JLG (@petlineworld) header
JLG (@petlineworld) profile picture

Jinsia zinazaliwa lakini mwanaume na mwanamke hawazaliwi bali wanajengwa kwa malezi ili kwa jinsia zao watimize majukumu ya kujenga jamii.

Dodoma, Tanzania
Joined August 2024
Mimi na kizazi changu cha kwanza, cha pili na wote watakaofuata hapatakuwepo na WA kuitumikia serikali. KAZI yetu ni kilimo, ufugaji na biashara. Nimechukia sana.
4
Replying to @goligani
Sidaiwi kaka
156
Replying to @giva_tips
Nimeshindwa kujoin naletewa meseji kama hii – at Tanzania
1
18
Mwanaume usipokuwa makini na mwanamke wako, akizaa mtoto wa kiume unaweza kushangaa sana sura ikafanana na wewe ila tabia akabeba za mama yake. Sio miujiza ni jinsi unavyoishi na mke wako – at Tanzania
19
WANAUME dhaifu wanatengenezwa hapa, WANAUME wenye tabia za kike wanajengwa hapa, WANAUME wasio na uwezo wa kubeba majukumu wanazaliwa hapa. Single mothers wapo kwenye misheni maalumu ya kujua WANAUME. Naomba usinikurupukie kujibu njoo kwa upole tujadili. – at Tanzania
13
Replying to @CharlieBihemo
Yeyote anaweza kuchekesha, hujacheka mpaka hapo??
1
20
Mliyetwambia yuko mapumzikoni. Anajidanganya mwenyewe
24
😂😂😂😂 jamani huyu sio @fumbokhanJr au nimekosea
1
38
Kwa hatua hii na hali ilivyo mtaani! Ni hatari – at Tanzania
1
38
Tangu Ile siku ambayo mwanamke alikutana na baba wa uongo waliongea mengi ambayo Kila wakiongea wanatulevya na uongo wao – at Tanzania
23
Anaendelea na majukumu yake ya msingi
7
73
Mzalendo @mwigulunchemba1 huwezi kusikia anamtumia PhD kuelezea hali ya sasa ya watanzania
26
Kuna wakati mwili wako, na maneno yako vinaweza kuakisiwa na mwili wako. Sema hii mbilikimo
13