Pinned Tweet
Usipoteze muda kuombea watu mabaya kwa maumivu walokusababishia. Kinachoharibu maisha ya mtu ni matokeo ya tabia zake — sio makosa alokutendea.
Funika, na ikibidi chana ukurasa wenye magomvi, visasi, visirani, maombi ya watu ni muhimu kwenye maisha yetu
Toa Chama then tia Keletso unaimaliza hii mechi, otherwise wata attack eneo la kagoma uliwe
Moja ya eneo ambalo Simba linawapa ubora ni eneo la mapana ya Uwanja, Gueye, Anincet, Na Mpanzu wakakuhakikishia FBs wa mpinzani wana kazi ya kufanya muda wote. Pamoja na mapungufu ya Kagoma uwepo wa mawinga Hawa unampunguzia sana kazi ya mufanya
6
173
Idea ya kupeleka game Zanzibar zenji ni moja ya idea ya hovyo sana inayofanywa na Viongozi wa Yanga, kucheza Zanzibar ni away from home na kama wataendelea kucheza kule wataishia kupata pointi 2 pekee kwenye michezo yote ya Nyumbani
5
124
Moja ya eneo ambalo Simba linawapa ubora ni eneo la mapana ya Uwanja, Gueye, Anincet, Na Mpanzu wakakuhakikishia FBs wa mpinzani wana kazi ya kufanya muda wote. Pamoja na mapungufu ya Kagoma uwepo wa mawinga Hawa unampunguzia sana kazi ya mufanya
Ni rahisi sana kuzungumza ila kutenda sio rahisi, unaona unavyoandika ilivyo rahisi? Then rudi kwenye maisha ya kawaida yana yrahisi huo?
Engineer Hersi hawezi kuipeleka Yanga popote pale,
Siku aliposema malengo ya Yanga ni ¼ fainal ,nikajua huyu ni Tapeli,hakujiandaa na muda alikuwa nao wakufanya Sajili za maana
Yanga na Simba wanaweza wasivuke hata makundi .
#mchambuzihuru
2
57
Maxi anahitajika sana kwenye kikosi cha Yanga, Mudathir extra touches zinaishambulia timu na bahati mbaya harudi kuongeza nguvu kwa defenders. Risk hata kwa Fred kuchukua nafasi yake
Mechi zenye pressing kubwa kama hizi ndio utajua kua Mudathir he is not a good passer
Mudathir Yahya mpaka sasa ni sehemu ya weakness ya timu pamoja na Boka, Muda hanyanyui kichwa na haendani na movements za wenzie huku Boka ile flanks hajaitendea haki hawapi wenzie option ya Mapana ya Uwanja
4
11
390

Kwa sasa Mudathir Yahya ndio mchezaji muhimu zaidi kwenye kikosi cha Fadlu ila kumuweka kwenye mizani Sawa na Feisal sio sawa. Wachezaji wawili tofauti ila in terms of impact kweli Mudathir since msimu umeanza amekua na msimu bora kuliko Fei
Sure, Kuna wakati tulikua tunalazimika kucheza mipira mirefu then unakuja kugundua haikua na impact kwa sababu ilikua ikipotea coz CF alikosa msaada, then tukaamua kudominate game kwenye half yetu tukawalahisishia kucheza low block, Then wao kila
Shida ya Serengeti Boys haikuwa mastraika, bali uwezo wa kufungua wapinzani hususan wanapoamua kucheza low block. Mechi dhidi ya Brazil na Ireland washambuliaji wetu walikuwa wanapokea mpira chini ya ulinzi mkali na hivyo kuishia kurudisha pasi tu mara nyingi. Hatukuwa tunatengeneza nafasi za wazi.
Dhidi ya Ireland tumecheza na centre forward watatu robo saa ya mwisho lakini hata mechi ingepigwa siku tatu mfululizo pengine tusingepata bao kwenye mazingira yale.
Ni suala la kujifunza zaidi kuliko kulaumu wachezaji binafsi.
1
21
Raphael Lucas retweeted

Replying to @scout_viral
Naona bora ata asingeitwa sjaona impact ake...yani inshort labda Kayanda tu kidogo wengne hao wote ni 🚮
Toure strength yake kubwa ni Aerial na nimetizama baadhi ya mechi zao, kudefend Aerial balls wako vizuri sana ila wana tatizo kwenye half spaces zote mbili ( kulia na kushoto) kwanini kwa Toure asianze Shalulile ambae itakua rahisi kufanya combination play
Nadhani itakua unyama Fadlu akiingia na frontline ya Mzize(LW), Toure(CF) na Zakouan (RW) na Toure wataipa tabu MC Alger ambao si bora kulinda box lao, atahitaji ubunifu wa Zakouan upande wa kulia kumsaidia Kazimoto.
1
3
89
Unatazama madogo wanafanya kila kitu sahihi isipokua kutengeneza nafasi na kuzitumia, Ireland wamepata nafasi 4 wameweka 3 ila kwa Serengeti Boys swala la kuzitumia hizo nafasi ni tatizo kubwa
Tatizo ninaloliona na Serengeti Boys, Stars, Yanga, Simba , Azam et linafanania kabisa. Tunadominate games ila hatuiamui. Nina maana ya kwamba hatudefine moments za kuimaliza game
1
3
58
Tatizo ninaloliona na Serengeti Boys, Stars, Yanga, Simba , Azam et linafanania kabisa. Tunadominate games ila hatuiamui. Nina maana ya kwamba hatudefine moments za kuimaliza game