JAPHETONES retweeted
Kwanini hakuna kiwanda kikubwa cha Furniture pale Makambako, ambacho kingekua kina fanya export furniture duniani kote,
Kiasi gani cha fedha taifa lingetengeneza..? Kuna mbao solid sana yale maeneo.🫵🏾
JAPHETONES retweeted
Huu msemo wa baada ya dhiki faraja huwa unamaana gani hadi leo??
Mbona kama dhiki zinaongezeka faraja inakuwa chungu
Huu msemo wa baada ya dhiki faraja huwa unamaana gani hadi leo??
Mbona kama dhiki zinaongezeka faraja inakuwa chungu
Mdogo wangu wa pili kutoka mwisho[1991] leo kachumbiwa yupo na furaha sana
Ushauri alopewa na shangazi yetu atulie aache kabisa kuwasiliana na mzazi mwenzie maana muoaji hajui
Japo kuwa ni mdogo wangu ila moyo unanituma nimuweke wazi bwana shemeji kwa dogo ana mtoto
JAPHETONES retweeted
Imenichukua miaka mingi kugundua kuwa uvumilivu ndio watu wengine huita upumbavu!!!
Jamani tuwe makini na watu au vitu tunavyo vivumilia.
JAPHETONES retweeted
Sema kuna watu wana roho ngumu sana yani unampeleka wife kanisani halafu unarudi kulala baadae unamfuata..😅🫵🏾
JAPHETONES retweeted
Kabla ya kuoa hakikisha unatembelea Zanzibar 🥰
Mabinti wa Zanzibar ni wazuri jamani , Wana nidhamu na hawana tamaa za mali🥳
JAPHETONES retweeted
Tanzania kwanza
Any way Tanzania imeshinda
Nguvu ya taifa imeshinda
Tujipongeze tumeshinda kwa mara ya kwanza taji la miss Grand international tumebeba🙌




















