Pinned Tweet
We just relocated,
From Yombo 2 UDSM to Changanyikeni.
Every step, everywhere, we need to worship together and foster our Christian fellowship!
Karibu sana to our new place!
#ChuoKikuuSDA #Changanyikeni #KaribuSana #WeWelcomeYou
Karibuni kwenye ibada ya Maombi ya Alfajiri na Gideon Misango.
Jumatano, Machi 4, 2026 · 11:00 – 11:30 (Alfajiri), saa za Afrika Mashariki (Dar es Salaam).
Kiungo cha Google Meet: meet.google.com/yjh-tyyu-jgg
#ChuokikuuSDA – at Tanzania
3
85
Karibuni kwenye ibada ya Maombi ya Alfajiri na Mch. Baraka Masalu.
Jumatano, Februari 18, 2026 · 11:00 – 11:30 (Alfajiri), Masaa ya Afrika Mashariki (Dar es Salaam).
Kiungo cha Google Meet: meet.google.com/yjh-tyyu-jgg
#ChuoKikuuSDA – at Tanzania
1
62
Wanadamu tumeumbwa na kupewa utashi zaidi ya viumbe wengine wote. Katika jamii ya wanadamu hakuna aliye bora zaidi, sote tuna thamani sawa mbele za Bwana.
Leo chagua kufanya jambo moja la wema kwa makusudi.
#Day03
#JumalaUwakili
#ChuokikuuSDA – at Tanzania
1
3
138
Karibuni kwenye ibada ya Maombi ya Alfajiri na Mzee Nelson Korigwa.
Jumatano, Februari 11, 2026 · 11:00 – 11:30 (Alfajiri), Masaa ya Afrika Mashariki (Dar es Salaam).
Kiungo cha Google Meet: meet.google.com/goj-esry-zkx
#ChuoKikuuSDA – at Tanzania
3
96
Je unafahamu hata uhai wako ni uwakili? Kristo alitufunulia tabia iliyo ya tofauti na Ile ya Shetani alipoutwaa ubinadamu na kuishi nasi.
Tulipewa na yeye kwa ajili yake na kila mzao wa Adamu atafahamu kuwa Mwumbaji wetu ni rafiki yetu daima.
#Day02
#JumalaUwakili
#ChuokikuuSDA – at Tanzania
3
148
ChuoKikuuSDA retweeted
Kila mmoja anapaswa kuishi kulingana na uwezo wake wa kipato, huku akiwa na vipaumbele sahihi na mtazamo sahihi kuhusu mali
Bonyeza: youtu.be/t8dHwnjNfzA?si=ezFA… Ili kujifunza zaidi.
#backtobasics
#alabasterthings
Tumeumbwa na Mungu, kwa ajili ya mpango uliosukwa tangu kuwekwa misingi ya dunia.
Hata mali zetu tumepewa na yeye Kwa ajili yake maana hata bahari hupokea maji kutoka katika vijito katika nchi ili kuyatoa maji hayo daima.
#Day01
#JumalaUwakili
#ChuoKikuuSDA – at Tanzania
5
134
Karibu tujumuike pamoja katika Ibada ya Sabato maalumu kwa ajili ya Uhuru wa Dini.
youtube.com/live/N_6OVhsZq6Y…
#ChuoKikuuSDA – at Tanzania
Be not dismayed or afraid for He is always with you, comforting, protecting, guiding and giving you the perfect rest you need.
Join us in praise and worship as we harmoniously raise our voices and prayers to Him, who always abides with us.
#ChuoKikuuSDA
#FridayVespers – at Tanzania
4
84
Join us this Sabbath as we learn more about religious liberty and how, with prayer and active engagement, we can do evangelism effectively for Jesus.
#ChuoKikuuSDA – at Tanzania
4
105
ChuoKikuuSDA retweeted
Tunaungana na familia ya Musa Mang’era katika maombolezo na maombi ya faraja.
Pumzika kwa amani Mama. 🙏🏼
#thelightbearerstz #LBUpdates #LB26 #LBFriends













