itembaD (@d_itemba) header
itembaD (@d_itemba) profile picture

Human being|Person, Lawyer, Road Safety Ambassador, Upcoming Artist👊🏽, Views my own!

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2019
Champions find a way. Always. @Arsenal 🔴
231
3,174
112
35,388
569,712
itembaD retweeted
🇫🇷🙌 Arsene Wenger was the FIRST person to receive Strasbourg's 120th anniversary shirt. 💙✨ Wenger was born in Strasbourg and also played for the club in the late 70s and early 80s.
17
755
18
10,644
238,100
Alexis Sanchez knew how to put on a show 🍿
204
1,518
187
16,693
1,249,815
Qué bueno era Henry.
98
1,327
119
22,437
1,097,548
itembaD retweeted
🇧🇪🪄 Leandro Trossard (31) registered a HAT-TRICK of assists for Beşiktaş! ⚫️⚪️🎩
91
987
146
17,335
574,725
itembaD retweeted
@TawlaTZ tumeandaa kikao cha kimkakati na Maafisa wa @judiciarytz (Judicial Officers) kilichojumuisha Mahakimu, Wasajili wa Mahakama, Majaji wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani nchini Tanzania ili kujadili na kuweka msisitizo kwenye matumizi ya misingi ya haki za binadamu na usawa wa kijinsia katika kuzuia na kukabiliana na Magonjwa Yasiyo ya Kuambukiza (NCDs). #FOPL #TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC #UsawaWaKijinsia #HakiHainaJinsia
2
7
7
156
itembaD retweeted
Kikao hiki kimesaidia: - Kuanzisha mijadala ya kina kuhusu uhusiano uliopo kati ya Haki za Binadamu, Usawa wa Kijinsia, na Afya. - Kuangazia mchango mkubwa wa sekta ya sheria na mahakama katika kuhamasisha afua zenye usawa kwa ajili ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza (NCDs). #FOPL #TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC #UsawaWaKijinsia #HakiHainaJinsia
2
6
5
151
itembaD retweeted
Pamoja, tunaendelea kusukuma mbele afua zinazolinda haki na usawa wa kijinsia ili kuleta matokeo bora ya kiafya na ustawi wa jamii nzima. @IncubatorGHAI @IILAinfo @CefrohtUg @IDLO @judiciarytz #FOPL #TransFatFreeTZ #TransFatFreeEAC #UsawaWaKijinsia #HakiHainaJinsia
1
6
5
127
itembaD retweeted
@TawlaTZ Ofisi ya Dar es Salaam tumeshiriki katika uzinduzi wa Awamu ya 2 ya @MsLACampaign katika Viwanja vya Maili Moja, Pwani. Wanasheria wetu Wakili Lightness Raimos na Arthur Ashery wametuwakilisha kwa: -Kutoa elimu ya sheria na huduma za msaada wa kisheria. - Kugawa machapisho na kueleza shughuli za @TawlaTZ . #MamaSamiaLegalAidCampaign #HakiHainaJinsia
2
3
87
itembaD retweeted
@TawlaTZ is seeking for a dedicated Council Project Coordinator to join our team and contribute to meaningful impact in Uyui District, Tabora. Interested candidates are invited to apply. For application details and requirements, click a link below or on our bio: tawla.or.tz/council-project-… - Send applications to: recruitment@tawla.or.tz - Deadline: 6th November 2026. #JobOpportunities #HakiHainaJinsia
8
10
151
itembaD retweeted
Ungana nasi kuwataka @TBS_Tanzania @wizara_afyatz @ViwandaBiashara kupitisha sera zitakazowalazimisha watengenezaji, wasambazaji na wauzaji wa bidhaa za vyakula nchini kuweka taarifa sahihi ya bidhaa zao kwa watumiaji wa mwisho kuchagua kilicho bora kwao. #FOPL #HakiHainaJinsia
4
23
184
193,742
itembaD retweeted
Tafiti inaonesha ya kuwa alama ya onyo ⚠️ itasaidia kwa kiwango kikubwa kupunguza matumizi ya bidhaa za vyakula hatarishi kwa afya za binadamu. Tunawataka watunga sera kupitia @TBS_Tanzania kulinda afya zetu kwa kupitisha sera na kanuni zitakazolinda afya zetu. #FOPL #FOPWL #HakiHainaJinsia
8
11
275
itembaD retweeted
Tanzania imepiga hatua ya kihistoria katika sekta ya afya ya jamii na lishe kwa kuzindua rasmi Mwongozo wa Mfumo unaoainisha kiasi cha Virutubishi katika Vyakula (Tanzania Nutrient Profile Model-TzNPM, 2026) Kwa nini NPM ni silaha muhimu dhidi ya magonjwa yasiyo ambukiza (NCDs)? Mwongozo huu wa Kilishe (NPM) ni chombo cha kiufundi kinachosaidia kuainisha vyakula na vinywaji kulingana na viwango vyao vya virutubisho, hasa vile vinavyoongeza hatari ya magonjwa kama kisukari, shinikizo la juu la damu (presha), na magonjwa ya moyo (sukari iliyopitiliza, chumvi nyingi, na mafuta yasiyo na afya). @IncubatorGHAI @IILAinfo @CefrohtUg @tancda @IDLO #NPMLaunched #FOPL #FOPWL #PublicHealth #HakiHainaJinsia
1
6
7
153
itembaD retweeted
📢 TODAY | Panel discussion on nutrient profiling Rethinking Africa’s food environment: advancing healthier diets and NCD prevention. 🗓 Thu 5 Nov, 3:00 PM EAT 💻 Zoom: us06web.zoom.us/meeting/regi… With Alliance of African Students' Nutrition Association, Bwambale Benard, Isabella Nchimbi, @OmotoPauline, moderated by Mayaki Miracle. #NutrientProfiling @TawlaTZ @IILAinfo @KenyaNCCK @ncdalliance @SEATINIUGANDA @CefrohtUg @slowfooduganda
8
12
387
itembaD retweeted
What does the evidence say about FOPL? Yolanda Radu, Senior Researcher at @WitsPricelessSA, unpacks why Front-of-Pack Warning Labels matter for public health. 34 days left to call on Minister Motsoaledi to approve R3337 by 10 December 2026! Watch: bit.ly/48BRBLN
3
3
414
itembaD retweeted
Imagine knowing instantly if a food is bad for your heart. That is the power of Front-of-Pack Labeling (FOPL). We are calling on @TBS_Tanzania to adopt a mandatory #FOPL framework. @IDLO @IncubatorGHAI @IILAinfo @CefrohtUg @DanielMzena #FOPL #FOPWL #HakiHainaJinsia
1
8
9
166
"Shirika la Afya Duniani (@WHO ) linashauri viwango vya iTFA visizidi gramu 2 kwa kila gramu 100 za mafuta. Nchi 66 tayari zimeweka sheria hizi, lakini Afrika bado kuna pengo kubwa." Julia Untoro | @WHO @TawlaTZ #EACFoodStandards #TransFatFreeEAC
4
5
106