Ibrahim Chitayi (@iamibrachi) header
Ibrahim Chitayi (@iamibrachi) profile picture

Writer | Script Doctor | Entrepreneur 馃摵: Chanda|Huba|Maza|Maria|Aziza|Nyavu|Moyo|Kovu|Arosto|Habibu

Kenya
Joined August 2015
Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)Photo by Ibrahim Chitayi (@iamibrachi)
Tum Meri Jaan ho.... Leo tunavunja mila, miko na desturi saa 1:30 usiku ndani ya @MaishaMagicTZ #dstv160 #MMBJiya #Jiya series Moyo ni Chuo @LuluHassan @RashidAbdalla @azizmohamedsharj @zaramwangi #jiffypictures #bigoneproductions
35
Huu ndio mwisho wa ndoa ya Yaz na Sauda au ndio mwanzo wa penzi la Yaz na Azra kuisha? Usikose kutazama #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
1
48
Dida hayupo tayari kufeli. Mishi anaishiwa na ujanja mikononi mwa Shuna na tamaa ya Maya inamtumbukia nyong'o. Azra na Sauda wanakutana ana kwa ana leo ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
15
Gerezani kuna msiba, Leo ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
17
Mishi aendelea kupata misukosuko Gerezani,Sauda awavaa wazazi wake,je ukweli kuhusu shem utajulikana? , Leo ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
13
Dida karuka tope kakanyaga kinyesi, Sauda anamuonyesha makucha yake, atafaulu? Maya anampima Babaz wazimu, Leo ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
1
2
70
Azra anatoa kauli nzito na Mishi ana maamuzi mazito. Lawama na shauku zinazidi kutanda ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
7
Mkuki kwa nguruwe, mtamu, Azra haelewi kwa nini Yaz kaoa bila kumtaarifu. Unadhani Yaz na Sauda wanapanga nini? Au tusubiri sarakasi? Wivu wa mwana na hofu ya Shem kupotea inazidi kutanda, Leo, ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
1
2
129
Ahadi ni deni, na Yaz yupo kwenye njia panda, ila nini kinachomzuia kuvunja harusi hata baada ya kujua Azra ameamka? Endelea kutazama #MMBCHANDA leo saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
4
'Mahaba nipeleke Nungwi nikazame!" - DIDA Hekaheka za Dida zinaangulia patupu na arobaini ya Babaz haipo mbali. Hakuna siri ya wawili, usikose kutazama #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
18
Urafiki wa kufaa na kufaana haupo tena kati ya Hamza na Manga. Na urafiki wa Babaz na Shem umeingia doa, unazidi kuwatia hofu Azra na Rukia. Huyu 'friend' wa Sauda, ni wa maalum au wa kadhalika? Leo, ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
22
Babaz anatapatapa kuficha ukweli na Mishi bado anajenga ujasiri wa kujitetea, nini anaficha? Kisebusebu na ki roho kipapo. Shem yuko wapi? #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
7
'Privacy utaipata kwa mume wako!" - MINA Hii harusi inayopangwa, kuna usalama kweli? Je, Shem atafaulu kuokoa ndoa yake? Yaz anaoa, ndio habari za mjini, Leo ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
14
Azra ana hamu ya kuongea na Yaz, ila kwa nguvu wanazotumia Dida na Shuna, ataweza kweli? Penzi sugu la Babaz na Rukia, linazima likifufuka, ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
21
"Adui ya mwanangu, ni adui yangu!" - SHUNA Azrra ameamka na mke mtarajiwa wa Yaz amewasili. Mchezo wa paka na panya unaanza leo ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
60
Je, unadhani chuki na wivu wa Mishi pekee ndio chanzo cha Azra kupigwa risasi? Tunaendelea tulipoachia, leo, ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
1
2
87
"Shem na Mimi, haikupangwa, wala hatukuwa na muda wa kuchumbiana" - AZRA Kama Yaz hangemuacha Azra, Shem hangemuoa, na Mishi hangejenga hasira ya kisasi! Leo, ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
19
"Lau ningekuwa ndugu yako, hungeidhalilisha familia yangu kiasi hiki" - HAMZA Wanasema udugu ni hazina, ila aibu haijui ndugu. Endelea kutazama simulizi ya Azra, #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
1
23
Wakati mwengine, kuling'ang'ania penzi ni sawa na kujitia kitanzi. Hakuna jipya!Na asiyefunzwa na mamake, hufunzwa na Dida. Leo ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @MaishaMagicTZ #dstv160
1
2
64
Penzi la kuiba ni tamu ila hatari. Yaz na Azra waamua kuendelea na penzi lao kwa siri. Fahali wawili wakipigani, nyasi ndio huumia na wasipopigana, nyasi huliwa. Leo ndani ya #MMBCHANDA saa 1 na nusu usiku @maishamagicbongo #dstv160
14