. (@dr_bashiru) profile picture

.

Dar es Salaam
Joined June 2014
Ubadhirifu ni dhana kubalika na barikiwa ndani ya chama chetu CCM. Hasa wakati tunapoongozwa na watu legelege.
74
58
7
440
Mchwa wapo kazini. Nchi inatafunwa mithili ya fisi atafunavyo mifupa.
67
56
10
527
Kwa kauli yake ile ya watu wazuri hawafi, na kutaja mifano ya Jakaya na Kinana, moja kwa moja kaka yangu Yusuph Makamba alimaamisha Waliokufa, akina Mzee JPM, Mzee Mkapa, Balozi Mahiga, Balozi Kijazi, Jaji Ramadani, nk walikuwa watu wabaya. Kaka Makamba atafakari kuomba radhi.
90
63
4
679
Tatizo ni; -umeme -maji -gharama za maisha. Katikati ya hayo hakuna kuupiga mwingi. Lakini tunaweza kuimba anaupiga mwingi ili watoto wetu waendelee kula.
109
134
5
1,321
Hizi ni kauli za kuzuga tu, ili kuwazubaisha mahasimu na kumuweka mtoto pendwa karibu na Rais waendelee kuusoma mchezo. Ila matokeo ya kura jana yalifikisha ujumbe mahali pake.
55
42
5
371
Jana kulikuwa na timu mbili zinachuana kuweka watu wao kwenye ujumbe wa halmashauri kuu. Hakika ulikuwa mchuano mkali. Genge moja la wahalifu limefanikiwa kuweka watu wao ingawa si kama vile ilivyotarajiwa.
147
113
7
1,296
Watanzania wameshangaa mabehewa ya treni waliyoletewa na viongozi wao; Hii ni ishara kwamba raia hawana taarifa au hawapewi taarifa za kutosha kuhusu masuala yanayowahusu. Au wanadanganywa.
72
43
4
396
Enzi akiwa Chadema @kigogo2014 aliwahi kumuandika Mwenyekiti wa CCM Taifa namna hii.
43
32
1
201
Ndege yetu imezuiwa nchini Uholanzi kwa amri ya mahakama ya kimataifa ya usuluishi wa migogoro ya uwekezaji (ICSID). Kampuni moja la Sweden lilofutiwa hati ya umiliki wa ardhi Bagamoyo wakitaka kujenga kiwanda cha Sukari - ndilo liloshitaki na kushinda kesi.
197
127
11
1,177
Mkishafikia hatua ya kumwambia mtu anaupiga mwingi wakati umeme hakuna, chakula bei ghali, maji hadi mvua inyeshe - mmekwisha.
170
157
13
1,678
Madalali wa siasa na wapigaji wanatuvuruga sasa.
65
153
20
891