WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod) header
WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod) profile picture

Karibu katika ukurasa wa Twitter wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

Dodoma , Tanzania
Joined April 2018
Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)Photo by WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA (@gcumod)
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AMKABIDHI MKUU WA MAJESHI WA KWANZA MSTAAFU TANZANIA GARI JIPYA LA KISASA
98
36
7
304
49,769
KATIBU MKUU WA WIZARA YA ULINZI NA JKT AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA FINLAND TANZANIA.
4
2
11
1,462
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU WAZIRI WA ULINZI WA UJERUMANI
1
4
1,103
WAZIRI WA ULINZI NA JKT AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MKUU WA OPERESHENI ZA ULINZI WA AMANI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI UJERUMANI.
4
12
1,744
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Tax (Mb) tarehe 13, Mei 2025 akiwasili katika Ukumbi wa Mkutano kwa ajili ya Kikao cha Mawaziri wa Ulinzi na Mawaziri wa Mambo ya Nje,jijini Berlin, Ujerumani
2
4
788
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Tax (Mb) Akiweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Ujenzi wa Nyumba ya Mapadri Parokia ya Mtakatifu Kizito, Kabila Magu mkoani Mwanza.
1
3
12
1,228
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 4 Mei 2025, ameweka jiwe la Msingi katika Mradi wa Ujenzi wa nyumba ya Mapadri wa Parokia ya Mtakatifu Kizito, Kijiji cha Kabila, Magu mkoani Mwanza.
3
1
12
1,569
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Stergomena L. Tax (Mb.) Tarh 2 Mei 2025 amehakiki taarifa zake kama Mpiga Kura katika kituo cha Uhakiki Kata ya Itumbili, Magu mkoani Mwanza. Mara baada ya zoezi akatoa wito kwa Watanzania kujitokeza kuhakiki taarifa zao.
2
10
1,384
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe Dkt Stergomena Lawrence Tax katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani, ( MEI MOSI) Singida, ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt.Samia Suluhu Hassan alikuwa Mgeni Rasmi.
1
3
6
1,581
Hongera Sajenti Alphonce Felix Simbu
9
31
1,704
Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, ambaye ni Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Alphonce Felix Simbu, tarehe 21 Aprili, 2025 aliipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika medani ya michezo kwa kuibuka mshindi wa Pili katika mbio maarufu Duniani za Boston Marathon
3
9
28
2,907
Timu ya Wizara ya Ulinzi ya Mpira wa Kikapu ya wanawake tarehe 24 Aprili, 2025 imefanikiwa kutinga fainali ya michezo ya Mei Mosi Taifa baada ya kuichakaza bila huruma timu ya Utumishi kwa jumla ya vikapu 105 - 51.
1
3
951
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 23 Aprili 2025, amefanya ziara na kukagua miradi ya maendeleo katika Kikosi cha Msange JKT pamoja na Kituo cha Mafunzo ya Kijeshi Kalunde (Kalunde Training Centre) mkoani Tabora
2
8
941