God Is Great/GTS.

else
Joined April 2024
Ugali huwa ni mtamu ukipikwa na msukuma au mrangi.😋
11
16
1
35
609
Man U direct win Stake a WIFE!!!!
18
9
10
50
2,218
Sema kitu chochote ambacho una uhakika 100% kitatokea kwenye mchezo wa COMO Vs MANCHESTER UNITED leo.....👇
14
13
1
51
987
Jezi ya Como naipata wapi mapema hii kabla ya jua halijazama? 🤔😁😁 – at Dar es Salaam, Tanzania
9
16
1
42
977
Nilkutana nae picnic akawa ananukia vizuri sana, nikamuuliza jina ka perfume akasema kasahau nimpe namba atanitumia picha yake baada ya hapo akaanza kuniomba mchezo, nilimshtaki kamati ya maadili mkoa
ᥱ01@ercurry_18h
Ulijuaje huyu dem ni maji mara moja?
6
5
6
215
ᥱ01 retweeted
37 UCL games, 0 yellow cards.
132
2,412
175
37,368
273,508
COMO leo ameingia choo cha kilema! Mguu ndala, mkono ndala atapigwa kama ngoma. Bora ukutane na Simba mwenye njaa kuliko Man U ya sasa maana chini ya goal 3 hatushangilii
68
57
38
282
12,627
Miaka ya nyuma kidogo nakumbuka nilimtongoza binti wa jirani yangu japo yeye alikuwa ni mkubwa kidogo kwangu akagoma na akatangaza kwa baadhi ya mashoga zake Ikapita miezi kadhaa ndani ya huo huo mwaka akaolewa Arusha akaenda huko Arusha kwa mme wake! Imepita miaka kama 2 hivi tukapata msiba wa bibi yangu akaja kuhani Sasa katika ile “jamani poleni” mimi nikamjibu tu kawaida “Ahsante” akaniuliza “mbona haunifurahii na nimetoka mbali kabisa kuja huku au hujasahau tu lile ombi lako?” Mimi kimkazo nikamjibu “ombi lipi?” Nikajifanya kama nimesahau ili kurahisisha mambo akanijibu “jaribu kukumbuka,ukikumbuka nijibu kabla sijaondoka tuyamalize tuache kununiana maana nimeshakuwa saivi natambua tupo kwa ajili yenu wanaume” Basi bhana story yetu imeishia hapo japo mimi na yeye tushamaliza ugomvi wetu saivi tunapigiana sana simu na huwa akitoka kwa mmewe akirudi huku nyumbani kwao tunaonana tunasalimiana
101
47
5
358
24,814
Game ya Como vs Nyumbu Leo Kuna mambo haya✌🏻 – at Dar es Salaam, Tanzania
3
14
27
492
Mwanzo 9:6 👉Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
7
24
38
525
Kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE kwasasa ni bora ukutane na Real Madrid sio PSG
20
35
3
237
5,897
Kukua kiakili ni kutambua kuwa Barcelona wa UEFA hawana tofauti na Yanga wa CAF 😂😂 – at Dar es Salaam, Tanzania
11
32
2
67
1,055
Leo sisikii ikisemwa vibaya EPL na ule upande
16
14
4
98
2,130
ᥱ01 retweeted
Psg after beating Barcelona 😂
93
677
44
5,706
277,664
Alafu unaambiwa past is past 😂🚮
30
154
5
814
77,078
Huyu unaweza usimuelewe kwa sasa kwa kuwa bado penzi lenu tamu ila baadae utakuja kumwelewa
1
22
238
9,928
Him.
416
10,441
449
109,319
949,988
Tonight we're hate watching Barcelona
38
206
3
4,670
217,157
This Barcelona video will be useful today 😂
743
5,472
538
32,226
1,014,137
ᥱ01 retweeted
Out Of Context Football
@nocontextfootyOct 20
192
6,257
416
50,229
956,235