Kitabu Café retweeted
The list I used for the Mind transformation 2025. - I prefer as a pathway to freedom.
I highly recommend to any one.. wishing you the best of lucky in upcoming new year 2026.
Kitabu Café retweeted
"It is better to be feared than loved."
Niccolò Machiavelli.
Kama kiongozi, ukionyesha msimamo na watu wakihofia kukuvuka mipaka, watakuheshimu zaidi kuliko ukijaribu tu kupendwa na kila mtu, jambo ambalo linaweza kufanya wakaanza kukuchukulia poa.
The Prince.
Kitabu Café retweeted
Replying to @kitabucafe
Ni kheri uchukiwe kwa muda lakini uheshimike kuliko kupendwa bila kuheshimiwa. Kitabu hiki kimekuwa lulu sana kwa wakati Nchini Tanzania.
Kitabu Café retweeted
Sheria Ya 3: Zungumza Kidogo
Unapojaribu kuwavutia watu kwa kuzungumza sana, ndivyo unavyozidi kuonekana wa kawaida.
Watu powerful huwa na control kwa kuongea kidogo.
Kadri unavyoongea zaidi, ndivyo unavyoongeza uwezekano wa kuongea upumbavu.
Acha kujieleza sana.
Rob Greene
Kitabu Café retweeted
"Nearly all the financing to establish my companies came from the profits of existing ventures... To sustain this organic growth required high levels of financial discipline and frugality on the part of myself and those I worked with." Reginald Mengi.
I Can, I Must, I Will.
Kitabu Café retweeted
This goes to young generation:
Decision on:
> where to live
>. Who you’re with
>. What you do.
These decisions determine the trajectory of your life ..
The lesson. The book 📕
Kitabu Café retweeted
System haikubali creative minds.
Inataka utulie, ufuate ratiba, upokee mshahara.
But that doesn’t work for everyone.
Wengine wana akili za kujenga vitu vikubwa kuliko job descriptions.
Don’t apologize for that.
Find your lane and dominate it.
Kitabu Café retweeted
Sheria Na. 4: Zungumza Kidogo
Unapojaribu kuwavutia watu kwa kuzungumza sana, ndivyo unavyozidi kuonekana wa kawaida.
Watu powerful huwa na control kwa kuongea kidogo.
Kadri unavyoongea zaidi, ndivyo unavyoongeza uwezekano wa kuongea upumbavu.
Rob Greene - 48 Laws of Power
Kitabu Café retweeted
Mambo kumi (10) ambayo kila mzazi mwenye akili timamu anapaswa kumfundisha mtoto wake kuhusu PESA.
UZI 🧵👇🏽
Kitabu Café retweeted
Ulivyoorodhesha ni vitabu vya amateur readers; soma
-The Blank Slate
-Zus spoke Zarathustra
-Beyond good and evil
-Brothers Karamazov
-The Selfish Gene
-Capitalism and Freedom
-Road to serfdom
-Being and Time
-Wealth of nations
-Being and Nothingness
-The Prince
-Atlas Shrugged
Kitabu Café retweeted
Energy crashes?
Constant cravings?
Weight gain?
📘 Glucose Revolution reveals how balancing blood sugar can transform your body and mind.
With simple hacks backed by science, this book is a game-changer for your health and well-being
🍏🥒🥦
Kitabu Café retweeted
Jay Z said “.. , Appreciate the pain, it's a blessin' “ track #Smile
From Concentration Camp
“ Inmates accept their suffering was a genuine inner achievements..
It’s a spiritual freedom which cannot be take away that makes life meaningful and purposeful “
































