RCM (@robkidayo_) header
RCM (@robkidayo_) profile picture
Joined November 2024
Photo by RCM (@robkidayo_)Photo by RCM (@robkidayo_)Photo by RCM (@robkidayo_)Photo by RCM (@robkidayo_)
Huyu mwanamke Wangu ,natakiwa nipate tu PESA amenivumilia Sana ,akiamua kukimbia hata sahivi siwezi mlaumu.
115
199
32
1,653
144,251
Transnational repression is a crime against humanity All those responsible must be held accountable #FreeTwahaMwaipaya
2
37
100
3,140
MaCCM mlitueleza kwamba mmechaguliwa na watu milioni 31.9 sawa na 97.66% ya kura zote zilizopigwa, na 87% ya wapiga kura milioni 37.6 waliojiandikisha walijitokeza kupiga kura. Hii ni zaidi ya ยฝ ya raia wote. Sasa, nini lengo la maridhiano na kundi lililobaki la watu milioni 29, ambalo sehemu kubwa ni watoto wasio na sifa za kupiga kura, wakati tayari mnayo ridhaa ya wengi? Halafu, hivyo vyama vya mfukoni mlivyokutana navyo vilishiriki huo uchaguzi, vikakubali matokeo, vikashiriki sherehe za kuapishwa kwa mshindi, na kuthibitisha kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki kuwahi kutokea. Mnaridhiana na nani wakati mlichaguliwa kwa kishindo? Je, maridhiano hayo yanalenga kutatua mgogoro upi uliopo kati yenu?
9
73
299
7,743
Mwaipaya alikuwa mtu mwema tu alikuwa anatupa updates za mambo ya hapa na pale leo zaidi ya siku 20 haonekani. Kila nikiona hii WhatsApp channel yake naumia sana #FreeTwahaMwaipaya
3
11
21
523
Huko kwa Caicedo twitter wameita Hanifa Peter Crouch.
1
118
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
1
1
2
106
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ufanye Delivery ya viatu halafu akwambie umpe viatu akajaribu ndani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ utasubiri mwezi mzima bila mtu kurudi .
1
41
Scamming gone wrong by kennar ๐Ÿ”ฅ
25
218
10
1,461
88,879
Taarifa Kesi ya maombi ya Habeas Corpus inayomuhusu Grace Shio itatajwa leo katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, saa 8:00 kamili mchana.
1
43
176
1,600
๐Ÿ‘€
Wait for the last one ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’€
1
74
Naona biashara ya kwenda ikulu imepata maana mpya. Kama 'chama' chako hakijapata kura mahali propose mtajidaije wawakilishi. Wawakilishi wa nani? Bila shaka wajilishi
11
51
3
210
4,795
Serikali katili ya CCM na washirika wake wanajifanya kusahau kuwa wananchi ndio wahanga wakuu kufuatia umwagaji damu wa makusudi uliotokea Oktoba 29, 2025. Jambo lolote linaloitwa โ€˜maridhianoโ€™ haliwezi kuwa uamuzi wa wanasiasa tenaโ€”wananchi ndio wanastahili kuongoza na kuweka masharti yao. Ni wao ndiyo wamepoteza ndugu, jamaa na marafiki. Baada ya hatua hiyo tu ndipo mchakato wa kuandika Katiba Mpya unapaswa kuanza. Watawala mnatakiwa kuelewa, circumstances have fundamentally changed.
4
73
367
9,906
๐ŸšจAsakeโ€™s โ€œGratitudeโ€ is nominated for Best African Music Performance at the 2027 #GRAMMYsย ! ๐Ÿ†
366
3,864
481
28,299
891,938
Hakuna jambo linakera kwenye maisha ya sasa kama michanngo ya harusi asee
8
7
3
21
764
RCM retweeted
Good Morning X Family
5
23
38
607
TAARIFA KWA UMMA Mwenyekiti wa Jimbo la Kyela Mhe. Victoria Swebe anashikiliwa na Jeshi la Polisi tangu jana Jumatatu alipoenda kuitikia Wito wa RCO wa Mkoa wa Mbeya. Kwa Sasa yupo Kituo cha Polisi Central Mbeya Mjini.
2
59
1
192
1,999
????
Mtu yeyote alietuletea uchawa kwenye hii nchi alaaniwe popote pale alipo
45
16
2
116
5,510
RCM retweeted
Mtu yeyote alietuletea uchawa kwenye hii nchi alaaniwe popote pale alipo
4
5
1
26
5,605
Most Viewed Songs in the World (YouTube views) ๐ŸŽต 1. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท Despacito โ€” 9.2B 2. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ See You Again โ€” 7.1B 3. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Shape of You โ€” 6.8B 4. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Axel F โ€” 6.3B 5. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท Gangnam Style โ€” 6.1B 6. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Uptown Funk โ€” 5.9B 7. ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Shree Hanuman Chalisa โ€” 5.9B 8. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฆ Dame Tu Cosita โ€” 5.7B 9. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Waka Waka (This Time for Africa) โ€” 4.8B 10. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Counting Stars โ€” 4.6B 11. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Sugar โ€” 4.4B 12. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Roar โ€” 4.4B 13. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Dark Horse โ€” 4.3B 14. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Perfect โ€” 4.3B 15. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Let Her Go โ€” 4.2B 16. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Sorry โ€” 4.2B 17. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Girls Like You โ€” 4.1B 18. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Thinking Out Loud โ€” 4.1B 19. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Faded โ€” 4.1B 20. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช The Gummy Bear Song โ€” 4.0B 21. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Lean On โ€” 4.0B 22. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Bailando โ€” 3.9B 23. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Blank Space โ€” 3.9B 24. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Baby โ€” 3.8B 25. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Let It Go โ€” 3.8B 26. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Shake It Off โ€” 3.8B 27. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Mi Gente โ€” 3.7B 28. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ We Don't Talk Anymore โ€” 3.6B 29. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Closer โ€” 3.5B 30. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง New Rules โ€” 3.4B 31. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ The Lazy Song โ€” 3.3B 32. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Stressed Out โ€” 3.3B 33. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Hello โ€” 3.3B 34. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท Con Calma โ€” 3.2B 35. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Chantaje โ€” 3.2B 36. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Rockabye โ€” 3.2B 37. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Love the Way You Lie โ€” 3.2B 38. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Sunflower โ€” 3.2B 39. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท Calma (Remix) โ€” 3.2B 40. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Work from Home โ€” 3.1B 41. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Believer โ€” 3.1B 42. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง This Is What You Came For โ€” 3.0B 43. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ On the Floor โ€” 3.0B 44. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Chandelier โ€” 3.0B 45. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Rolling in the Deep โ€” 3.0B 46. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ A Thousand Years โ€” 2.9B 47. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ด Criminal โ€” 2.9B 48. ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Taki Taki โ€” 2.9B 49. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Treat You Better โ€” 2.9B 50. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ In da Club โ€” 2.8B 51. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Numb โ€” 2.8B 52. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Starboy โ€” 2.8B 53. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Alone โ€” 2.8B 54. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท APT. โ€” 2.8B 55. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ All of Me โ€” 2.7B 56. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Somebody That I Used to Know โ€” 2.7B 57. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Mayores โ€” 2.7B 58. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Rude โ€” 2.7B 59. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท No Me Conoce (Remix) โ€” 2.7B 60. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ All About That Bass โ€” 2.7B 61. ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ง Diamonds โ€” 2.6B 62. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท Te Botรฉ (Remix) โ€” 2.6B 63. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Someone Like You โ€” 2.6B 64. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Party Rock Anthem โ€” 2.6B 65. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ That's What I Like โ€” 2.6B 66. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Something Just Like This โ€” 2.6B 67. ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Wake Me Up โ€” 2.6B 68. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท ร‰chame la Culpa โ€” 2.5B 69. ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Take On Me โ€” 2.5B 70. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ lovely โ€” 2.5B 71. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ November Rain โ€” 2.5B 72. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Without Me โ€” 2.5B 73. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Side to Side โ€” 2.5B 74. ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฝ Nunca Es Suficiente โ€” 2.5B 75. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Worth It โ€” 2.5B 76. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Thunder โ€” 2.5B 77. ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ด Propuesta Indecente โ€” 2.4B 78. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Dusk Till Dawn โ€” 2.4B 79. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Heathens โ€” 2.4B 80. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Love Me Like You Do โ€” 2.4B 81. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท DDU-DU DDU-DU โ€” 2.4B 82. ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ท China โ€” 2.4B 83. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Billie Jean โ€” 2.4B 84. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ In the End โ€” 2.4B 85. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Don't Let Me Down โ€” 2.4B 86. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ X (Equis) โ€” 2.4B 87. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Sin Pijama โ€” 2.4B 88. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Dรฉjala Que Vuelva โ€” 2.3B 89. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ The Hills โ€” 2.3B 90. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ What Do You Mean? โ€” 2.3B 91. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Human โ€” 2.3B 92. ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Dance Monkey โ€” 2.3B 93. ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง Hymn for the Weekend โ€” 2.3B 94. ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Con Altura โ€” 2.3B 95. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ What's Up โ€” 2.3B 96. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Save Your Tears โ€” 2.3B 97. ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด Ay Vamos โ€” 2.3B 98. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Life Is Good โ€” 2.3B 99. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ Smells Like Teen Spirit โ€” 2.3B 100. ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท Kill This Love โ€” 2.3B ๐Ÿ“œ Note: Children's videos (e.g. Baby Shark) are not counted in this music-video ranking. ๐Ÿ“Š Source: Kworb (YouTube), views as of 16 November 2026.
66
259
40
2,037
308,499
TAL akizungumzia hati ya Muungano katika Bunge Maalum la Katiba mwaka 2014. Hii nadhani ni all time moment katika historia ya bunge la Tanzania. Hii siku alinukuu kitabu cha Mwakyembe kuhusu Muungano Mwakyembe mwenyewe hakuamini alichokiandika๐Ÿค 
10
33
1
223
8,633