Replying to @mzavaoutfit1
Kweli kabisa mtu unaanzaje kurudia video ya mazishi ya ndugu yako.
#khali retweeted
Kabla sijafanya poa kwa Game,Machizi walinisema flow yangu inaboa Mademu
Sijaway pata nafasi kwa hewa mtaani natia huruma ata kula chipsi kavu ngekewa.
Unjuu
#khali retweeted
Ujinga nikuvaa Chupi ya Million,upate attention na bado atushtuki kama hatukuoni.
Una alibu Black beauty kwa ruti za Uturuki kuongeza Makalio mpige picha nusu Uchi.
Kazaliwa muafrica halafu kafa mzungu Michael wako Jackson.
#khali retweeted
Replying to @maxannania
Labda kama ni mambo Mengine, Ila kimziki Nikki yupo kule juu na Prof.
#khali retweeted
Wanangu mlio kuwa mnalilia Dar mmefikiwa kwa kishindo.
Ikiwa Arusha utaskia Dar lini
Ikiwa Mbeya Utaskia Tabora lini
Haya limetoka Tangazo la Dar,Kuna mwana kauliza Oi Sisi Manzese apa Darajani Tukusa lini 🙌
#khali retweeted
Sema Ile Kusaga Tv (Mwandishi wa Wananchi) kwa pale Arusha ni kubwa na anafanya kazi nzuri kuliko hata Millard Ayo.
#khali retweeted
"Today is a good day na stunt ka' gorilla, Nigga get out ma way ni Mbishi so Godzilla / Nadhibit kama X na kisha na multiply, 50 kama das efx kwa kiki pub iko high"
- Nikki Mbishi 🎙️ #Kilasiku 🎶 (RIP ZIZI) 🕊️
#khali retweeted
Kama umekuwa Inspired uandishi wa Nikki Mbishi, Stereo na One the Incredible
Basi unafaa umheshimu sana Hashim Dogo Mwendawazimu.
Hashim Dogo alikuwa mbele sana ya muda.
#khali retweeted
Replying to @chapo255
Mimi nina mke mwaka wa 10 lakini kumdanganya sijawahi nae hawezi nificha. Maana anajua akinidanganya ntajua tu! Hii imedumisha ndoa kwa kiwango kikubwa sana. Hata madogo nao wanapitia humo humo.












