Pinned Tweet
Ipo siku isiyo na jina, huyu mnyama ntammiliki.
Hii ndo sababu ninatia stake kubwa kwenye mkeka.
Kapuya retweeted
🎙️Giorgio Chiellini talks to Business of Sport — discussing the differences between the Premier League and the rest of European football, reflects on his playing career and explains how he has developed in his new role as a Juventus executive.
Chiellini also looks back on one of the defining achievements of his international career: winning the Euro 2020 with Italy. 🇮🇹 ⚪️⚫️#Juventus
Kapuya retweeted
Replying to @NikoJMT
A society that tells men they don't deserve any woman when they're broke has no right to demand that a rich man who can afford many women should stick to only one.
Kapuya retweeted
Wamiliki wa Arsenal, Kroenke Sports & Entertainment, wanaamini Arteta ndiye mtu sahihi wa kuirejesha klabu kwenye ushindani wa mataji makubwa.
Wengine waliona sababu ya kumfukuza, Arsenal ikaona sababu ya kumuongezea mkataba! ❤️🤍
4/4
🔴⚪
#MchambuziHuru
Kapuya retweeted
Anaendelea kusema
“Sijawahi kuona jambo kama hilo. Nilijawa na hisia, nikajiambia, Hawa watu wako makini na wamejitoa kwa dhati. Imani yao kwangu na benchi langu la ufundi imenigusa. Kwa hiyo, nitasonga mbele kwa nguvu zaidi.”
3/4
Kapuya retweeted
Arteta alisimulia namna alivyopokea taarifa hiyo
“Walinipa mkataba huo baada ya kupoteza mechi tatu. Nilishangaa na kusema, Chapeau! (Hongereni). Hili si jambo la kawaida katika soka.”
2/4
Kapuya retweeted
Ni asubuhi na mapema , Baada ya Arsenal kupoteza mechi tatu mfululizo na timu kuwa ya 20, Arteta anaingia ofisini na kukuta bahasha mezani. Wakati wachambuzi wa Sky Sports wakitaka afukuzwe, anaifungua na kukutana na jambo lisilotarajiwa…
Mkataba mpya wa miaka mitatu! 😳
1/4
Kapuya retweeted
Kwenye game 10 mna points 8..Tafuta wastani wa hizo points kwa game 38 alafu uone kama mtafika hizo 45😀..Nyie shukeni tupumzike banah
Kipi ni kipimo cha kufeli au kutokufeli kati ya hivi?
1. Abebe ligi
2. top 4
3. Aende Europa
4. Aende conference
5. asishuke daraja
6. Au any of the above plus cup
Kapuya retweeted
Since losing to Man City in April, we have won 14 out of 15 PL games with one loss.
This is the most wins Arsenal has put together in a 15 game stretch in the league since 2002. Super Mikel Arteta 👌🏽
Kapuya retweeted
Mpanga ratiba lengo lake halikuwa zuri,katika mechi 16,mechi 11 ni za away na 5 home
Mechi zijazo timu haitatoka nje ya London zaidi ya moja
🏡 vs Hull
🚍 vs Newcastle
🏡 vs Dortmund
🏡 vs Man City
🚍 vs Brentford (London)
🚍 vs Spurs (London)
🏡 vs Real Madrid
#mchambuzihuru


























