Mwanga Hakika Bank (@mhbbank) header
Mwanga Hakika Bank (@mhbbank) profile picture

https://xitter.cf/t.co/z1r4rGmo6U

Mwanga Tower, Kijitonyama
Joined August 2020
Mwanga Hakika Bank retweeted
Mkurugenzi Mtendaji wa Mwanga Hakika Bank Ndugu Jagjit Singh (pichani mkono wa kulia) akiwa na Mkuu wa idara ya Biashara Ndugu Projest Massawe (upande wa kushoto) wakizungumza kuhusu uhusiano wa kibiashara na fursa mbalimbali na Mkurugenzi Mtendaji wa Tantrade Bi. Latifa Mohammed Khamis kwenye viwanja vya maonesho ya biashara ya 47 (sabasaba) @mhbbank #definingtomorrowtoday
2
4
89
Mwanga Hakika Bank retweeted
Kata bima ya Usafirishaji mizigo, shehena baharini na nchi kavu kwa uhakika kupitia matawi yetu yalipo karibu na wewe @mhbbank #definingtomorrowtoday
3
5
Mwanga Hakika Bank retweeted
Pongezi kwa Mhe. Dkt @TuliaAckson kwa kuchaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tunakutakia kila la kheri katika kuanza majukumu yako mapya katika kulijenga Taifa @mhbbank #kaziiendelee #definingtomorrowtoday
2
4
Mwanga Hakika Bank retweeted
Mwanga Hakika Bank ni Suluhisho la Wakandarasi! Tumehakikisha tunakuhudumia kwa wakati kwa kuhakikisha tunakupa dhamana za dhabuni ( Bid Guarantees) kwa haraka @mhbbank #Definingtomorrowtoday
2
5