Kwa nini huyo mtu asiwe mzima kama wewe. The whole system ya unfairness is wrong. Na for some reason, imekuwa sababu ya watu kushukuru. While one suffers, wengine tunapata sababu ya kushukuru
Nathaniel Mwaipopo retweeted
Keep Showing Up Homeboy
Watakuona
BE THE CHANGE YOU WANT TO SEE.
S/o to @TZChangemakers @SerengetiBytes
Had the privilege of visiting the United Nations in Geneva. Asked them to reserve some space for the Batpod the next time I'm here. PEACE IN OUR TIME
I had the opportunity to speak at the ITU headquarters in Geneva on how we can make technology truly inclusive.
Kila mtu Dar angekuwa anatumia pikipiki badala ya gari, lakini pikipiki hizo ziwe na speed limit ya 50km/hr. Hii inge-solve tatizo la foleni? 🤔. Au nina wivu na magari yenu?
Nathaniel Mwaipopo retweeted
What a pleasure to welcome the third cohort of Generation Connect Young Leadership Programme #GCYLP Fellows for 2026-2027. The 30 young changemakers from 24 countries across all six @ITU regions were selected from over 6,700 applications.
Over the next year, they will receive support and resources to bring their innovative ideas to life through digital development projects in their communities.
I look forward to following their journeys and hearing the inspiring stories from the ground as their projects take shape.
Congratulations to every Fellow and many thanks to @Huawei for its continued partnership and support in empowering the next generation of digital leaders.
Meet the new #GCYLP cohort 👉🏼 itu.int/generationconnect/em…
#InternationalYouthDay #GenerationConnect
I think, kila mtu ana kitu au vitu vinavyoyapa maisha yake meaning. Kwa wengine ni grades, kwa wengine ni pesa, kwa wengine ni relationships n.k. Hivyo hutofautiana kwa watu. Mtu anapopoteza kile kilichokuwa kinampa meaning ya maisha, anaweza kuhisi maisha hayana maana tena.
How to build a device that can see through walls using WiFi.
The same signals in your home can be used to detect people behind walls.
Comment PROTECT to learn how to protect people from eavesdropping into your house with your WiFi
#IronMan #Superman #Batman #Homelander #Tech
Hizi rhymes unaonaje? Na ujumbe si umefika? @Roma_Mkatoliki
Nionavyo mimi!!
Tunao Rappers/Mc’z
and HipHop heads wazuri wengi tu!
Lakini ni wazuri tu kwenye ufundi wa kucheza na maneno tu, kupanga vina na flow tamu!!
Lakini hupati exactly maana ya anacho-rap!!
Ni kama anacho rap hakina maana au you can’t relate na maisha ya msikilizaji!!
Unakuta mtu anarap
Mfano…anaweza akasema
🗣️ Midondoko,Mikong’oto,Misokoto
yetu kanga moko/
Dry peku kama mpoto, masai yechu
hii namba nyoko/
Ukimsikiliza na alivyonata na mdundo utapenda, BUT YOU CANT RELATE!!
Ni kundi dogo sana linaweza relate na ulichosema
(Wasanii wenzako na wenye ndoto za kuwa wasanii)
Ni lines zinaweza kuwa tamu lakini hata yeye ukimbana kwa interview afafanue alimaanisha nini…..
HE CANT!
Ataishia tu kusema….
Si umeona hiyo Dry Peku, halafu kule mwanzo nilisema misokoto!
Kwahiyo misokoto 🚬 yani dry….yani peku😁….halafu Mpoto si ndo’ anatembeaga peku na rasta zake kama misokoto😁 YANI HIZO NDO’ METAPHOR’s kaka!!
Skillz za rap hizo!!
Ndio kashafafanua hapo kamaliza!!
Haya we umemuelewa!??🤔🤷🏿
Wito wangu, tengeneza maudhui (Content) ya nyimbo ambayo audience can relate with!!
Hasa na maisha yao ya kila siku, iwe mapenzi,bata,siasa,inspiration.
Na uiandike katika namna msikilizaji anaweza kuvaa uhusika!!
Utapata fans wengi, utasikilizwa na watu wengi na fanbase yako itakuwa!!
Ukiendelea na hizi za
michomoko, miporomoko/
Tamathali za semi, na stanza sijui za banza kama stone na jiwe ndo magu chato/ na iwe manjagu couple!!
Hizi watasikiliza tu kundi chache la wanaopenda Rap au wenye ndoto za kuwa Rappers!!
Ndio maana Rappers wa dizain hii wengi wana struggle kupata fanbase kubwa, coz wanawaimbia wasanii wenzao na sio mashabiki!!
Hakikisha Rap yako
anaweza aka relate Mtoto/
Mama mtu mzima/Muhuni/Sista du/Padre/Ustaadh/Kiongozi/Babu/Bibi
Hadi shabiki ambaye hafatilii muziki, Kama Padre anaweza sikia line moja na aka relate na maisha yake!!
NA HIYO NDIYO HIP HOP!!
Tusiwajaze sana vichwa hawa na kuwaambia wao ni wakali sana, kwa sababu tu wanaweza kucheza na maneno wakatengeneza vina!!
HipHop/Rap Hakikisha inaleta maana!!
GUSA MAISHA YA WATU!
Leo nimepita sehemu ya mapombe, kumbe huwaga wanaweka maswali ya hesabu. Nime solve pale haraka haraka nimepewa kinywaji. Ukija twende niwe na solve, wewe unakunywa @gabyconscious
Kuna hii Project tumekaa nayo ndani mwaka na mdogo wangu @nathaniel_codes Jana imefika 90% sasa janja namwambia achague 5STAR hotel yoyote tujipongeze anasema tuchill ghetto tu!🤣
Nathaniel Mwaipopo retweeted
Subscribe my Youtube mkuu
Yajayo yanafurahisha
#GabyLovesDubai 🇦🇪
👉🏽 youtube.com/@gabylovestech?s…
Kuna siku @gabyconscious alimuagiza mdada flani aje kwangu, kufika huyo dada anauliza “mbona una popo bawa sebuleni kwako?” Ikabidi nimfukuze

























