Gololo (@ndandavale) header
Gololo (@ndandavale) profile picture

Shadow Deputy Minister of Livestocks and Fisheries #ACTWazalendo ACT-Regional Chairman-Mtwara. Former Shadow Deputy Minister of Water-ACT mndandavale@gmail.com

Mtwara, Tanzania
Joined September 2017
Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)Photo by Gololo (@ndandavale)
#Field Mguu kwa mguu.💜
1
9
15
988
CHANGAMOTO ZA MBOLEA YA RUZUKU NA HALI YA KILIMO NCHINI "Ni jambo lisilokubalika mkulima anunue pembejeo kwa bei kubwa, atumie nguvu na gharama kubwa kuzalisha, halafu auze mazao yake kwa bei ya hasara." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
1
6
8
276
📍Mbarali Mbeya "Sisi ACT Wazalendo hatukubaliani na uporaji wa ardhi ya wananchi. Tunakataa uonevu wanaofanyiwa vijiji 33 vya Mbarali. Tunataka Rais Samia awarudishie wananchi hawa ardhi yao." Kiongozi wa @ACTwazalendo @dorothysemu #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
7
9
286
"Kwa vile kilimo ndicho kinaajiri Watanzania wengi. Serikali ya CCM ingekuwa makini ingewekeza kwenye kilimo. Mkulima anatumia gharama kubwa katika kulima, halafu Serikali inampangia bei isiyo na maslahi." Kiongozi wa @ACTwazalendo @SemuDorothy #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
1
5
9
291
Gololo retweeted
Vile wananchi wakisikiliza viongozi wetu wa @ACTwazalendo huko mikoani. @SemuDorothy @MchinjitaIR Luhaga Mpina @ayo_shangwe @JaneRithe @Mbaralagande #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
3
4
49
Vile wananchi wakisikiliza viongozi wetu wa @ACTwazalendo huko mikoani. @SemuDorothy @MchinjitaIR Luhaga Mpina @ayo_shangwe @JaneRithe @Mbaralagande #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
3
4
49
Vile wananchi wakisikiliza viongozi wetu wa @ACTwazalendo huko mikoani. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji
14
22
27
3,157
TAARIFA KWA UMMA SERIKALI IMESHINDWA KUKABILIANA NA ONGEZEKO BEI ZA BIDHAA NCHINI #UkweliHakinaUwajibikaji ##TaifaLaWote #MaslahiYaWote
15
15
427
Leo 4/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kahama Mjini. Muda 9:00 Alasiri #Ukweli #Haki #Uwajibikaji #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
4
5
50
This is love And we love you more Bibi etu, Asante kwa kuja kutusikiliza.
4
5
132
Leo Novemba 4, 2026 Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu @dorothysemu atakuwa Main Fm kuanzia saa 2:00-3:00 asubuhi kujadili kuhusu ziara yake ya Mkoani Kigoma na mikoa mingine saba iliyoanza jana Novemba 3, 2026. #Ukweli #Haki #Uwajibikaji #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
11
"IGP Wambura ujiuzulu iwapo hujui waliofanya mauaji ya watu Oktoba 29." Makamu Mwenyekiti @ACTwazalendo @MchinjitaIR 👉🏿Leo Ndugu Mchinjita na Ndugu Mpina watakuwa kata za Butundwe na Katoro Mjini Mkoani Geita. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
2
22
Leo Novemba 3, 2026 Kiongozi wa @ACTwazalendo , Ndg @SemuDorothy amewasili uwanja wa ndege wa Kigoma na kapokelewa na viongozi wa kitaifa. Saa 9:00 Alasiri KC atafanya mkutano wa hadhara katika Kata Kasimbu uwanja Mwembemmoja. #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
7
9
369
Kesho 3/11/2026 Makamu Mwenyekiti Bara, Ndg @MchinjitaIR akiambatana na Naibu Waziri Mkuu Kivuli wa @ACTwazalendo Ndg Luhaga Mpina na Naibu Mwenezi, Ndg @ayo_shangwe; atafanya mkutano wa hadhara Kata ya Butundwe na Katoro Mjini, Geita. Muda 6:00 mchana na 9:00 Alasiri mtawalia.
9
9
361

37

Kesho Novemba 3, 2026 Kiongozi wa Chama cha @ACTwazalendo, Ndugu @SemuDorothy atafanya mkutano wa hadhara katika Kata ya Kasimbu Jimbo la Kigoma Mjini. Mahala: Uwanja wa Mwembe Mmoja Muda: 9:00 Alasiri #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
2
28
239
47
17
511
142,232
"CCM hawako madarakani kwa ridhaa ya wananchi, CCM wako madarakani kwa sababu wanao polisi wa kuwatisha wananchi." Makamu Mwenyekiti wa @ACTwazalendo @MchinjitaIR #TaifaLaWote #MaslahiYaWote
2
2
38