
Professional Footballer⚽️ CLUB : ( @YoungAfricansSC ) 🔰 Nationality : Tanzania 🇹🇿 Former: Tanzania U17 & U20 CAPTAIN🦈 My YouTube channel link 👇
Joined November 2021
- Tweets2.3K
- Following22
- Followers133K
- Likes1.9K
Pinned Tweet
Hello Twitter Family !! Huu ndio ukurasa wangu rasmi wa Twitter . Lets Join Together . #TheShark
Siku ya mechi inaanza kwa focus na Opera Mini.
Takwimu za moja kwa moja, updates, na taarifa za timu kwa data kidogo.
Popote niendapo, Opera Mini inaniweka tayar.
Download sasa!
#OperaMini #MatchDayReady #FootballFocus #SmartData
“Watu wa soka Mpoo!
Pata matokeo ya moja kwa moja, takwimu za mchezo na taarifa zote kuhusu timu yako pendwa kiganjani mwako!
Pakua Opera Mini sasa kupitia link kwenye bio ili usipitwe na goli hata moja!”
#TeamOperaMini #LiveUpdates #Wananchi #FootballUpdates
Download Operamini yako sasa na usipitwe hata na goli moja kutoka timu uipendayo.
#TeamOperaMini
Without commitment you'll never start and without consistency you'll never finish.
#TheCaptainShark🦈
Wazee @hiperrazor inakufanya ujiskie huru bila kakasi wakati wote. Ikipita shwaaa! Unabaki super smooth na kujiskia fresh. Jaribu na wewe uone.
#SuperSmoothFeelFresh #HiperRazor
#UkaliWaKudumu #GSM
#TheCaptainShark🦈
happy + healthy + full of hope
is the only energy I want in my life.
#B.B.D
#TheCaptainShark🦈
Wazee @hiperrazor inakufanya ujiskie
huru bila kakasi wakati wote. Ikipita shwaaa! Unabaki super smooth na kujiskia fresh. Jaribu na wewe uone.
#SuperSmoothFeelFresh #HiperRazor
#UkaliWaKudumu #GSM
#TheCaptainShark🦈
Tunaopenda kung'aa bila kaskas tujuane hapa, kisha kama hujakamatia @hiperrazor yako basi fanya hivyo utinge team.
#SuperSmoothFeelFresh #HiperRazor
#UkaliWaKudumu #GSM
#TheCaptainShark🦈
Tizi inaenda, magoli yanaingia, ngozi inaeleweka. Ni kazi ya @hiperrazor
#SuperSmoothFeelFresh #HiperRazor
#UkaliWaKudumu #GSM
#TheCaptainShark🦈
Mafanikio huenda ana kwa ana na unadhifu, @hiperrazor inafanikisha
unadhifu wangu wa mwili kwa uhakika
kabisa. Usiache kujipatia yako na wewe upate kushine kwenye mafanikio.
#SuperSmoothFeelFresh #HiperRazor
#UkaliWaKudumu #GSM
#TheCaptainShark
Kuweza ni kuchagua na kushidwa ni kuamua wewe kama wewe.
#TheCaptainShark🦈
Starting the season in the right way💚
#TheCaptainShark🦈
In my Story,God will always get the GLORY
#TheCaptainShark🦈
Ukali wa kudumu kweli ukweli na urahisi wa matumizi yako kutoka #hiperrazor
#supersmoothfeelfresh#hiperrazor#hiperrazor
@hiperrazor @gsmgroupofcompanies
Moja kati ya historia kubwa katika maisha yangu leo hii nimeweza kuitimiza ni kushiriki furaha ya ubingwa na binti yangu hii itabaki kuwa moja ya kumbukumbu kubwa sana katika maisha yake Mungu wetu ni mwema sana🙏💪
#TheCaptainShark🦈
Everyone has a different clock, wait for your time.
#TheCaptainShark🦈
You will succeed in whatever you choose to do, and light will shine on the road ahead of you.
#TheCaptainShark🦈










































