Disability Repro-Light retweeted
Maadhimisho ya #Siku16 za uanaharakati yanaendelea. Leo tunaungana na @UNFPATanzania na wadau wengine kwenye mjadala wa kitaifa wa kutambua haki ya afya ya uzazi na haki ya kuishi maisha bila ukatili kwa wanawake na vijana wenye ulemavu Tanzania
#UlemavuSioKikwazo
#KomeshaUkatili
Disability Repro-Light retweeted
Nuru: "Leo tunazindua mradi unaofadhiliwa na @UNFPATanzania na ubalozi wa @FinnishEmbTZ wenye lengo la kulinda haki za wanawake na wasichana wenye ulemavu Tanzania. Tunatamani kutengeneza majukwaa nchi nzima."
#UlemavuSioKikwazo
#KomeshaUkatili
@UnitedNationsTZ
Disability Repro-Light retweeted
Nuru: "Natoa shukrani kwa serikali imekua mstari wa mbele kutushirikisha na kutujumisha kwenye mipango mbalimbali. Shukrani pia kwa wadau wanaoendelea kutushika mkono sisi watu wenye ulemavu."
#UlemavuSioKikwazo
#KomeshaUkatili
@UNFPATanzania
@FinnishEmbTZ
@UnitedNationsTZ
Disability Repro-Light retweeted
"Mhe. Rais @SuluhuSamia anawapenda sana watu wenye ulemavu. Ametupatia Tshs. Bil. 8 za kujenga vyuo vya watu wenye ulemavu. Vitajengwa Kigoma na Songwe." - Mhe. Ummy Nderiananga - Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu.
Disability Repro-Light retweeted
Mradi wa Chaguo Langu Haki Yangu (My Choice My Right) unalenga kulinda haki za wanawake na wasichana wenye ulemavu Tanzania.
Mradi huu unafadhiliwa na @UNFPATanzania na @FinnishEmbTZ na unatekelezwa na shirika la @WiLDAFTz.
#UlemavuSioKikwazo
#KomeshaUkatili
Disability Repro-Light retweeted
U Z I N D U Z I
Mradi wa
C H A G U O
L A N G U
H A K I
Y A N G U
My
Choice
My
Right.
#UlemavuSioKikwazo
#KomeshaUkatili
@UNFPATanzania
@FinnishEmbTZ
@UnitedNationsTZ
Disability Repro-Light retweeted
1/ Here by popular demand “How to Publish in Academics When Publishing Isn’t Your Thing”.
A #Tweetorial on the picking & publishing low-hanging fruit in academic medicine.
Further input always welcome. By no means complete. Hope it helps. Thread…
Disability Repro-Light retweeted
We are still basking in the afterglow of the #VoiceAt5 celebration. We were more than 300 people at the party.
A BIG thank you to all participants, especially the MC's, all Sign Language Interpreters, audio interpreters and the magic moment-ers! youtube.com/watch?v=3uKGvXmi…
Disability Repro-Light retweeted
Katika jukwaa letu la #FireSideChat mwezi wa Agosti, tutakuwa na Belinda Nendiwe, mwanaharakati wa masuala ya Afya ya Akili kutoka Marcus Mwemezi Foundation (MMF). Atazungumza kuhusu umuhimu wa afya ya akili kwa wasichana.Karibu tujifunze pamoja, njoo na rafiki yako #FireSideChat
Disability Repro-Light retweeted
Generate & use data & evidence to inform programmes & policies relating to adolescent girls & #childmarriage @GPChildMarriage
Disability Repro-Light retweeted
3.Strengthen the availability, accessibility,quality & responsiveness of services for adolescent girls.
4.Develop & implement national laws & policies that protect girls from #childmarriage & promote their development @GPChildMarriage
Disability Repro-Light retweeted
Global Programme on #EndChildMarriage operates under 5 Strategies
1. Empower adolescent girls at risk of #childmarriage or already married
2. Engage families, communities & leaders to protect girls from #childmarriage & uphold their rights
@GPChildMarriage
Disability Repro-Light retweeted
Want help with Self Directed Support? 💰 From payroll, timesheets & social care assessments or a Disability Equality Managed Account, we're here to support you.🙂 Find out more at our website buff.ly/2FUKBwK #SelfDirectedSupport #SDS #DisabilityRights
Disability Repro-Light retweeted
Launching our #SmartGirls program in 6 different schools, “Girls in ICT, our time, our future". Joint collaboration between @dLabTz @udictii @Y4CLab and ICT Commission.
Disability Repro-Light retweeted
Today we commemorated Sexual and Reproductive Health Awareness Day. We spent the day educating students with special needs about their sexual and reproductive health rights.@MagufuliJP @umwalimu @UnitedNationsTZ @AmEmbTZ @UNICEFTanzania @SwedeninTZ
Disability Repro-Light retweeted
This saturday we will be visiting Uhuru Mchanganyiko Primary School; one of the special schools in Dar es Salaam that hosts children with disabilities. We will be exchanging ideas and educating the students on their reproductive health rights. You are all welcome to join us.
Disability Repro-Light retweeted
People with disabilities have a right to be informed about sexuality and reproductive health while having a free will to decision making. #saynotosexualviolence #notogenderbasedviolence
Disability Repro-Light retweeted
Most of young people with disability are subjected to sexual violence.
#KnowTheirStories
#Tanzania
@Mema_Tanzania @wizara_afyatz @disabilityrepro – at Dar es Salaam, Tanzania


































