Masam retweeted
Wanaodhulumu katika Vipimo, Hawadhulumu ila nafsi zao, kwani moto wa Jahannam ndio makao yao ya kudumu
Natafuta mtu anaweza kutengeza Jingle ya maana ikavutia waskizaji
@wasafifm @EfmTanzania admin msaada kwenu.
0747163696 โ at Dar es Salaam, Tanzania
Masam retweeted
Kama bajeti inaruhusu, na una uwezo wa kuipush, basi usifanyishe kazi za bure ndugu zako kwa kigezo cha "yule ninammudu".
Masam retweeted
Issa Weekend already๐
Before you go out, Jipige Uturi wa kufa mtu kwanza๐ Oud perfume kwa Tsh 20,000 tu
Call/whatsapp 0717250550
Masam retweeted
..this is ridiculous!
I hate Earth, it's a horrible home.
People are stupid. They love having robots do their jobs, but they don't create a system of universal income so they can have money after the robots take their jobs, it makes no sense! ~ Korvo.
Masam retweeted
Naombeni RT 5000, wacha tujaribu bahati wazee wa kazi. Usiscroll bila RT ๐ช๐ฝ๐ช๐ฝ
Day two : Ngorongoro
It you are looking for the Best Safari Tour of #Ngorongoro #Sserengeti
Just Contact @pamojasafaris @pamojasafaris
Hawa jamaa wanakutembeza mpaka unasema Nataka kulala ๐
#Ngorongorocrater
1
1
I cheer for the #TaifaStars in this #TotalCHAN2020 game against Zambia ๐ฟ๐ฒ! Go Tanzania ๐น๐ฟ! #ZAMTAN #FootballTogether
Masam retweeted
Like for bakwata, Retweet for sheikh ponda. @kigogo2014 @fatma_karume @MariaSTsehai @HilmiHilal88 @ThatBoyKhalifax
Masam retweeted
Aya Wajameni, Andazi Vs Mkandamizaji
Retweet For Andazi ๐
Like For Masanja!โฅ๏ธ
Twende Kazi
Masam retweeted
Tumewasili Ukerewe kwa mtumbwi wenye injini. Magufuli na CCM yake wanatapatapa, wanafikiri kwa kuzuia kivuko wanamzuia #TunduLissu2020 ila wanaleta usumbufu mkubwa kwa wananchi wenzetu wa #Ukerewe na #Kisorya.
Retweet ๐ tuwaambie tuna jambo letu tarehe 28 Oktoba!
#ChaguaLissu โ at Mwanza, Tanzania
Masam retweeted
Tumefikia nusu ya kampeni kura yako inakwenda kwa nani?
Retweet kwa @TunduALissu
Like kwa @Mgufuli



































