Pinned Tweet
Proud to have completed my training in AI in Scientific Research with FAMSA and CLIRNET! Ready to apply this knowledge in healthcare research and innovation. Big thanks to the organizers! #AIinHealthcare #Research #FAMSA #CLIRNET #Innovation
Sir Kelvin retweeted
Tatizo linaanzia Ukishaanza...
Kuamini Chochote Ulichonacho ni cha kwako,
As a Matter of Fact
Usiingie Kwenye Mahusino Na
Mindset Ya Kuwa Huyu Ni ...
Mwanamke Wangu.
▻ Roho ya Mtu Haiwezi Kuwa Yako
▻ Mwili wa Mtu Hauwezi Kuwa Wako
You Own Nothing.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Sir Kelvin retweeted
IMAGINE:
Mtu anayekaa mbele ya
↳ mlango kila siku.
• Anafungua mlango.
• Anaangalia kama kuna mtu anakuja.
• Anasuburi, Na kusubiri,
Mtu hajatokea...
• Anafunga mlango.
• Kesho anarudia tena.
Anaendelea kusubiri,
Lakini...
Ndani ya Kufanya hivyo,
↳ Hajawahi kujiuliza swali:
“Kama hakuna anayekuja,
↳ kwa nini bado ninasubiri?”
Na Hivi ndivyo:
↳ Watu wengi wanavyoishi.
▻ Unajua unachotakiwa kufanya.
▻ Unajua unatakiwa kuanza.
Lakini unajisema:
“Nitaanza nikishapata pesa.”
“Nitaanza nikishapata muda.”
“Nitaanza nikijisikia tayari.”
“Nitaanza mambo yakikaa sawa.”
Tatizo ni kwamba…
Mambo yanaweza yasiwahi kukaa sawa.
Na kila unaposema
“baadaye”,
Ubongo wako unarekodi,
Unajifunza kua-hirisha.
Kesho ikifika, unarudia tena.
Una-ahirisha.
Unajisikia vizuri kwa muda
↳ kwa sababu umeondoa pressure.
Lakini kesho…
Unarudia tena.
Na Hapo ndipo waiting loop
Unaanza kuitengeneza Bila wewe Kujua.
Utaniuliza:
"Francis; Mimi tayari nina Tatizo -
kama hili la Kuahirisha Mambo,
Nipe Strategy ya kuodoa hili tatizo kabisa?"
Ok, Bro...
1. Usijaribu Kumaliza Kila Kitu Mara Moja.
2. Anza kabla hujawa tayari.
Chukua dakika 5 tu.
Fanya hatua ndogo ambayo umeendelea kuikwepa.
Kesho, rudia tena.
Kwa-sababu lengo la kwanza SI KUMALIZA.
Lengo ni...
Kuufundisha ubongo wako kwamba
↳ WEWE ni mtu anayeanza.
Usisubiri siku sahihi.
Tengeneza siku sahihi na Anza Mara Moja.
UCHAGUZI NI WAKO.
... anyway 👇🏾
Sir Kelvin retweeted
CONGRATULATIONS🎉
Prof. Bruno F. Sunguya on being awarded the National Best Health Scientist Award by the National Institute for Medical Research (NIMR) at the 33rd Annual Joint Scientific Conference, in recognition of his outstanding scientific excellence and significant contributions to health research in Tanzania.
The recognition highlights his continued commitment to advancing research, innovation, and evidence-based healthcare, which has positively impacted public health outcomes.
MUHAS celebrates him for this achievement and commended his dedication to scientific advancement and academic excellence.
Sir Kelvin retweeted
The fact that no matter how smart you are, you cannot escape the stupidity of your society, is one thing that deeply pains me.
Sir Kelvin retweeted
( The Law Of Echo )
Everything you send out
• Thoughts,
• Words,
• Frequency,
Comes back amplified.
Sometimes immediately.
Sometimes years later.
But it always returns.
That's how TIME balances itself.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Sir Kelvin retweeted
( The Law Of Momentum )
What you consistently
Do compounds in silence
- until it looks like "LUCK."
Energy builds through repetition, not speed.
Even tiny movements today create massive shifts later.
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Sir Kelvin retweeted
Replying to @McinikaWaLamar
Hakuna Kitu Kitakupa NGUVU
Kama Kuanza KUJISOMA.
( STUDY YOURSELF)
• Namna Unavyozungumza
• Namna unavyo React
• Namna Unavyovaa
• Namna Unavyofikiri
• Mazingira Unayokaa
• Watu una-engage nao
• Vyakula unavyokula
Siku Kaa Chini , Ukiwa peke Yako Anza
Ku-analyze Kila Kinachoendelea
Kwenye Maisha Yako.
( Jifunze Kujihusu WEWE )
...
FRANCIS | ABRACADABRA
Sir Kelvin retweeted
If you are attending #WHA79 in Geneva, don’t miss FDI’s high-level side-event [𝐈𝐍-𝐏𝐄𝐑𝐒𝐎𝐍 𝐨𝐧𝐥𝐲] on 𝐨𝐜𝐜𝐮𝐩𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧𝐚𝐥 𝐨𝐫𝐚𝐥 𝐡𝐞𝐚𝐥𝐭𝐡 co-hosted with the Governments of Republic of Ireland, Republic of Mauritius and Malaysia, taking place tomorrow.
📍Hotel Royal Geneva
🕗18.30–20.30 CEST (a networking reception will follow)
Register to receive more information on the event. 👉 bit.ly/4cMWR12
Sir Kelvin retweeted
Matibabu ya Mzizi wa Jino (Root Canal Treatment) kwa Kiswahili!
Sehemu ya kipindi nilichofanya Pale @azamtvtz kwenye kipindi cha The Trumpet!
Kumbuka kumtembelea dentist wako leo kwa uchunguzi na matibabu!
#DentalCare #OralHealth
Sir Kelvin retweeted
Ukitaka kuelewa kwanini
Ni Ngumu Kuacha Addiction
Ulizonazo.. Unatakiwa
Kujifunza Namna "Subconscious Mind"
Inafanya kazi Ndani ya Mwili, Nafsi, Roho Yako
....
FRANCIS | ABRACADABRA
Sir Kelvin retweeted
There are basically 5 ways to accumulate a billion dollars:
1) Profiting from a monopoly
2) Insider-trading
3) Political payoffs
4) Fraud
5) Inheritance
Don’t believe the self-made myth.
Readers added context they thought people might want to know
Research shows most billionaires accumulated wealth by founding and building successful companies. A University of Chicago study found 69% of the 2011 Forbes 400 started their own businesses.
chicagobooth.edu/review/billion… heritage.org/taxes/report/t…















