fezoo retweeted
Yani lazima nijee nimfanye mtu โsingle dadโ hata kwa week tu popote alipo ajiandaeโฆ. ๐คฃ๐คฃ
fezoo retweeted
Now nimeelewa Kwanini watu wengi waaamuaga kupotea na kwenda mbali na kuanza upya๐คฆNapitia wakati mgumu sana now ๐
fezoo retweeted
Tunawaruhusu mcheze mechi 6 bila sisi kucheza na mshinde zote alafu ndo sisi tuendelee..Sema asante๐
fezoo retweeted
Me naona watu wanalalamika sijui Marioo kazingua ! Na ndo unafiki tunao Watanzania, mtu anakuanza chokochoko ukishapigisha shoti tu ndo waanza aah malizeni hivi , this not fair nyenyenyeeโฆโฆhakuna ๐คฃ๐คฃ๐คฃ anza ! nimalize! โฆ. Mimi ni Marioo mtupu
fezoo retweeted
Unampenda mwanaume vizuri tu ,anakuomba umkopeshe na mahari halafu akishakuoa baada ya mwaka ndio unagundua alishaoa na anawatoto ๐๐๐
fezoo retweeted
This is very unnecessary, mambo ya kiume private unakuja kuyasema public. Omary hapa kazingua Big time ๐ฎ
fezoo retweeted
Ila yule bibi anaonekana mtaalamu wa ile michezo๐ฅ๐ฅ๐ฅ
Imagine anacheza miguu yote mbele na nyuma๐๐๐























