Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit) profile picture

black man

Joined October 2021
Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)Photo by Amos Terer Njoro Neissuit (@neissuit)
Namsalimia mwalimu mmoja aliitwa Mr Mamuty kutoka shule ya Njoro precious primary school yeye alikua anajua kukaribia wanafunzi sana Kwa upole lakini ungefamya makosa ungejua yeye Ako shulee kikazi sio kupembeleza #GoodEveningKenya
Taja mwalimu wako wa primoo wa zamani zaidi na bado huwa wamuona na nguvu zake...#GoodEveningKenya
All the way from naiswet Mau forest Niko iiiin mama #Staarabika
Staarabika kutoka saa nne hadi saa sita mchana naye @annjogu. Monday yako imeanza vipi? #Staarabika
Ndani ya show all the way from naiswet Mau forest #Staarabika
Staarabika kutoka saa nne hadi saa sita mchana naye @annjogu. Monday yako imeanza vipi? #Staarabika
Boom 💥💥 bebilonians rrrrrrrrrrrruster never die and if die, never rote and if he rote never decompose drop one ya burning spear ifikie wanao chana center chini na juu @tiionykip
Confirm location Nakuru city njoro constituency neissuit ward clan kechwoek Animal ongonyot status very busy surching nikipika ata ya watoto watatu ni sawa contact 0723558622 @tiionykip
Confirm location Nakuru city njoro constituency neissuit ward clan kechwoek Animal ongonyot status very busy surching contact 0723558622 ata nikipata ya watoto watatu ni sawa @tiionykip #confirmlocation
Tuned from naiswet Mau forest wapi uchokosi yako #goodeveningkenya
Ni matumaini yangu kwamba siku yako imekamilika vyama na karibu kwenye #GoodEveningKenya WCW Edition nami jk Kmau Munyua 8pm-12am. Unategegea show ukiwa wapi? #GoodEveningKenya #RadioNumberOne
2
Happy Sabbath koity kanisosiek chepo neissuit, messipei, ndoswa, musegekwa, sigaon, sigotitna, cheptoroi na teret @Kerichjoseah
Good morning ak itagat en tetutietab #ChamgeiSabbathMix omiten ak @Kerichjoseah 5Am-9Am EAT. Imokyini ng'o sabato nemie?
3
Amos Terer Njoro Neissuit retweeted
Good morning ak itagat en tetutietab #ChamgeiSabbathMix omiten ak @Kerichjoseah 5Am-9Am EAT. Imokyini ng'o sabato nemie?
17
5
2
11
Kuna jamaa aliitwa wilsong ochieng tulisoma Kwa sule Moja inaitwa njoro precious sijui kalienda wapi yeye alikua funny sna angesema kitu moja mnacheka sna kama ananisikia anipigie Kwa 0723558622 #GoodEveningKenya
Nani huyu mliyesoma naye na hujui alienda wapi na ungetaka sana kumuona tena?...#GoodEveningKenya
1
Amos Terer Njoro Neissuit retweeted
Nani huyu mliyesoma naye na hujui alienda wapi na ungetaka sana kumuona tena?...#GoodEveningKenya
89
13
1
35
Amos Terer Njoro Neissuit retweeted
274
81
10
202
Kamau Kuna duka amoja apa neissuit center juu ya mzee Fulani anaitwa Terer io duka ni ya kitambo hdi ikona ile taa yakuweka kerosene imewekwa apo tu lakini haitumiki ety stima ikipotea anawasha alafu yeye uhudumia watu polpole lakini Bado watu hufurika apo sna #goodeveningkenya
Ni kaduka gani hapo kwenu ambako ni kazee zaidi lakini bado watu wanakapenda zaidi kuliko duka zingine?...#GoodEveningKenya
Kamau namiss ile game ya kutafuta ndege Kwa bush kidogo alafu mnasingira alfu kitu mbya unarusha rungu ukilenga ndege ipite io Bush bila kujua mwenzako ako update ingine ukimiss kidogo mwenzako anasalimiana na hautasema nyumbani umegongwa na mwenzako🤣🤣🤣🤣 #goodeveningkenya
Ni mchezo gani wa utotoni ambao bado unamiss, na ukipata nafasi unaweza kuurudia?...#GoodEveningKenya