Lupin🧠 (@kondey_) header
Lupin🧠 (@kondey_) profile picture

we are world 🌎 club champions 🏆🥇until 2029

Joined June 2014
Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)Photo by Lupin🧠 (@kondey_)
Allahmdulillah ewe allah endelea kuwapa nguvu wale wote waliokata tamaa na mambo yao,huku wakiacha kila kitu kwa ajili yako 🤝
1
12
4,313
Kitu bora kwenye uongozi,ni nguvu,ushawishi na busara ya kuwaunganisha watu wa aina tofauti kuwa kitu kimoja,hekima haijengwi kwa Hoja za utetezi kila uchao wajibika
1
44
Ambao umeishi nao kwa wema katika maisha yako,wakifikia hatua ya kujitenga na wewe wakawa maadui,Hakuna silaha watashindwa kuitumia dhidi yako ili watangaze Wewe ni MBAYA. Morning
1
1
3
114
Mtu asiyekuwa na kitu ni rahisi sana asiwe mtu wako akikutana na mwenye kitu,unapowasaidia sana Marafiki kuna wakati unawalemaza,Waoneshe Njia za kupata kitu,Ili wasiwe marafiki wa kufuata kitu Bali UTU Morning 🌄
1
82
In this world once you realise Education and hardworking are NOT only key to your success,You will remember uneducated people who work smart and Their success are Bigger than Your Education,You will be able to treat people True Equity 😂😂
1
2
122
The same life unachanganyikiwa ukiwa kijana mdogo na Unapata akili na majuto ukishakuwa mtu mzima,Acha kujiharibu Kijana 😄😄😄😄
1
1
2
98
Gharama za uzalishaji sasa ziko juu sana ila shambani bei iko chini hawa wanunuzi ni kichefuchefu @themkulima @Nalimasaumu
3
3
1
16
1,317
Lugha nzuri kwa watu wote ambao wamekusaliti,kukutenga na kukukataa kwenye maisha yao ni wewe Kufanikiwa,Mafanikio yako ndio yataongea na wao
1
2
144
maisha yetu ya sasa Hakuna mtu atakayeamini hali yako hadi utimize matakwa yao, watu wanataka ukarimu urafiki na undugu wenu kwa pesa 💰 Good morning 🙏 🌄
1
1
1
162
Nimesikia classmate angu amepata ukichaa sasa ni 3 year imepita ila anasema anaenda Kumfuata mwanae Mtwara,so sad 🥲 But wat i have learnt there "Wanaume daima watajali watu wengine wanaowapenda zaidi, sio wao wenyewe, sisi sio wabinafsi katika maisha yetu" Allah help us🙏
118
Huenda mtu Wa mbali akakufungulia dirisha pana zaidi kuliko milango ililyofungwa na watu wako wa karibu.
3
1
1
8
738
Don't trust Girls with Iphone🚫✋🏾
1
229
UKIKOSA UWEZO WA KUJITATHMINI Utaona kama Kila Mtu Anakukosea wewe...🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
2
142
Dating a single mother is like buying a car with passengers 😂😂😂. And previous owner still want to own it 🥲
1
1
137
Unaomba mtaji wa biashara,biashara inafanyika mwisho wa siku unakula mtaji na kufilisika,sasa hapo Tatizo ni Mtaji wa wewe?? 😂😂😂
2
116
Kijana umesomea mambo ya uchumi,Kilimo au ufagaji piaa Una fani ila kila kukicha unataka mtaji wa Project yako ila location ya Uwekezaji ni Dar es Salaam Pole snaa 🫂🫂
123
Maskini wengi tunashindwa tofautisha kati halali na haramu
118
"Usitumwe ukaleta Ujeuri Ajira ni utumwa ila tumika vizuri na uwe na nidhamu"
1
135
"Eeweh allah ahsnte kwa uhai na afya,naomba unijalie sabr na uvumilivu katika riziki utakayonipatia na unipe moyo wa kutoa kwa ajili yako"
1
1
125
Hata wanawake wapumbavu huwa na sura nzuri, Usidanganyike na Kujiremba na kunukia kwa manukato yao,Punguza kudeal na Vichaa Brother
84