
Mcheshi + Story teller + Peer adviser// C.E.O wa #ChafuZamoto , #PasswordZamtaa na #BilaGanzi
Tanzania
Joined April 2020
- Tweets11.5K
- Following2.4K
- Followers11.3K
- Likes9.2K
Pinned Tweet
CHAZO CHA VITA VINAVYO ENDELEA UKRAINE.(Somewhere in Eastern Europe)
Wengi wanajiuliza why Urusi avamie Ukraine,bila kujiuliza,kuogopa matokeo ya uvamizi kiuchumi.why NATO anajishauri kuingia Ukraine km wanavyo fanya kwny mizozo mingine ya Ulaya.Picha inaanza kaa kwa kutulia =>
FUNZO KUBWA
Ukishakuwa ni mtu maarufu duniani au unajijua wewe ni influencer mkubwa kuwa makini sana kuanzia matendo yako unayofanya na kila unalozungumza linaweza kugeuka fimbo.
Mbape hakumaanisha kila China imefikilia lakini,imeshakuwa ishu ya kitaifa kwa sasa
#BilaGanzi
1
2
304
Hii ndo US sasa,Trump anaongea wazi wazi kuhusu mipango ya ujambazi wa mafuta na dunia nzima imekaa kimya kama ni jambo halali kufanywa na US.
Baharini samaki wakubwa ni halali kula samaki wadogo,na nchi kavu pia sheria ni hiyo hiyo.Vingine mbwembwe tu.
#BilaGanzi
AFRIKA NA VIJAMBO
Rais wa Cameroon, Biya, alirejea nchini Cameroon baada ya kukaa nje ya nchi kwa miezi miwili, jambo lililoibua maswali kuhusu afya yake na uwezo wake wa kuongoza,Biya ni rais anayehudumu kwa muda mrefu zaidi barani Afrika.
#BilaGanzi
1
4
291
Waziri Mkuu Netanyahu ametua hivi punde kwa helikopta ya Sikorsky CH-53 Sea Stallion katika eneo la siri, huku mlinzi wake akiwa amebeba masanduku mawili makubwa meusi.
X usalama tuambieni Kuna nini ndani ya masanduku hayo?
#BilaGanzi
Baadhi ya wafanyakazi wa balozi za Marekani pamoja na familia zao wameagizwa kuondoka mara moja katika nchi zifuatazo:
🇸🇦 Saudi Arabia
🇧🇭 Bahrain
🇯🇴 Jordan
🇰🇼 Kuwait
🇦🇪 Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE)
🇶🇦 Qatar.
US kaamua kuvua shati au ndo anajiandaa na mbio?
#BilaGanzi
3
17
1,563
Kama sio mfatiliaji wa siasa za kimataifa hapo hakuna kitu uta elewa kinachoendelea duniani.
#BilaGanzi
10
768
UTAKE USITAKE
Kinacho endelea Ufaransa kingekiwa kinatokea Urusi,China au Iran dunia nzima ingekuwa inapiga vigere gere mapinduzi,mapinduzi au Shinikizo la viongozi wake Kuachia madaraka,ila sababu ni Ufaransa dunia imepoa kabisa.
#BilaGanzi
2
13
457
Ila kuna mambo yakimtokea mtu unajua kabisa ni mwana kulitafuta mwanakulipata. sasa hawa machaka yote wamekosa wameona wakatafute content sehemu ile.
Jana wote wawili wamechinjwa
#BilaGanzi
1
2
344
Pengine DRC kuna tatizo kubwa kuliko hili watu tunaloliona kwa macho.Mambo yanayotokea kwenye hii nchi ni vituko.
#BilaGanzi
4
3
320
Iran imeizamisha meli ya mizigo katika Mlango-Bahari wa Hormuz, iliyokuwa imebeba manukato ya kifahari kutoka Dubai na simu za iPhone.
Sehemu ilikuwa salama kabisa hii,Lakini kwa tamaa za Mabeberu imekuwa kama vichochoro vya Manzese au kigogo luanga.
#BilaGanzi
1
2
308
UTAKE USITAKE
Kama sio Ubepari na Upofu wa Afrika.
Intra Africa trade ingekuwa suluhisho kubwa sana la Ukoloni na Unyonyaji,Sababu ukiangalia mahitaji makubwa ya wa Afrika yanapatikana humu humu Afrika.
#BilaGanzi
4
308
Huu mgogoro wa US na Iran naona anaevuka nguo na kubaki uchi ni US.Ingawa ana aina zote za Silaha na makomandoo lakini vituo vyake vya kijeshi kupigwa ovyo ovyo hiki sio kitu duania iliyo kizoea kwa Majeshi ya US.
#BilaGanzi
Kuna kitu hakiko sawa kwenye mipango na mashambulio ya US nchini Iran maana hata wakishambulia siku nzima wakiacha mashambulizi Iran nao wanajibu kama hawakuguswa popote?Imekuwa tofauti na Mashambulio ya US yaliyofanyika sehemu nyingi.
#BilaGanzi
Hizi ndo Drone za US zinazoongoza kutunguliwa na Iran kwa mwaka huu.Sijui shida iko wapi?
#BilaGanzi
1
16
827
Huu mgogoro wa US na Iran unapoelekea sasa hivi ni hatua mbaya mara 1000 ya ule ulio sitishwa kwa muda kabla ya kuanza tena.
#BilaGanzi
1
9
720
Iran yakubali kufunika kombe mwanaharamu apite
🇮🇷🇺🇸 Iran imekubali kwa muda usio na kikomo kutotengeneza wala kumiliki silaha za nyuklia chini ya makubaliano na Marekani.(Trump)
#BilaGanzi
2
8
553
Jenerali Assimi Goïta ambaye ni Kiongozi wa Mali amejiingiza mwenyewe mstari wa mbele kusimamia operesheni maalum zinazoendelea kwa sasa nchini mali.
Wakoloni wanadhani jamaa ni mabwanyenye,Jamaa ni masoja wanazama front wenyewe.
#BilaGanzi
Wa Sauzi wakiongea na wakoloni wanakuwa tofauti kabisa na wakiongea na Wa Afrika wenzao.
#BilaGanzi
























