Dizzle.mazabe (@dmazabe) header
Dizzle.mazabe (@dmazabe) profile picture

handsome boy also social people.

Pwani, Tanzania
Joined July 2015
Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)Photo by Dizzle.mazabe (@dmazabe)
Dizzle.mazabe retweeted
Sijalipwa hata 100 wame Freeze Account yangu. 😎
81
108
16
922
164,785
Kwa kuwaongezea, Lema alikuwa anachat na Nchimbi muda wote. Na maongezi yake na Nchimbie yalitumika kwenye kamati ya maadili. Lema alimuuza Nchimbi. Ukisoma hizi posti kwa kutulia utaona Lema anacheza team gani kwa sasa. Kiongozi yoyote huko CCM ambae unachat na Lema, we jua kina Abdul message zako zote wanazo…….
93
244
18
1,790
434,045
Dizzle.mazabe retweeted
Replying to @xchiefv
Real Madrid 0-1 getafe
2
1
6
260
Dizzle.mazabe retweeted
Replying to @OnlinePalEng
وَٱقْتُلُوهُمْ حَيْثُ ثَقِفْتُمُوهُمْ وَأَخْرِجُوهُم مِّنْ حَيْثُ أَخْرَجُوكُمْ ۚ وَٱلْفِتْنَةُ أَشَدُّ مِنَ ٱلْقَتْلِ ۚ وَلَا تُقَـٰتِلُوهُمْ عِندَ ٱلْمَسْجِدِ ٱلْحَرَامِ حَتَّىٰ يُقَـٰتِلُوكُمْ فِيهِ ۖ فَإِن قَـٰتَلُوكُمْ فَٱقْتُلُوهُمْ ۗ كَذَٰلِكَ جَزَآءُ ٱلْكَـٰفِرِينَ
1
17
Dizzle.mazabe retweeted
GOAT.
71
1,398
6
10,235
127,186
Repost jero Bila Sababu za Msingi.
28
1,948
5
4,096
54,482
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 147 Anaendelea Mhe. Lissu Waheshimiwa Majaji, Hoja yangu ya pili ni kwamba, huyo shahidi ni shahidi wa namna gani? Kwa mujibu wa kanuni ya 3 lazima awe yuko chini ya amri ya ulinzi. Sasa Mahakama hii inawezaje kujua shahidi kama yuko chini ya amri ya ulinzi? Naomba kuwarejesha kwenye Kanuni ya 5(1) ambayo inasema mtu huyo lazima awe amebainishwa katika maombi. Maana ya haya maneno ni nini? Maana yake rahisi ni kwamba mtu ambaye jina lake lilipelekwa kwa jaji likaombewa ulinzi. Jaji awe anamfahamu kwa jina na kuwa maisha yake yako hatarini. Naomba niwarejeshe kwenye hati ya maombi ya tarehe 14 Julai 2025, hiyo application ina viapo viwili, ina kiapo cha SSA Mose Kaima na ACP Amini Mahamba. Waheshimiwa majaji kwenye hiyo hati ya maombi, hivyo viapo viwili hakuna kiapo hata kimoja chenye jina la shahidi hata mmoja. Katika orodha ya mashahidi wanaoitwa wamepewa ulinzi, hakuna hata jina moja la shahidi ambalo lilipelekwa kwa Jaji Mtembwa. Hiyo amri ilitolewa on insufficient ground na ilitolewa kwa concealment (kwa kuficha Ushahidi kwa mahakama) na mawakili wa serikali. Walipaswa kupeleka majina kwa jaji lakini hawakufanya hivyo, hivyo Jaji Mtembwa hawafahamu na nyie waheshimiwa majaji hamuwafahamu, wanajulikana tu na waliowaleta, hivyo sitaki kusema kuwa amri ya ulinzi ilipatikana kwa fraud but by concealment by the State Attorneys. Waheshimiwa majaji kama hiyo ni haki then tunahitaji tafsiri mpya ya haki huku Duniani. Waheshimiwa majaji sio tu kuwa hakuna majina ya mashahidi ila hakuna hata majina ya wanaowatishia ni maneno tu, maneno matupu kabisa. Hata nature ya vitisho haijaelezwa kwamba wanatishiwaje, kivipi na nani anawatisha? Haipo kabisa. Waheshimiwa majaji, sasa niende kwenye hoja yangu ya tatu ambayo ni kuhusu amri ya Mahakama Kuu; Mahakama kuu ilitoa ulinzi upi? Ili kujibu hilo swali sawasawa naomba nitangulize kanuni ya 7(1) ya Kanuni za Ulinzi wa Mashahidi. Kanuni inasema kwamba hatua za ulinzi wa shahidi zitadumu kwa kipindi cha usikilizwaji wa kesi isipokuwa kama amri husika itaashiria vinginevyo. Kwenye uamuzi wa Jaji Mtembwa maombi ya Jamhuri yalikuwa kutokuonyesha utambulisho wa mashahidi wanaotarajiwa kwa kutokuweka wazi nyaraka zinazoweza kupelekea shahidi kujulikana, matumizi ya majina bandia, amri nyingine yoyote kwaajili ya usalama wa mashahidi wa Jamhuri wakati wa mwenendo wa ukabidhi au wakati wa kesi kusikilizwa. Naomba waheshimiwa majaji pia muangalie kanuni ya 6(1) ili muone ni maombi gani mengine ambayo kama upande wa mashtaka wangetaka wangeyaomba. Kanuni hii imetaja orodha ya amri zinazoweza kuombwa na kutolewa na mahakama. Zimeelezwa kwa uwazi kabisa kwenye kanuni husika hii itatusaidia kuelewa ninachotaka kukisema. Waheshimiwa majaji, katika kanuni hiyo ya 6 kuna amri 16 ambazo zinaweza kuombwa na hiyo ya kutumia kizimba maalumu hawakuomba mawakili wa serikali. Katika dunia hii waheshimiwa majaji, usipoomba hupewi, hili sio takwa la kisheria tu ni takwa pia la kibiblia kuwa ombeni nanyi mtapewa. Jamhuri walipewa amri nne walizoomba lakini amri ya kutumia kizimba maalum hawakuomba, hivyo hawawezi kupewa kitu ambacho hawakuomba katika lugha ya kisheria, they are estopped. Waheshimiwa majaji kwa maoni yangu kanuni hizi zilitungwa kuwafurahisha waendesha mashtaka na watu wao. They are totally one sided. Waheshimiwa majaji kwa mujibu pia wa kanuni ya 8 kama Jamhuri wangeona amri za Jaji Mtembwa haikulinda mashahidi sawa sawa walikuwa na fursa ya kuleta maombi mbele yenu kwa mfano kuwa tunaomba kutumia kizimba maalum, hawajaleta maombi hayo. Now it is late in the day to sneek in today kuleta hao mashahidi. Wameleta wakijua kanuni hizi hamtazisoma au mshtakiwa atanyamaza. Wamelalia haki yao, waachwe waendelee kuilalia. Part 148 itaendelea kwenye post inayofuata. Naomba Repost yako.
75
595
14
1,514
103,815
Dizzle.mazabe retweeted
Replying to @Thereal_taivina
jaman mnifae mtaji japo 5K
1
49
‼️🚨TUPO TAYARI KUKUSANYA TAARIFA NA USHAHIDI‼️ Call centre ya Oktoba 29 imekamilika. Unaweza kutuma ujumbe kupitia Whatsapp, Signal na Telegram Pia unaweza kutuma SMS na ujumbe wa sauti Na wakizima kabisa mitandao tumia RelaySMS Call centre ni salama na server ziko nje ya nchi na wabobezi wa maswala ya usalama wa kidijitali! Safari ya ICC ya madhalim yataanzia hapa! Tumia vyema simu yako kurekodi ushahidi #MO29 #OktobaTunatoka
31
318
4
1,170
117,001
Dizzle.mazabe retweeted
TAARIFA KWA UMMA! Tupate 🔁Repost 1000
40
628
7
1,394
30,460
Dizzle.mazabe retweeted
MAMBO 10 YA KUZINGATIA WAKATI WA MAANDAMANO. 1.Andaa viatu vyako vyepesi kwa mfano raba na epuka aina ya viatu vya mchuchumio au moka. 2.Hakikisha nguo zako ni nyepesi kwa mfano Suruali na T shirt epuka kuvaa vazi zito au nguo nyingi mwilini. 3.Jitahidi uwe japo na chupa ya maji mikononi yatakusaidia Juani au beba soda aina ya fanta au mirinda kukuongezea nguvu 4.Andaa bango lako lenye Ujumbe maalum wa kufikisha kwa Watawala au beba Kipeperushi au bendera inayoendana na maandamano 5.kwa sababu ya maandamano yatadumu kwa muda usiojulikana—epuka kubeba mzigo wa aina yoyote kama vile pochi na vitu vinginevyo. 6.kwa sababu ya msongamano mkubwa wa watu,epuka kuvaa vitu vya thamani kama cheni,hereni na kutembea na kiasi kikubwa cha pesa mfukoni. (simu yako usiache nyumbani ni muhimu sana) 7.Epuka kutumia MATUMIZI ya nguvu pasipo na ulazima sana. HAPA TUTATEMBEA NA KANUNI YA “Wanavyotaka na sisi TUNATAKA/ Watakavyokuja ndivyo tutakavyo wapokea”. 8.Muda wote wa maandamano sikiliza maelekezo ya Viongozi. Hatuna viongozi ila katikati ya mapambano watapatikana viongozi—kuna watu wamezaliwa na kipawa hicho cha kuongoza utawaona na wasikilize. Ukiona mtu anatenda uhalifu wakati wa maandamano,mripoti kwa Viongozi haraka sana.(katika msafara wa Mamba kenge hawakosekani). 9. UCHOVU upo maana hatupo sawa wote kiafya. Ukichoka Tafuta sehemu pumzika kutoa nafasi wengine kusonga mbele bila kukudhuru kwa msongamano utakaokuwepo. 10. Maandamano haya HAYANA MWISHO, yanaweza kudumu hata mwezi. Endelea kufuatilia taarifa mtandaoni na kwa viongozi wako. 29.10 ndio kilele cha ukombozi wa hili taifa na inawezekana. REPOST 200🔥🔥 #MO29 #MaandamanoOktoba29 #SiriNiNamba #TUPOWENGI #OktobaTunaToka #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
30
301
3
1,013
50,564
Dizzle.mazabe retweeted
TAMKO AMBALO LINATAMBULIKA NA WANANCHI KUTOKA JWTZ MPAKA SASA NI TAMKO LA CAPTEIN TESHA. HAO MALAYA MALAYA WENGINE WANAHANGIKA TUU. TANGU LINI JESHI LIKAPONGEZA WATEKAJI KUWA WANAFANYA KAZI NZURI. WANANGU TUNAYO SAPOTI YA CAPTENI TESHA NA WANAJESHI WOTE WA JWTZ. WAMETUAMBIA 29.10 SISI TUTOKE WAO WANAMALIZA KAZI. MO29 TUNAENDA NA CAPTEIN TESHA HATUCHUKUI MAELEZO KABISA OOOOIIII..🪖🔥 TUTAKUWEPO🫵😎
31
284
7
1,682
39,940
Dizzle.mazabe retweeted
Humphrey Polepole, a former Tanzanian ambassador and outspoken government critic, has been abducted by unknown individuals, according to his family. bbc.in/3Wn07Z1
64
554
25
2,062
84,424
Dizzle.mazabe retweeted
Hii Nchi gani ambayo haitaki watu wote wenye akili? Kwamba kumkosoa rais ni hatari kuliko kumkosoa Mungu alietuumba. Mnataka wote tuwe chawa na ng’ombe wa kuimba na kuabudu binadamu mwenzetu? Muachieni Polepole na viongozi wetu mnaowashikilia kama mateka. Hii haitakua rahisi kwenu.
54
412
4
1,757
41,060
Dizzle.mazabe retweeted
Wakili Peter Kibatala kwa niaba ya Mawakili wa Humphrey Polepole ambaye amehudumia Tanzania katika nyadhifa mbalimbali za utumishi wa umma, wamezitaka Mamlaka za Usalama wa Raia na Mali zao Nchini Tanzania kutumia mbinu na rasilimali zote za umma kuhakikisha na kutoa taarifa kwa Umma wa Watanzania na Dunia kwa ujumla kuhusu hali ya usalama na maslahi ya kisheria ya Humphrey Polepole. Taarifa iliyosambazwa na Wakili Kibatala leo October 06,2025, imenukuliwa ikieleza yafuatayo “Tutaendelea kutoa taarifa zaidi juu ya suala hili, zikiwemo hatua tunazozichukua kwa kushirikiana na Watu na Taasisi mbalimbali Duniani kote” #MillardAyoUPDATES
39
116
2
1,306
77,465
Dizzle.mazabe retweeted
CDF wenu ni yupi hapa LIKE ✅ NKUNDA REPOST 🔃 TESHA
25
1,016
5
700
76,903
Mnaanza tena kumlaumu ni kwanini alikuwa bongo nchini!! 🤷🏿 Na walioko nje ya nchi nao kila siku mnawasema wasipigie kelele mbali warudi nchini, fimbo ya mbali haiui nyoka! Wakirudi nchini, mtawalaumu tena ni kwanini wamerudi!! Which is Which?🤷🏿
122
292
7
2,599
55,458
Dizzle.mazabe retweeted
Solidarity with Polepole as he becomes the latest victim of abduction, political persecution & police brutality. Free Polepole.
31
597
9
2,537
59,274
Dizzle.mazabe retweeted
ANAANDIKA DADA WA TAIFA @mangekimambi Naomba niwaambie Watanzania kuwa sapoti alivonayo captain Tesha ndani ya ieshi ni kubwaaaa mpaka inatisha. Yani ni hivi, wanajeshi wanasema Tesha kaliheshimisha jeshi lao kuliko Mkunda. Mambo yanazidi kuwa mazito. Wanajeshi wako na Tesha kwa asilimia 100% Na zinakuja video zingine za wanajeshi wakikazia msimamo wa Captain Tesha. Yani ni hivi, hakutokuwa na serikali ya Samia for the next 5 years. Moja kati ya haya mambo matatu vatatokea hapa, 1. Samia atakubali kuheshimu matakwa ya wananchi na kusitisha kampeni zake na kutoa katiba mpya. 2. Tarehe 29 wananchi wanaandamana na kuchukua nchi yao, tutapata Katiba mpya na uchaguzi kurudiwa. 3. Jeshi litachukua nchi muda wowote kuanzia sasa na tarehe 29 Oktoba au baada ya. Yani ni hivi hakutokuwa na serikali ya Samia for the next 5 years. Watanzania hii mechi tumeshashinda ni vile Kikwete na Samia wana delay kukubali kuwa tumewashinda. Ila dah. bado siamini Tanzania imefika hapa kisa tu Kikwete na Samia wamenogewa na kujilimbikizia mali. TUTAKUWEPO🫵😎
63
420
8
2,167
62,529
Mafwele jiangalie sana na huyo awadhi
10
89
758
18,947