Otek retweeted
Nimejaribu kumind my own bs nikashindwa, tell me why this single mom apa kwa ploti ametahiri kijana juzi amemtoa kwa corridor kaote jua na kayoghurt akikaambia "Njeri maliza ama nikuchape" kumbe kanaitwa Brian njeri. Men we are loosing it 馃槶
Otek retweeted
Kuna morio tumejuana like 3yrs back and not even a single day nishai sikia akitaja wazazi wake ama kupigiwa simu from home, naskianga kumuuliza like radaa?
Otek retweeted
Mzae alikujaga home na bad news ati "jirani yetu mama nani alienda kupata mtoto hosi akampoteza" only for mathee to reply "wangu huwa naenda kuwakunia hosi juu akuna mtu hujali" as kids tukaanza kucheka ati mum ni funny馃槀, sahii ndio najua mbona haikuwa funny kwa mzae.
Otek retweeted
Young couples hii mapema yote wamesimama stage, matatu zinawapita tu sababu wanangoja yenye iko na space ya watu wawili pamoja hawataki kuketi separately. Mafala
Otek retweeted
Kutoka block huwezi toka ukiwa home town. lazima uende kwa watu hawakujui. Tafuta pesa kidogo toka kuwa exposed na Mungu atacheza ata cheza kiyeye bana.
Otek retweeted
Kwa Bois anaanza maisha ya kumove out kwa wazazi anafaa kuwa na like how much na vitu gani anafaa akuwe nazo kejani?
Otek retweeted
Our parents should bring back arranged marriages bana . Wengi wetu tumeshindwa kuanza game juu kila mahali ni 1-0.
Otek retweeted
In a world where you can be anything, be the person who opens the windows in a stuffy matatu without being asked.
Otek retweeted
Employed niko na swali do you guys iron your clothes before going to bed ama pasi mnapiga asubui mbiombio kama mumeshuka stairs na kuenda job?


