Mkuujr5 (@mkuuJr5) header
Mkuujr5 (@mkuuJr5) profile picture

πŸ‘¨β€βš–οΈLawyer | πŸ§‘β€πŸ€β€πŸ§‘ Father of 2 | 🌾 Farmer | πŸ“š Reading Enthusiast | 🎡 Music Lover | πŸ’‘ Brainstorming Aficionado | 🚫 No Sugar Coating | πŸ—£οΈ Views Are Mine

Pwani, Tanzania
Joined January 2011
Mvua ya Baraka , bariki wengine sasa mimi kwangu inatosha . Kuna fala linakula dabo Kiki na bado linaimba .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ
1
305
Huwa najiuliza maadui hawa wakikutana wanapiga stori gani .?πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΏ
Kama unaamini hawa ni maadui basi unahitaji maombi😁😁
1
349
Replying to @mkuuJr5
Oyaa 🀣🀣🀣
1
3
67
Kwamba Wabrazil wanatafuta vipaji EAST AFRICA.? Dunia inakwenda kasi mno .πŸ™ŒπŸΏπŸ˜‚πŸ˜‚
1
5
462
Hii hata familia yake haiwezi kumtetea . Hii ndo maana halisi ya kupuyanga.πŸ˜‚
Daaah…!! Kumtetea NgunguBoy Δ°shakua Ngumu Sasa….!!πŸ˜‚πŸ˜‚ #VisitMOSHIπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
3
365
AILYONS SMART 4K TV INCH 55 850,000 YOUTUBE NETFLIX MIRROR CAST GOOGLE PLAY Ipo Dar 0784474751
5
10
590
Hii Nchi Ina vijana wa ajabu sana , no wonder kuona by 2029 kila nyumba kuna mkorosho . 😎
1
6
611
Nilikuwa sipo active siku mbili tatu hizi . Humu ndani kumechangamka kidogo . πŸ˜‚
2
481
Mtaani kwetu kila Jpili tunatoa pilau na biriani . Bureee kabisaaa . Asante Simba Sports Club kwa kuendeleza furaha yetu. ✍🏿
2
501
Kuna mwanangu anashida , Ana pair ya Bata Mzinga . Anataka 300k . 0784474751 WhatsApp Only Wapo mbagala .
1
4
646
Kagame effect.!πŸ˜‚πŸ˜‚
Fanyeni kumshukuru Steve … Sasha imebuma , na Xfactor ni kama alikuwa mzururaji au Ana matatizo ya kifamilia . Mlikosea kuifungia timu isiende kwa Kagame . Hizo ego zenu ndo zinawahukumu .Wengine mlikuwa mlishalowa .πŸ˜‚πŸ˜‚
1
12
627
Mkuujr5 retweeted

FT’| #CAFCL Gaborone United 1πŸ†š1 Young Africans SC #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
6
1
2
29
5,575
Mkuujr5 retweeted
Replying to @iamFallacy @mkuuJr5
Anazidi kujidhihirisha sio?πŸ˜‚
1
1
1
300
Fanyeni kumshukuru Steve … Sasha imebuma , na Xfactor ni kama alikuwa mzururaji au Ana matatizo ya kifamilia . Mlikosea kuifungia timu isiende kwa Kagame . Hizo ego zenu ndo zinawahukumu .Wengine mlikuwa mlishalowa .πŸ˜‚πŸ˜‚
FT’| #CAFCL Gaborone United 1πŸ†š1 Young Africans SC #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
6
1
2
29
5,575
Usiumie ndo kazi tuliyomtuma Steve Barker .!!🫢🏿
Daah nimeumia sana nilijiandaa kupiga spana πŸ’”
4
760
Sele kazi ya Steve !!! Mpenzi maua yake .!!πŸ™πŸ™
Eti shalulile yupo leo?. Au ndo tunajenga ghorofa 12 .?πŸ˜‚
1
443
Mkuujr5 retweeted
Replying to @mkuuJr5
Wote hawapo kaka
1
1
2
104
Eti shalulile yupo leo?. Au ndo tunajenga ghorofa 12 .?πŸ˜‚
2
1
1
15
1,030
Mkuujr5 retweeted
Mali mpya Wanangu, kiroho Safi naomba Repost yako hapa iwafikie Wateja.
7
130
1
377
10,117
πŸ˜‚πŸ˜‚
Kubet sio dhambi wanangu ni swala la makubaliano tu πŸ˜…
1
8
587