Jjcamillus (@jjcamillus) profile picture
Joined July 2021
A man will never cheat on you if you give him love, care, time and attention.🙂
74
68
4
210
6,694
Jjcamillus retweeted
A lot of men are ready to support the dreams of women but most don't have dreams except iPhone, wings,pizza and weave.
42
41
61
3,136
Sioni wafanyacho huko nje. Angalia Balozi wa China hapa Bongo alivyo active...hadi mkandarasi wa Kichina akijenga Choo anaposti. Ana brand kampuni za kichina.... #SiasaZetu
Wengi hatuzijui kazi za Mabalozi na sifa zao,Msikilize Dkt, Mangachi Msuya Balozi Mstaafu anatoa elimu kuhusu sifa n kazi za ma balozi wastaaf,,hii ni Episode mpya kutoka @ZetuSiasa youtube.com/@_123productions #SiasaZetu Pata madini hapa👇
3
4
7
2,322
Jjcamillus retweeted
Replying to @rastaclaaaat26
Apo unakuta kaachwa anasema life is tough😂💔
1
148
Jjcamillus retweeted
Mzee wetu kabisa. Ulanzi duniani
2
2
5
401
Naitwa John Pombe Joseph Magufuli, mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Ewe Mtanzania mwenzangu, naomba kura yako ya ndio tarehe 28/10/2020. Chagua Magufuli kwa maendeleo ya kweli ili tuendelee kujenga Tanzania mpya. Asante.
7,244
3,019
749
19,764
Replying to @UpendoGod
Ili brand ikue inahitaji uwekezaji kwenye - Public relations - Marketing - Delivery - Affordability Na pia ujue Price fixing Ili uendane na uchumi wa wateja
1
3
13
424
Men, You must be prepared to work any kind of job to provide for your family. Never be ashamed. You must win.
20
469
5
3,165
63,644
Tani moja ya mahindi Namibia ni $450, tani hiyohiyo Tanzania ni Tshs 400,000. Kazi kwetu vijana.
28
23
8
231
26,961
Maji💦 -> Kwa Ajili ya Figo! Mayai 🥚-> Kwa Ajili ya Ubongo 🧠! Carrots🥕 -> Kwa Ajili ya Macho! Nanasi 🍍-> Kwa Ajili ya Koo! Cabbage 🥬 -> Kwa Ajili ya Utumbo! Tango 🥒 -> Kwa Ajili ya Ngozi! Tangawizi -> Kwa Ajili ya Koo na Mapafu! Parachichi & Nyanya 🥑 -> Kwa Ajili ya Afya ya Moyo 🫀! Mazoezi exercise🏋️ -> Kwa Ajili ya Afya imara na Kinga Bora ya Mwili! Mboga za Majani 🥦🫑 -> Kwa Ajili ya Kuongeza Kinga yako ya Mwili. Furaha 😆 -> Kwa Ajili ya Afya yako ya Akili! KuRepost 🔄 -> Kwa Ajili ya Wengine!
23
174
4
382
41,819
Jjcamillus retweeted
Men, Dating tip. Approach her and say, "My name is...... I find you attractive. Here is my phone number; call me." Then leave. Don't mind if she calls you or not.
160
624
13
5,059
249,111
Hivi Umewahi Kujiuliza Kwanini FAMILIA Nyingi watu wake Huwa Wanafanana In Terms of Mafanikio? Ukiachana na Sababu Zingine Moja ya Sababu Kubwa huwa ni kwamba WATOTO wengi Huwa Tunarudia Kile Walichofanya Wazee. Ukitaka Kubadili Hali ya Kwenu USIRUDIE Walichofanya Wazee wako!
4
14
63
1,556
Mama yako amekubena tumboni mwake miezi 9. Akakubadilisha nepi pale ulipojikojolea au kukata gogo na kukuogesha.. Haitoshi pamoja na saizi umeshakua mtu mzima, bado anakukumbuka kwenye maombi. Hii maana yake ni kwamba hakuna mwanamke anayeweza kukupenda kama Mama yako.
13
57
2
397
7,241
Men, The hard reality is that when you go broke, most of your friends will leave you. Don't depend on anyone. The end.
14
273
1
1,983
31,954
Nina uhakika kwa asilimia 99% kuwa watu wengi wanajua tafsiri ya "Money Laundering" ni "Utakatishaji wa Fedha" lakini kiuhalisia tafsiri sahihi ni "Utakasishaji wa Fedha" Fedha haramu inatakasishwa na sio kutakatishwa. ZINGATIA!
17
21
1
355
14,787
Men, Never trust a man who brings religion into business deals. Remain alert.
37
527
13
3,468
85,793
-Umefulia Apache alolo -Huna ajira -Unaishi gizani km kunguni -Unakunywa maji ya bomba -Unashindia mihogo -Huna bima ya afya -Unaishi uchochoroni -Huna connection -Unaogea sabuni ya mche -Unatumia Infinix -Huna elimu ya UDSM Nini kinakupa jeuri ya kukesha night club?JITATHMINI
126
75
14
941
58,497
Usipokee kizembe zembe ushauri wa watu hasa hapa Twitter. Wengi humu ni wajanja online ila in real life ni mazoba na wagai-gai Wengine wamezaliwa 2004 na wapo ambao wamesoma UDOM, CBE, IFM na Teofilo Kisanji😅
46
23
487
26,757
Watu wananunua watu. Watu hawanunui kwa sababu wanaokuonea huruma. Wape sababu ya kununua. Ili kufanikiwa hakikisha: 1. Wanakujua 2. Wanakupenda 3. Wanakuamini Content zako zitakusaidia kuweza ku-achieve haya 3. Komaa.
2
24
123
2,920