
Founder & C.E.O @rickmedia.tz Blogger | YouTuber |Teacher
Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
- Tweets23.5K
- Following704
- Followers61.1K
- Likes113
Marioo anasema kama kuna msanii yeyote anataka kuachia wimbo wiki ijayo ni bora akae kimya kwanza. Ana jambo lake #RickMedia
Baada ya kuichapa Zambia 1-0 na kufanikiwa kuingia robo fainali ya #CHAN kila mchezaji wa Timu ya Taifa ya Kenya amelamba KSh2.5M ambazo ni zaidi ya Tsh 50.5.🤔🤔
Lavalava kwenye ubora wake ni mtu hatari sana. Sijawahi kumuelewa mtu anayesema Lavalava sio msanii mkali. Mimi kwangu ni kati ya wasanii watano wa Bongo Fleva ninaowasikiliza sana. Kamsikilize kwenye TIME utanipa Majibu
Hiki hapa kionjo cha wimbo mpya wa #Ciara akiwa amemshirikisha #Diamondplatnumz. Wimbo huu utakuwepo kwenye Album mpya ya Ciara inayotoka hivi karibuni
#Diamondplatnumz amechoka kupigishwa Shot mitandaoni. Anasema kuwa hajamteua yeyote kuwa msemaji wa kazi zake wala maisha yake. Ukisikia chochote kutoka kwa mtu tofauti na yeye na ukakiamini ni juu yako, yeye ahusiki.
Jamaa anatukumbusha kuwa mwanamke asiye bikra unayetaka kutumia mamilio ya pesa kwenye Mahari na Harusi, siku ya harusi atamualila mmoja wa X wake na atakupongeza kwa kumuoa. 😂😂
Ni kweli wajumbe wamekata jina lake ila kwa ujumbe huu wa #BabaLevo napata matumaini kuwa Kamati kuu inaweza kufanya maamuzi ya kumrudisha kugombea Ubunge Kigoma Mjini.
"MUNGU Akijaalia Baada Ya Wiki Moja Nitafuta Kila Kitu Kwenye PAGE Hii ...!
Na Nitaanza Maisha Mapya ...!!
Kama KUNA PICHA AU VIDEO Unayoipenda Basi Ichukue Mapema Maana Hauta ipata Tena"
Unauonaje ushiriki wa Wasanii Tanzania linapokuja swala la kupaza sauti kwa serikali juu ya changamoto mbalimbali kwenye jamii?
MDAU - Kuna mgongano wa uwasilishaji wa taarifa za ndoa ya #DiamondPlatnumz kati ya muoaji na watu wa karibu na muoaji. Diamond anasema "Nilishawahi kuoa" (Wakati uliopita). Tena anasisitiza kuja kutusimulia nini kilitokea baadae. Watu wa karibu wanampongeza Diamond kama tukio limetokea leo (Wakati wa sasa). Mfano mama Dangote anasema "Alhamdullillah limepita salama
Hongera mwanangu Naseeb kichwa na mkeo Zuhura".
Mdau anauliza mbona kama......
#Whats'Up Kitu gani kikitokea asubuhi unajua siku yako nzima itakuwa mbaya?
#ETrending Wakali wa Fashion, hii miwani tuipe jina gani? 😊
#ETrending Shabiki wa Rapa #YoungThug alieamua kuonesha Upendo wake kwa kuchora Tattoo ya Mashairi ya Ngoma ya #Digits lakini Bahati mbaya akayakosea badala ya kuandika "N*gga,hustlers don't stop,they keep goin" yeye akaandikwa "Horses don't stop They Keep Going".
.
Written by @lankatin.
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
#NewzFeed Wiki iliyopita Mwanaume mmoja aliefahamika kwa Jina la #GlennDeCicco, mwenye umri wa miaka 73 Alikamatwa na Polisi baada ya Ujumbe wake wa Facebook akitishia kumpiga Risasi Rais wa Marekani #DonaldTrump.
.
Polisi wanasema mtu mmoja aliwapa taarifa kuhusu ujumbe huo wa kutisha, na wakamtembelea DeCicco nyumbani kwake.
.
Maafisa wanasema DeCicco alionekana amekasirika alipokuwa akizungumza kuhusu maoni yake ya kisiasa. Walipomuuliza kuhusu machapisho hayo, wanasema alijibu, “Ilikuwa ni wazo tu nililokuwa nalo.”
.
Written by @lankating
.
#RickMedia
#EntertainmentChamber
















