Replying to @KennedyMmari
My great grandfather was really on demon time by marrying 33 wives because now anytime we meet all together as an extended family it looks like a political rally 💀
84
Uko uwezekano mkubwa wanaenda South Africa, ambako ni rahisi kupata Passport ya South Africa kwa rushwa. Wakishapata wanasafiri North America: Canada au US, au wanaingia Mexico kisha wanaingia kama illegals US.
Hii biashara inaonekana inalipa sana aiseee , Ethiopia watu Wana maisha ya shida sana , hivi huwa wanapita hapa Tanzania wakiwa wanaenda wapi hasa ? Kufuata nini?
Tunahitaji waandishi wa habari za uchunguzi kutuletea documentary na picha halisi ya hawa wahamiaji ambao kila siku tunaona wanakamatwa
79
Kwa mfano hapo, angemsaidia kufanya application ya hiyo permit na akalipia hapo hapo, akapita, kungekua na shida?
FACILITATION, RESTRICTION, or PROHIBITION?
I don't oppose the idea of him needing to pay or obtain a permit to fly a drone, considering the treatment Africans and non-Europeans often face in airports in Europe and America. But, the lack of a streamlined process for content creators to apply for, 'import' and use drones is the real issue here.
It can take a number of days, weeks or even months to obtain such permits, which doesn't make sense for someone traveling to Tanzania to create content for just a week or two.
Both online content regulations and drone flight regulations have stifled many potentially valuable content that could showcase our country positively. We should prioritize facilitation over prohibition.
Replying to @SNdandala
@SNdandala 💥🔥🔥
Kaka vipi tena??😂😂
@LelloMmassy
This quoted post is unavailable.
Beautiful ♥️
Jana tulifika kijiji cha mwisho kabisa mkoani Dodoma kwenye mpaka wa Mkoa wa Dodoma na Manyara. Kijiji cha Hurui, kata ya Kikori.
Tulifarijika kuona maendeleo mazuri ya ujenzi wa daraja la Hurui litakalokwenda kuunganisha mikoa ya Dodoma na Manyara na kufungua fursa mbalimbali kwa wananchi na hasa kwa wanawake na watoto wa shule waliokuwa wakipata changamoto ya kwenda shuleni kipindi cha mvua kubwa.
Extra-Terra or Terra? @KennedyMmari
Once you consider the possibility that the NHIs are not coming from “out there” just to visit, but instead are coming from “down there” where they have always lived, all of the secrecy and “national security” concerns begin to make sense. Even still, I say it’s time.
#ufotwitter
109
Replying to @KennedyMmari
@KennedyMmari what do you think?
Brazilian indigenous from Amazon, border with Peru, hear the word "Alien" for the first time. But when shown gray alien images they recognize it instantaneously: "these are underground beings, big ants that take your spirit underground"
84
Make us proud👏👏♥️
Landed safely in Brasilia, Brazil.
Glory to God!!!
Looking forward to having meaningful and transformative conversations, coming up with an action plan around policies that will enable an increase in youth and women political participation.
Overall, excited about the opportunity to learn, unlearn and relearn.
93
The best #Tanzania 🇹🇿🇹🇿
Jana, tarehe 21 Septemba, nilipata fursa ya mara ya kwanza ya kukutana na kufanya kikao cha kazi na Mabalozi wa nchi mbalimbali na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa waliopo hapa nchini. Tulijadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na nchi na taasisi wanazoziwakilisha hapa nchini. Nilipata nafasi ya kuelezea masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali na vipaumbele na mwelekeo wa Mwanadiplomasia Namba Moja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuhusu maendeleo ya nchi yetu na msisitizo wake kuhusu Diplomasia ya Uchumi. Pia tulijadili masuala ya kikanda na kimataifa na nafasi ya Tanzania. Tulikubaliana kuimarisha utaratibu wa mashauriano ya mara kwa mara na kuongeza ufanisi katika mawasiliano na mahusiano ya kikazi kati yao na Wizara yetu, na Serikali kwa jumla.
1
154
Replying to @pairagroup
@pairagroup
2024:
5✅
2, 6 & 4✅: EAC
Bonus: electric speed boats : lakes & ocean, microlights (country side and water bodies).
Teknolojia ambazo Tanzania inazihitaji 2024.
1. Smart Meters
Nikinunua umeme hakuna haja ya kuingiza namba kwenye Meter, na sio lazima niwepo eneo la nyumbani, nikiwa popote App inijuze umeme umebaki units ngapi, na ilete warning kabla umeme haujazima.
2. Sipaswi kwenda Supermarket ili kujua bidhaa fulani ipo.
App inipe taarifa za shelves nikiwa popote na niweze fanya maamuzi ya kununua nikiwa nyumbani plus ku order.
3. StarLink
Tunahitaji solution ya internet, haswa kwa maeneo ya vijijini na mabondeni, plus moving cars ziwe na access ya internet hilli ni very important.
4. Super App yenye all Activities za Kufanya Tanzania na bei zake, na namna ya kubook.
Utalii utasogea na hii.
5. Electric Bajaj & Boda Boda
Hizi zitasaidia kupunguza gharama za wese. Ukizingatia ndio usafiri unaotumika zaidi ya mwingine kutoa Daladala
6. Paypal
Bonus: Speed Boat from Dar to Tanga with a Stop to Bagamoyo & Pangani.
2
2
434





















