ZEE LA UKOROFI retweeted
She unblocked her Ex to ask him some questions and itβs heartbreaking ππ
ZEE LA UKOROFI retweeted
Darkest Female Secrets that NO woman wants you to know!
-Dark Female Psychology Thread-
ZEE LA UKOROFI retweeted
Huwezi Kuwa Single Milele Na Wala Hutaweza Kuteswa Na Mapenzi Milele,Nipo Hapa Kukuhakikishia Ipo Siku Utakufa Upumzike π
ZEE LA UKOROFI retweeted
Vitu Vitatu Vya Kuepuka Ukiwa Kama Kijana.
1. Mwanamke aliekuzidi shida.
2. Kunywa pombe kupita kiasi.
3. Starehe na kubeti.
ZEE LA UKOROFI retweeted
Hiyo point ya Vijana tunapenda Raha Haina mashiko ndio maana hata Wewe uko bungeni sio shambani kwenye huu mjadala...Pili Hizo fursa unazozisema tutaweza vipi Sisi vijana kuzifanya bila ninyi watunga Sera kutupa Sera Bora na Serikali kutuwezesha.
Replying to @YupacYossouf
Kama umepata nafasi za kuajiriwa ajiriwa Lakini Nchi yetu Ina uwanda mpana wa fursa kuanzia ardhi mpaka watumishi.
Pesa ipo nyingi mtaani ni jukumu lako tu kuifanya iwe yako hapo unahitaji akili,hasira,uvumilivu,nia na ubunifu.
Vijana wengi mnapenda pesa rahisi na starehe tu





























