Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
Habari za asubuhi kwenu nyote 🇺🇬🇹🇿
#EastAfricanetballclubchampionship
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
Serikali iliyomshambulia Father Kitima inamkemea aliyemshambulia Father Kitima na kulaani tukio hilo.
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
We Homera wadau wanasema umehusika na kutekwa kwa Chaula na waliokuja kumchukua na Landcruiser nyeusi ya serikali walisema Chaula anaitwa ofcni kwa mkuu wa Mkoa - ndo hajaonekana tena
Unajua haya mambo magumu ukiyafanya hufanyi peke yako na si kila mtu uliyemtuma kazi hizi anafurahia
Wanasema we ndo umeratibu matendo mengi maovu hapo!
Sasa usikasirike bali tunachotaka ifanyie kazi hili la Mdude maana lina haraka! Mpeleke hapo hospitali mwache hapo ondoka
Sisi kwa sasa hatuna zaidi!
Jumatatu kuna ujumbe unatoka sasa bora tulimalize muda huu!
#FreeMdude
#FreeMdudeNyagali
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
“Ni shambulio dhidi ya Mama Tanzania”
Askofu Benson Bagonza
Asante 🙏🏽
Hatuwezi kucheka na mafedhuli! Hawa tuwatenge, tuwasuse 👊🏽
#TutaelewanaTu
#NoReformsNoElection
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
#BilaMabadilikoSipigiKura
Taarifa za kushambuliwa kwa Father Kitima ni mwendelezo wa juhudi za serikali kujaribu kunyamazisha umma kwa kushambulia wale wanaopaza sauti na kupanda mbegu ya hofu.
Bahati mbaya kadiri wanavyozidi kutumia mabavu ndivyo wanavyoendelea kuiwekea mbolea mbegu ya mabadiliko.
@SuluhuSamia
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
Tunataka @tanpol imhoji huyu jamaa inaonekana ndo anajua mipango ya kumdhuru Father Kitima!
Mkimwacha tutajua mlimtuma na @SuluhuSamia
Tupo hapa tunawa zoom
#TutaelewanaTu
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
President @SuluhuSamia has charged CHADEMA leader, @TunduALissu—her main opponent—with treason, over CIVIL DISOBEDIENCE calls of #NoReformsNoElection.
This is the kind of insecurity, desperation and stupidity which African tyrants excel in.
Civil disobedience is a constitutional right of all human beings faced by injustice.
To @SuluhuSamia: #FreeTunduLissu now!
You can’t stop Tanzanians from making their country’s governance more democratic, transparent and accountable.
African Freedom Fighters condemn your repressive measures against @TunduALissu and his CHADEMA comrades. We stand in solidarity with Lissu and his detained comrades.
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
‼️🚨BREAKING NEWS🚨‼️
Tumepokea taarifa muda huu kuwa Father Dr Charles Kitima ameshambuliwa usiku huu nyumbani kwake na kujeruhiwa vibaya - hali yake si nzuri
Tunaendelea kufuatilia hii taarifa ila ieleweke kuwa shambulio kama hii hatuwezi kuchukulia kama bahati mbaya
Fr Kitima ameshambuliwa kwa maneno na @ccm_tanzania na vikaragosi vya @SuluhuSamia kwa muda sasa!
Ujumbe kwenu madhulmat kama kweli mmehusika - Mnaanza vita mlioshindwa tayari
Ugua pole Dr Kitima - tunaendelea kukuombea
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
Hospital ya rufaa ya Bugando ilijengwa na kanisa katoliki hospitali ya KCMC ilijengwa na KKKT ,Tumaini University Saut,st Joseph na vingine zilijengwa na makanisa,Lakini Cha kusikitisha Waislamu hatuna hata zahanati iliyojengwa na taasisi ya kiisalm changamoto iko wapi haswa.?
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
Jesca Magufuli amempa Millard Ayo moja ya interviews bora kabisa za 2025! Nimependa uwazi wake na namna anavyoelezea mambo kwa akili na utulivu. This girl is smart — personality yake inanivutia sana!
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
Hii picha imenisikitisha sana
Samia amegeuka kaburu ambaye ni kiziwi anachafua nchi namna hii
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
Muliro anataka kutuaminisha hawa sio polisi
Matukio haya yamefanyika live wananchi wakiangalia
Kwenye hii link utaona picture xitter.cf/mariastsehai/status/19…
Hapa chini nimeweka video hiyo gani ya polisi
Kwa nini Muliro anaongea kama bata anayeharisha ? Kwa Sababu Samia amefanya kosa kubwa la kisiasa, kosa ambalo linahushahidi wa wazi
Kosa ambalo linaiweka wazi kwamba serikali ya Samia inaua watu, anachofanya Muliro sio kwamba inasaidia hapana, inazidi kuwaweka CCM kwenye mwanga, kwa sababu kama sio polisi wangekamatwa na nchi ingekuwa kwenye hali ya hatari
Mwisho, Samia anajaribu kusema kwamba Tanzania wanasiasa wa upinzania wanaweza uwawa ovyo na serikali ikafurahi
Vyovyote vile watakavyotoa utetezi ni balaa kwao, Ukisimama nchale, ukikimbia nchale, ukiunama nchale, ukichuchumaa nchale , ukigeuka nchale , ukibaki hapo nchale , ukifanya chochote nchale
Wameumbuka
‼️USHAHIDI WA POLISI KUTUMIKA TAREHE 24 MAHAKAMA YA KISUTU‼️
Mwiteni Muliro @tanpol
Hii video ilipigwa April 24 ndani ya viwanja vya mahakama ya hakimu mkazi Kisutu
Nimezoom na kuchukua screenshot hadi plate number ya gari iliyoandikwa Polisi
Hii gari PT 5521 ni ya unit ipi?
Polisi wazalendo nitafuteni DM tujue hadi kikosi kilichotumwa kusomba raia na kuwapeleka porini kuwaumiza
Next post naachia video yenyewe
Msitutanie!
Tuna EVIDENCE kuwa polisi mlihusika unless mtueleze gari hii ilitekwa lini na wahalifu na uniform na silaha
Nasema #TutaelewanaTu
Philbert Mweyendezi Philemon retweeted
“Polisi wanajaribu kudhibiti upinzani hawaelewi upinzani upo kwa faida yao, mfano sasa hivi DSM na miji mingine, polisi utakuta wanalala kwenye nyumba za maboksi na full-suit za mabati, ni bahati nzuri hatuna fisi mjini hapa, tungepoteza Polisi wengi” - Askofu Zachary Kakobe





























