Baba momo (@godfreyabely2) header
Baba momo (@godfreyabely2) profile picture

•Father •Husband •Brother •Friend •Social Media Influencer •Teacher •Graduate Bachelor of Education in Policy Planning and Management &Medapps (OUT)

Tanzania
Joined July 2018
Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)Photo by Baba momo (@godfreyabely2)
calinyo 🔥🔥🔥 akaomba selfie nikaona sio kesi 🤣🤣🤣 – at Dar es Salaam, Tanzania
54
32
7
1,103
Baba momo retweeted
Ni mwaka mmoja sasa bado hatujampata kaka yetu Hamis Tweve. Hatuna taarifa yoyote hadi leo, inaumiza sana💔
Watanzania wenzangu, tunatangaza kumtafuta kaka yetu Hamis Tweve wa Mlowo, Mbozi mkoani Songwe ambaye hajaonekana tangu kipindi cha maandamano hadi leo. Kwa yeyote atakayemuona au kupata taarifa zake atoe taarifa kupitia namba hii +255 757 566 584 (Luck Tweve). Asante
16
20
2
111
11,096
Mombasa hapa alcapone mna balaa mashemeji zetu wa kenya 🙌 – at Mombasa, Kenya
5
167
Boyfriend Babu 🌚 – at Nyali, Kenya
484
Nani mwingine ana Ujasiri wa kusema kwamba licha ya Magumu ninayoyapitia, "MUNGU amekuwa mwema kwangu kila wakati"
15
94
2
641
10,051
Baba momo retweeted
Unasaka scholarship au kushiriki mikutano ya kimataifa mamtoni na fursa mbalimbali. Sikiliza michongo na madini kutoka kwa Flaviana Matata akikupa uzoefu na namna ya kutoboa ukiwa nje. Bofya link youtu.be/hyIGeb3tVjs?si=hpGv… kutazama Zogo la wiki hii. #ZogoMchongo2026
1
14
13
778
Baba momo retweeted
Over 540,000 deaths each year are linked to intake of industrially produced trans fats (iTFA). It’s time for @TBS_Tanzania to take action and save our lives. @IncubatorGHAI @wizara_afyatz @IILAinfo @CefrohtUg @heala_SA @HealthyFood_NG #RegulateTransFatsNOW #FOPL #TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC
Sheria na kanuni thabiti za kudhibiti kiwango cha Trans Fat Acids (TFA) kwenye vyakula ni ngao muhimu sana katika kulinda afya za wananchi na kupunguza mzigo wa magonjwa yasiyoambukiza (NCDs) kama vile magonjwa ya moyo, kisukari. n.k. @TawlaTZ #TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC
2
8
1
12
548
Baba momo retweeted
Akiwa na miaka 25 pekee aliweza kuwa ndie kijana mdogo kuwa manager wa kituo cha redio Kings Fm inayopatikana mkoani Njombe ambapo alifanya mabadiliko makubwa sana kwa kipindi chote alichohudumu🙌🏾 Baadae alijiunga na crown media kama program manager na mwandishi wa habari mwenye shahada kutokea pale UDSM🙌🏾 Akiwa pale UDSM aliwahi endesha kipindi maarufu kijulikanacho kama "Mlimani Leo Asubuhi" kupitia Mlimani TV🙌🏾 Imani Henrick Luvanga anajulikana zaidi kwenye kutetea haki za kidijitali, usalama wa wanawake mtandaoni,usawa wa kijinsia,ulinzi wa vijana na watoto kwenye mitandao,kupambana na ukatili wa kijinsia unaofanyika mtandaoni🙌🏾 Ikumbukwe ni mtangazaji wa podcast yake maarufu "Dig It With Imani" @digitwithimani inayojadili masuala ya haki za kidigitali,usalama mtandaoni na ukatili wa kijinsia mtandaoni🙌🏾 Thomson Reuters Foundation wanamtambua @Imaniluvanga kama global changemakers wa mwaka 2022🙌🏾 Imani Luvanga anaendelea kuwa mwanamke anayefanya vizuri mno kwenye tasnia ya uandishi wa habari,Tunampa maua yake akiwa bado hai🫡🙌🏾
29
36
2
471
36,818
Baba momo retweeted
Mungu anatufundisha kuwa jirani si mtu wa kuishi naye tu, bali ni mtu tunayopaswa kumpenda, kumsaidia, kumheshimu na kumtendea mema.
4
17
124
2,982
Baba momo retweeted
Kama inavyoangaziwa kwenye makala ya gazeti hili, matumizi ya mafuta hatari ya Trans Fatty Acids (TFAs) kwenye vyakula ni janga linaloweza kuepukika. Kinga ni bora kuliko tiba! Tunatoa wito kwa @TBS_Tanzania kupitisha Kanuni ya Lazima ya kudhibiti viwango vya Trans Fats kwenye bidhaa zote za vyakula nchini ili kulinda mioyo na afya za wananchi wetu. Tushirikiane sote kutaka sheria na kanuni zitakazotulinda! @IncubatorGHAI @IILAinfo @CefrohtUg @GlobalWaveDigtl @KELINKenya @heala_SA #KingaNiBoraKulikoTiba #TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC
1
7
10
224
Baba momo retweeted
Je, unajua kuwa haki ya mwanamke kumiliki na kutumia ardhi ni msingi wa maendeleo ya familia, usalama wa chakula, na uwezo wa kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ? 📅 12–13 Agosti 2026 📍 Morena Hotel, Dodoma ARDHI YAKE. HAKI ZAKE. MUSTAKABALI WETU. @stand4herlandtz @Stand4HerLand #LindaArdhiYaMwanamke #HakiHainaJinsia #S4HL
🤖 Made with AI
11
11
288
Yule mkaka wa Yanga 💚💛 – at Tanzania
6
195
Happy birthday to me 🌚
1
2
159
From July 6–10, Zaina Foundation is in Geneva, Switzerland, participating in the WSIS+20 High-Level Event and the AI for Good Global Summit. We’re excited to engage with global leaders, share our work on digital rights work #DigitalRightstz #WSIS2026
1
4
112
Dear Jesus Christ thanks for your blessing 🙏 – at Dodoma, Tanzania
3
63
Baba momo retweeted
Waandishi wa habari wanapaswa kuzingatia utu na kuwatia moyo wahanga wa Ukatili wa Kijinsia #ZuiaUkatili #WomenInMediaTz
2
12
17
304
Baba momo retweeted
Agenda ya usawa wa kijinsia inapaswa kuwa shirikishi na kuimarishwa katika ngazi zote, ili vijana wengi waweze kushiriki kikamilifu na kuifanya isiwe tu ya kisera bali ya utekelezaji wa vitendo.~ Mkurugenzi @ElimikaWikiendi , @massawejk #KizaziChenyeUsawa #GenerationEquality
1
13
14
286
Baba momo retweeted
Kufufuka kwake Yesu Kristo ni ushindi kwa waaminio.
4
49
752
Baba momo retweeted
Mauti pia hata na kifo Yesu ameshinda.
7
27
551
Baba momo retweeted
Amefufuka! Kristo amefufuka! Tunapoadhimisha ufufuo wa Yesu Kristo, tunakumbushwa kuwa baada ya giza la mateso, kuna mwanga wa ushindi. Pasaka ni msimu wa matumaini mapya na mwanzo mpya. Na sisi @TawlaTZ , katika kuadhimisha Siku Kuu hii, tukisimamia utetezi wa haki na usawa wa kijinsia, tunawatakia ninyi na familia zenu Pasaka yenye amani, furaha, na baraka tele. Upendo na ushindi wa siku hii ukaangaze katika kila jambo mnalolifanya. Heri ya Pasaka kwa Wadau, Wanachama, na Watanzania wote! #Pasaka2026 #EasterSunday2026 #HappyEaster #HakiHainaJinsia
1
6
11
123
Baba momo retweeted
Kwenye maisha onyesha sumu Yako lli wasikudharau maana nyoka angekua mpole kuna watu wangemgeuza kamba.
2
9
162