David The Truth retweeted
Sickness is not your potion aje na ulikubali huyo morio aingize Mrija bila CD🌝
David The Truth retweeted
Kumbe uko kwa hizo 9-5 ndio mnajificha msipatwe na depression no wonder watu hukaa uko ata kama bado wanatumika vibaya.
David The Truth retweeted
Kuna dem tumekutana leo kwa mat, I was sitting next to her. my leg touched her leg and she didn't move, rubbed legs the whole way. she asked me for directions, I asked for her number
David The Truth retweeted
Draw sio mbaya, we're all waiting for that arsenal's downfall it will be televised 😂
David The Truth retweeted
Kuna dem flani tumebebwa na yeye kwa nduthi, amebargain bei adi kadere ikabidi amuulize kama ni mkikhuyu 😅😂
David The Truth retweeted
Lakini mwanaume sio mtu ya kuendesha Demio ama vitz. Mimi ni heri nitembee lakini nisipande vitz. Kama mimi sasa ile pesa niko nayo ishapita ya demio, mimi ni mwanaume na inafaa kuendesha kitu kama Ford Ranger Raptor. Nitapita na wewe ukiwa kwa Demio yako bois😂
David The Truth retweeted
Haters were dancing to the main dance before the main dance. Ladies and gentlemen, The Champions.




















