@everyythangsbi
iAccount based inAfrica
About this account
- Account based in
- Africa
- Connected via
- Africa App Store
Account-level information from X, not a live location or the device used for a specific post.
Made In The Capital!! - @FaithfulAve_ ☁️🇹🇿 Call or Text Me Through +255 656 346 497
The Capital , Dodoma
Joined March 2020
- Tweets47.2K
- Following994
- Followers823
- Likes91.8K
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
Being ready is a myth. You start. You suck. You figure it out. You learn. You get better.
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
This is so embarrassing lol. Halafu huyo baba levo hawezi kuwa charged for obstruction of justice ama whichever term they use to describe intimidation of a public officer
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imebaini uwepo wa udanganyifu juu ya taarifa za forodha kwenye G-Wagon ya msanii Omary Nyembo (Ommy Dimpoz).
Taarifa iliyotolewa na TRA leo Septemba 28, 2026, imesema operesheni ya ufuatiliaji wa ukwepaji kodi za magari nchi nzima ilifanikiwa kulifikia gari aina ya Mercedes-Benz G-Wagon lililokutwa katika eneo la Palm Beach Casino jijini Dar es Salaam Septemba 26, 2026 ambalo lilikutwa likiwa limeegeshwa bila namba za usajili, na uchunguzi wa awali wa taarifa zake ulionesha tofauti kubwa kati ya taarifa zilizowasilishwa wakati wa taratibu za forodha na hali halisi ya gari hilo.
Imeeleza zaidi kuwa Namba ya utambulisho wa gari(VIN) ilibainishwa kuwa WDB4632762X322756, huku taarifa zilizowasilishwa wakati wa taratibu za forodha zikionesha gari hilo kuwa Mercedes-Benz G-Class G350, yenye mwaka wa kutengenezwa 2020.
Hata hivyo, TRA imeeleza baada ya kufanya uhakiki wa kisayansi na kutumia Forensic, taarifa za gari hilo zilionyesha kuwa modeli yake halisi ilikuwa Mercedes-Benz AMG G63, yenye mwaka wa kutengenezwa 2018, gari ambalo thamani yake ni kubwa kuliko ile iliyowasilishwa katika nyaraka za awali.
Kwa mujibu wa mamlaka hiyo, tofauti hiyo inaashiria uwezekano wa kuwepo kwa udanganyifu uliolenga kupunguza uthamini wa forodha na hivyo kupunguza kiwango cha kodi kilichopaswa kulipwa na baada uchunguzi wa tukio hilo pamoja na gari hilo mamlaka imesema imebaini kuwa limesajiliwa kwa jina la Omary Faraji Nyembo, anayefahamika kama Ommy Dimpoz.
Haya yanatokea siku chache baada ya kusambaa kwa video mtandaoni ikimuonyesha Mbunge wa Jimbo la Kigoma Mjini Clayton Revicatus Chipando @babalevotz akizozana na Afisa wa TRA juu ya kukamatwa kwa gari hilo ambapo video hiyo ilijenga mjadala juu ya mipaka na mamlaka ya mbunge katika kujaribu kumzuia afisa huyo kutekeleza majukumu yake.
Hata hivyo jana Septemba 27, 2026 Ommy Dimpoz aliomba radhi juu ya tukio hilo akisema kuwa yeye hakuwazuia maafisa hao. Na baadae Baba Levo pia alionekana kuandika ujumbe wa kuomba radhi mtandaoni.
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
A power couple, to me, is having pure, real love and similar mindsets. With that, you can achieve anything. That’s why I say it’s important to find the male/female version of you and lock in. Anything less is a distraction.
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
Point of correction , its day 8.
Kwanini tumesimamisha production ya T-shirts , phone case & backpack.
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
In order to bring back love letters, we must first bring back the real lovers, and in order to bring back the real lovers, we must bring back emotional intelligence, kindness, empathy, and consideration.
Siku hizi watu wengi wanaofanya vizuri kwenye sectors mbalimbali hawajatoka kwenye familia za kimasikini kama zamani!!
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
Every time you fuck a slut you're telling your subconscious that you're a loser who will fuck anything because that's exactly what you just did
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
May Allah bless every woman chasing a dream with sincerity, patience, and barakah. 🤍✨
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
when my beautiful wife says “come to mommy” and i see my son running to her
Shreubui Binoh ( SB ) retweeted
HOV hit the lottery with Beyoncé because she’s a baddie and a hard worker—that’s the underlying theme ppl are missing when he brags.