MILLION MANGI retweeted
Replying to @Masstown_
Yaaani kiukweli sisi watanzania kitakachotutenganisha kwenye hizi dini ni ibada tu and nothing else....mm nikiona mpo kwa ibada mtanisamehe tu ndugu zanguni nitawapisheni muendelee na mambo zenu then will join again
MILLION MANGI retweeted
The Continent
Shirika la kimataifa linaloshughulikia haki za binadamu la Amnesty International, limetoa ripoti yake inayodai kwamba, vyombo vya usalama vya Tanzania vilitumia nguvu zisizohitajika au kupita kiasi katika kudhibiti maandamano ya uchaguzi kati ya tarehe 29 Oktoba na 3 Novemba 2025.
Ripoti ya Shirika hilo iliyotolewa Desemba 19, 2025, imeeleza kwamba shirika hilo limegundua kuwa vyombo vya usalama vilitumia silaha kwa uzembe, na kusababisha majeraha na vifo kwa watu wasiokuwa na hatia, huku wakitumia gesi ya kutoa machozi katika maeneo ya makazi na hata kuirusha ndani ya nyumba za watu.
Kulingana na Katibu Mkuu wa Amnesty international, Agnes Callamard, vurugu zilifanywa na vyombo vya usalama dhidi ya waandamanaji na watu wengine waliokuwa wakitekeleza shughuli zao za kila siku.
Kwa mujibu wa Katibu huyo, baada ya kuzimwa kwa mtandao, maafisa wa usalama waliwapiga watu na kuwatesa kwa njia mbalimbali, kuwanyima waliojeruhiwa huduma za afya, kuwakamata waliokuwa bado wanahitaji matibabu, na kuchukua miili ya waathiriwa kutoka mochwari na kuipeleka kusikojulikana.
Hata hivyo, Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alipokuwa akizungumza na Wazee wa Dar es salaam, Desemba 2, 2025, alieleza kwamba kiwango cha nguvu iliyotumika kudhibiti maandamano ya Oktoba 29 kiliendana na tukio husika.
Mapema tarehe 14 Novemba, Rais Samia alitangaza kuundwa kwa tume ya uchunguzi kuhusu kilichotokea wakati huo; tume ambayo uhuru wake umetiliwa shaka na vyama vya siasa, wanaharakati na mashirika ya kiraia nchini.
MILLION MANGI retweeted
The Mau Mau weren’t ‘savages’ or ‘terrorists’ like Britain claimed. They were Kenyans pushed to the edge by land theft, forced labor, and colonial violence. When people have nothing left to lose, resistance gets labeled as madness instead of survival.
Ashleytheebarroness
MILLION MANGI retweeted
"Since I started working over 15 years ago, I had never seen something like this. I had never seen so many people shot like this, and so many dead bodies piled up and crows eating their flesh," a Dar es Salaam healthcare worker describes the wounds inflicted on Tanzanians🇹🇿 when security forces opened fire on protestors.
Hundreds of young people with gunshot wounds were admitted for treatment in hospitals across Dar es Salaam, Arusha and Mwanza. They had suffered injuries to the head, groin, legs, neck, stomach, buttocks, back and chest.
“The police didn’t launch any teargas. They just used live bullets. They were standing behind the car. After a short while, I came out and heard people shouting, ‘He has killed him, he has killed him.’ I saw from a distance the collar of the shirt of the person lying on the ground and I noticed it was my husband,” Maria narrates how police shot her husband in Dar es Salaam’s Magomeni area on 29 October 2025.
One healthcare worker described a heavy police presence in his hospital in Mwanza, with officers instructing nurses to stop treating some of the injured. “They took people who were still breathing and could be saved, to the morgue,” he says.
“They aimed and fired; I felt pain on my left lower leg near the ankle. That pain brought me down to the ground, when I touched it, I saw blood oozing out. That’s when I realised, I had been shot. From the ground I could hear more firing,” narrates a resident of Goba in Dar es Salaam. He was forced to flee to Kenya.
Tanzanian security forces used firearms recklessly, injuring and killing bystanders, and abusively deployed tear gas in residential areas and into people’s homes.
In Tabata primary school in Dar es Salaam, security forces and men dressed in plain clothes carried out acts of torture. The victims – all men – were forced to roll over on the ground, crouch-walk, or sit by the side of the road, while being beaten with batons, punched, whipped, kicked or dragged by their limbs.
During the nationwide internet shutdown, security officials subjected individuals to beatings and other forms of ill-treatment, denied the wounded access to healthcare, arrested some still in need of care, and collected bodies of victims of their brutality from mortuaries, taking them to unknown places.
Healthcare workers from Arusha and Dar es Salam said hundreds of dead bodies were brought to their hospitals, with some left outside due to lack of space in the morgues.
Source: New Report by @amnesty. amnesty.org/en/latest/news/2…
MILLION MANGI retweeted
Most African youths support Captain Ibrahim Traoré of Burkina Faso 🇧🇫 because he is doing what democracy could not do for the country.
MILLION MANGI retweeted
"Africa is not poor because of colonialism. Africa is poor because we have made it impossible for our people to create wealth". ~ Magatte Wade
MILLION MANGI retweeted
Watanzania achaneni na Majizzo na wapuuzi wengine. Kwa hali ya sasa sio Majizzo tu hata Kusaga wiki ijayo atawaombea msamaha wasanii. Kwa sababu hizi
1. Radio & Tv zinakufa pia sio wasanii pekee
2. Serikali batili inahitaji Watanzania mrudi kuwa busy na wasanii ili wao waendelee na unyonyaji na uuaji.
3. Wasanii ndio tegemezi la CCM katika kuhamasisha Jamii, so wananchi mkiwapuuzia na kuwapotezea wasanii na serikali batili imepoteza nguvu juu ya wananchi.
4. Wanataka nchi irudi kwenye hali ya zamani, yani wananchi mko busy na wasanii na sio seriajli.
MILLION MANGI retweeted
Hivii CCM , mna kumbuka zile stori zilikuwa zinapigwagwa zamani kuhusu mwanamke na kubeba mimba ? Mimi kuna stori nilikuwaga nasikia, eti mke wako anaweza kubeba mimba halafu mimba ile isimpemde baba aliyeiweka!! Sasa nilikuwa naona huu ni ujinga kabisa , mimba yangu halafu inanichukiaje eti ? au eti hii mimba inamchukia mama mkwe , tena utasikia yaaani mimba yake inachukia ndugu upande wa mume wake !! Etii akiwaona tu , tumbo linaanza kumuuma na kutapika au etii mimba yake inampenda mlinzi wao , hizi stori zimechelewesha maisha bora kwa familia nyingi. CCM ninacho kijua kuhusu nyie , mtararuana na kupasuana kuliko ambavyo mmeshawahi kuwafanyia mlio waona maadui zenu!!
MILLION MANGI retweeted
Uovu na utekaji lazima tukemee Kwa Nguvu zote na hili ni la Kila Mtanzania
Watekaji kama SAMIA SULUHU HASSAN lazima wachukie



























