Gerald Hando (@geraldhando) header
Gerald Hando (@geraldhando) profile picture

EFM RADIO & TV E/JOTO KALI LA ASUBUHI #KingMende

tanzania
Joined September 2015
Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)Photo by Gerald Hando (@geraldhando)
Mhe.Aweso aletwe siku moja kwenye Joto Kali...awekwe Kiti moto na @geraldhando.
2
2
18
Ikawe Wiki yenye Kufungua Baraka zetu na mafanikio yetu na kurudisha Tabasamu lililopote na kutupa tumaini jipya la kusonga mbele bila kukata tamaa Amen🙏!
1
15
Heri ya kuzaliwa #KingMende @geraldhando. Afya njema kwako...gwiji la Utangazaji wa vipindi vya asubuhi.
1
1
23
PAUL MAKONDA ASAKWA KWA TOCHI
29
17
4
261
Hawa Lakers wataingia playoffs kweli?naona wanapukuswa tu le Super Team 😆 – at Dar es Salaam, Tanzania
2
2
1
19
AJERUHIWA KISA CHAPATI 5 Mwanafunzi wa kiume(13) mjini Mombasa amepata jeraha kwenye ini na sehemu za siri baada ya kuchapwa na mwalimu kwa kosa la kula chapati tano badala ya moja,Mamlaka nchini Kenya zimeifunga shule hiyo kutokana na tukio hilo lililokosolewa vikali na wananchi
1
2
1
14
Replying to @geraldhando
Kila la heri mzee wangu since day one
1
1
2
POLEPOLE AIBUA MJADALA KULA KWA UREFU WA KAMBA
3
6
89
Robo fainali ya AFCON LIVE @dstvtz Mechi hizi zitaruka Live kupitia kifurushi cha Bomba 21,000/= tu ili usikose burudani hii. Piga *150*53# kulipia sasa ili usikose burudani hii. #BirianiIendelee
3
1
22
“Nimewaambia wachezaji sitaki kusikia hata wanazungumza ishu za Simba kwani matokeo yao hayatuhusu na nimewataka wazingatie na kufikiria zaidi mechi zetu zinazotukabili,” “Yanga tuna mechi zetu ambazo sasa zitazidi kuwa ngumu,kuanzia sasa kila mchezo utakuwa ni sawa na fainali.
34
29
2
777
AISEE KANIWEZA @geraldhando
11
14
2
170