
Radio & TV personality work @radio5
Arusha, Tanzania
Joined July 2020
- Tweets67
- Following96
- Followers255
- Likes106
Mr Connection retweeted
Micshariki Africa na Sela Ninja wanakuletea albam "Uchavushaji Elimu Ya Fedha".
Album hii imewashirikisha ma emcee, waimbaji na DJ kutoka Kenya, Tanzania, Marekani na Uingereza.
Ni album ya kwanza ya Hip Hop yenye maudhui ya Elimu Fedha.
li.sten.to/uchavushajielimuy…
Mr Connection retweeted
Huyu ndio mshambuliaji wa zamani wa Yanga aliyekuwa kiboko ya Simba, Said Sued ‘Scud’ baada ya kufanya maajabu kwa kuifunga Simba SC mara mbili katika msimu mmoja.
Scud aliichezea Yanga kwa msimu mmoja tu kabla ya kutimkia Milambo ya Tabora aliyodumu nayo kwa miaka mitano. Hivi sasa ni mmoja ya Maustadh wakubwa mkoani Kigoma. – at Sidi Belyout, Morocco
Mr Connection retweeted
Kwani Ndugai ukipokuwa unapigia debe bandari ya Bagamoyo wapewe wachina baada ya kuhongwa $100,000 ulikuwa hujui tunakopa ili kujenga bandari? Ulipotumia mabilioni tutibu mavitu yako yasiyo na tiba India hukujua ni hela ya wananchi?
Unataka tuonekane tunanyanyapaa wagonjwa eeh
Mr Connection retweeted
50 Plus Years later after independence.
This is Homabay referral hospital. My love for Kenya will never fade.










