Pinned Tweet
Kikumbusho cha kirafiki tu kwamba Grey anajali usalama wako na kamwe hatakuuliza maelezo binafsi kwa njia zinazotia shaka.
Kaeni salama na muwe macho! 🔒
#StayconnectedwithGrey
Ushawahi ingiza fedha kupitia uandishi?
#GreyAMA
🚨Stay one step ahead of scammers!
It’s important to be vigilant and protect yourself from scammers. Don’t fall victim to their schemes; learn the key warning signs and stay safe online.
#GoWithGrey
Ushawahi kutamani kuingiza fedha mtandaoni kupitia uandishi na haufahamu utaanzia wapi? Hauko peke yako, kuna watu wengine wengi pia wanapitia hali kama yako.
Jumamosi hii kupitia jumuiya yetu ya The Grey Area tukiwa na mgeni wetu Ally Msangi tutazungumza namna gani unaweza kuingiza kipato mtandaoni kwa kupitia uandishi.
Event hii ni bure kabisa na unaweza kujisajili sasa kupitia Link hii community.grey.co/c/events/f…
Alika rafiki na jamaa zako wawe sehemu ya mazungumzo haya.
Usikose
#GoWithGrey
Happy Independence Day, Tanzania! 🇹🇿
Grey tunawatakia watanzania wote heri ya miaka 63 ya uhuru.
#GoWithGrey
4
2
1,101
Usikubali Kupitwa
Kuwa sehemu ya wauza ujuzi, wafanyakazi wa remote na wasafiri wanaojumuika kwa pamoja kwenye jumuiya ya The Grey Area kujifunza mambo mbalimbali yanayoendelea kwenye ulimwengu wa kidijitali.
Jiunge na jumuiya ya The Grey Area sasa kupitia grey.co/community na upate nafasi ya kujishindia zawadi mbalimbali ikiwepo Merch kutoka Grey.
Watag watu watano unaotamani wawe sehemu ya jumuiya hii.
#GoWithGrey
The last thing you want while in a new place is to come down with an illness and have to pay high hospital bills
Read more on how you can protect yourself against this with a digital nomad health insurance here.
grey.co/blog/affordable-heal…
Ever tried calculating how much your traditional bank charges you in fees every year? A LOT
Not us though 🙂↔️
Click the link in our bio to see how you get to save on all these fees and more with Grey!
#GoGlobalWithGrey
1
585
Are you struggling to find remote work in your country? Here's a thread of blog posts we've written on the best digital nomad jobs in various countries. Check it out; you just might find something helpful. Please RT and share with your people who are job hunting.
2
530
4. Best digital nomad jobs in South Africa.
grey.co/blog/the-best-digita…
Getting a job is just one part. You need to be able to receive your payments without hassle. With Grey, you can get paid from over 80 countries easily and securely. Visit grey.co to get started today!
1
337
Jumuiya yetu ya The Grey Area iko hewani kupitia link.grey.co/nomadcommunity.
kuwa sehemu ya mabalozi wema wa The Grey Area kwa kuwakaribisha ndugu, jamaa na marafiki zako wajiunge na jumuiya yetu.
Usisahau kutuambia umekamilisha nini na nini kwenye checklist yetu hapo chini.
#GoWithGrey
Waswahili wanasema " Kizuri kula na nduguyo"
Nasi tunapenda kuwataarifu uwepo wa jumuiya maalumu ya freelancers, digital nomads na remote workers.
Jumuiya hii kujiunga ni bure kabisa na kuna faida kama kujumuika na wauza ujuzi wenzako na kujifunza yanayoendelea kwenye uliwengu wa kidijitali.
Unasubiri nini? jisajili hapa link.grey.co/nomadcommunity ama kuwa kama Juma na uwajuze ndugu, jamaa na marafiki zako juu ya uwepo wa jumuiya hii.
#GoWithGrey
Tunahama 🤩
Siku 30 kutoka leo tunahama kutoka kwenye kurasa zetu za mitandao ya kijamii na kwenda kwenye jumuiya yetu ya The Grey Area.
Kupitia The Grey Area utapata nafasi ya kujumuika na wanajumuiya kutoka sehemu mbalimbali za ulimwengu🌍, utapata nafasi ya kujifunza 📚 na kushinda zawadi🎁 mbalimbali.
Kujiunga na jumuiya yetu tembelea kiungo hiki link.grey.co/nomadcommunity.
#GoWithGrey
Kabla hujafanya kazi na client huwa unasoma mikataba wanayokupa?
#GreyAMA
link.grey.co/GreyAMA6
" Mikataba itakusaidia kulinda maslahi yako unapofanya kazi na wateja kwenye majukwaa mbalimbali ya kidijitali"
Godfrey Mollel kupitia #GreyAMA
Jiunge nasi sasa kupitia link link.grey.co/GreyAMA6
Did you know that one of the reasons Mexico is a hot spot for digital nomads is because it offers them the longest visa?
We put together a list of 40 countries that are your best bet to snagging a digital nomad visa in 2024. You should tap the link in our bio to read it!
Based on this chart, which countries are on your radar?
Are you a long-term stay person or would you rather breeze in and out?
#DigitalNomad #DigitalNomadVisa #GoWithGrey
5
370
New international student? Tumekupata🎓💰
Pakua app yako ya Grey leo na ulipe ada, upokee hela ya matumizi na ulipe bili zako kwa haraka na usalama.
#GoWithGrey
2
2
491













