifanya Bwana, tutashangilia na kufurahi ndani yake."
Sarkodie retweeted
“Mapolisi ni wauaji wenye kibali cha kikazi ndio maana nawaogopa kushinda hata majambazi”
Langa Kileo 2013
Sarkodie retweeted
“Nikarudi, na kuona chini ya jua, ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala si walio hodari washindao vitani, wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo; lakini wakati na bahati huwapata wote”


















