Kibitidc (@kibitidc) header
Kibitidc (@kibitidc) profile picture
Joined August 2022
Photo by Kibitidc (@kibitidc)Photo by Kibitidc (@kibitidc)Photo by Kibitidc (@kibitidc)Photo by Kibitidc (@kibitidc)Photo by Kibitidc (@kibitidc)Photo by Kibitidc (@kibitidc)
UWaWa KIBITI SIKU YA 1 YA MAFUNZO.pdf kibitidc.go.tz/storage/app/m…
16
UWaWa KIBITI SIK U YA PILI YA MAFUNZO.pdf kibitidc.go.tz/storage/app/m…
18
Single News | KIBITI DISTRICT COUNCIL kibitidc.go.tz/new/idara-ya-…
23
DC KIBITI AZINDUA KITUO CHA AFYA MJAWA.. Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Kibiti Meja Edward Gowele amezindua kituo cha Afya Mjawa katika Kata ya Mjawa chenye thamani ya mil. 550 Kwa fedha za Tozo za Miamala ya simu na Mapato ya ndani.
22
MAEMDELEO YA UJENZI WA VYUMBA 21 VYA MADARASA WILAYANI KIBITI
Hongereni sana Viongozi wa Wilaya ya Kibiti kwa Usimamizi Mzuri wa zao la Korosho
Wakulima tuchangamke kujisajili
Wizara ya Afya kwa kushirikiana na AMREF chini ya Mpango wa kudhibiti kifua kikuu na ukoma wameandaa Gari maalumu (VAN) lenye vifaa vya kupima Kifua kikuu, Gari hili litakuwepo Wilayani Kibiti , yaani tarehe 29/08/2022 kibiti na 30/08/2022 Bungu