📌 Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Shirika la Posta Tanzania (TPC) tunawatakia Watanzania wote heri ya kumbukizi ya miaka 27 tangu kifo cha Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆🏆
📌 TUNAPIGA KAZI. TUNALETA MATOKEO. TUNANG’ARA KIMATAIFA.
#WorldPostDay
#OnePostalNetwork #InfinitePossibilities #WorldPostDay2026
#PostaTanzania
📌 Ndugu Mteja,
Asante kwa kuwa sehemu ya familia ya POSTA TANZANIA. Tunathamini imani yako kwetu na tuko tayari kukupa huduma bora zaidi.
#EMSMpakambele
#PostCargonaposta
#FikishanaEMS
#MpakaMbeleNaEMS
#Tumefunguafursa
📍DAR ES SALAAM
Shirika la Posta Tanzania limehitimisha rasmi ushiriki wake katika Tamasha la Kariakoo 2026, huku likitumia fursa hiyo kuwafikia wafanyabiashara moja kwa moja na kuwaunganisha na suluhisho la usafirishaji kupitia POSTCARGO na EMS kurahisisha biashara zao.
♦️KUTOKA IRINGA KWENDA MAHALI POPOTE DUNIANI, MIZIGO YAKO, TUNAIFIKISHA!♦️
Una biashara Kariakoo na una wateja Maeneo Mbalimbali Duniani? Usihangaike kutafuta usafiri!
Tuma vifurushi, bidhaa na mizigo yako kupitia huduma ya EMS sasa.
♦️SHIRIKA LA POSTA TANZANIA NDANI YA KARIAKOO FESTIVAL 2026♦️
DAR ES SALAAM
🗓️26/09/2026
Katika siku ya pili ya Kariakoo Festival 2026, Shirika la Posta Tanzania limeendelea kupokea wafanyabiashara na wageni mbalimbali waliovutiwa kufahamu zaidi kuhusu huduma za usafirishaji.
📌 Shirika la Posta Tanzania linatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wananchi wa Tanzania kufuatia kifo cha Mama Fatma Karume, mjane wa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa kwanza wa Baraza la Mapinduzi, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume
Shirika la Posta Tanzania (TPC), kupitia Kitengo cha Masoko Mbeya, limefanikisha ushirikiano na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya kwa ajili ya huduma za EMS.
Ushirikiano huu unalenga kuiwezesha CBE kupata suluhisho la usafirishaji wa nyaraka na vifurushi.
♦️Shirika la Posta Tanzania (TPC) linawatakia Mafanikio Watahiniwa wote wa Darasa la Saba.♦️
#EMSMpakambele #MpakaMbeleNaEMS #Tumefunguafursa
Posta Tanzania retweeted
Pleased to join this timely Ambassadorial Dialogue on advancing the right to health and global health equity through the UPR.
An important discussion on how the UPR can advance the right to health and global health equity.
Thank you @South_Centre and @CeHDI_health for convening.
The @South_Centre and @CeHDI_health are hosting an Ambassadorial Dialogue: Advancing the Right to Health and Global Health Equity through the Universal Periodic Review. Diplomats and experts will be discussing how the UPR can support global health equity.
📌 Shirika la Posta Tanzania linatoa pole kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kufuatia kifo cha mume wake Marehemu Hafidh Ameir Hassan, kilichotokea leo tarehe 07 Septemba 2026.
Inna Lillahi wa Inna Ilayhi Raji'un
♦️TUMIA EMS KUWAFIKIA WATEJA DUNIANI, KUTOKA ARUSHA KWENDA MAHALI POPOTE♦️
Kupitia huduma ya EMS, pata fursa ya kusafirisha Vinyago na bidhaa nyingine za Kitalii kwenda Kwa wateja wako ndani na nje ya nchi.
EMS inakuunganisha na masoko ya dunia!
📍 DAR ES SALAAM
🗓️ 29 Agosti 2026
♦️POSTA TANZANIA YAWEKA HISTORIA MPYA YA MAGEUZI, YAKUTANISHA WAFANYAKAZI WOTE NCHINI KUELEKEA MPANGO MKAKATI MPYA WA TISA♦️
📍 DAR ES SALAAM, TANZANIA
♦️TANZANIA POSTS CORPORATION MARKS A NEW CHAPTER IN ITS TRANSFORMATION AND REFORM JOURNEY♦️
For the first time ever, staff of Tanzania Posts Corporation from across the country have come together under one roof!
📌 DAR ES SALAAM
🗓️ 29 AGOSTI 2026
POSTA NA ASSEMBLE INSURANCE WASHIRIKIANA KUIMARISHA UTOAJI WA HUDUMA ZA BIMA
Shirika la Posta Tanzania limeendelea kuimarisha ushirikiano na Kampuni ya Bima ya Assemble Insurance katika kuongeza uelewa na matumizi ya huduma za bima.
📌 DAR ES SALAAM
🗓️ Agosti 28, 2026
♦️ POSTAMASTA MKUU AONGOZA MIKAKATI YA MABADILIKO YA BIASHARA
♦️ Atoa wito kwa Mameneja kujenga mfumo wa ushirikiano wenye kuijenga Posta yenye ushindani na ufasini.
♦️SALAMU ZA PONGEZI♦️
Bodi ya Wakurugenzi, Menejimenti na Wafanyakazi wa Shirika la Posta Tanzania, tunakupongeza, Mhe. Deogratius John Ndejembi, kwa kuteuliwa, kuthibitishwa na kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
♦️TUMIA EMS KUWAFIKIA WATEJA DUNIANI, KUTOKA MWANZA KWENDA POPOTE♦️
Kupitia huduma ya EMS, pata fursa ya kusafirisha Samaki, Dagaa na bidhaa nyingine kwenda Kwa wateja wako ndani na nje ya nchi.
EMS inakuunganisha na masoko ya dunia!



































