CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize) profile picture

Tembea mwenyewe ili kupima uwezo wako wa kufika mbali ukiwa mwenyewe•|| Christian•|| TAC Member•|| YDHHM Staff Member•||

Tanzania
Joined December 2021
Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)Photo by CHAKADIZE JR🇺🇸 (@chakadize)
CHAKADIZE JR🇺🇸 retweeted
Ili kufanikiwa, lazima uondoe vitu viwili: hofu ya kushindwa na tamaa ya matokeo ya haraka.
2
9
18
467
Sister Miriam na Jacob Zuma
Sasa hivi Pass ndefu ni kawaida sana Piga mlo wako mmoja saa tisa 😂tunakutana kesho tena, ukubwa ni scam🚶‍♀️
1
1
45
MO29
Kuna Mjadala uliwahi kuchukua muda mrefu hapa nchini kama wa Bandari?
52
Hii nimekumbuka 2008- 2016, Temeke mitaa ya Yombo Kilakala maeneo ya Bakwata, alikuwepo jamaa alifaamika kwa jina la JOLO, alifanya watu waishi kwa shida sana. 2017 alizolewa akapelekwa kituo cha polisi Chang'ombe aliporudi akawa hana makali, akaanza kuokota makopo,
Hawa Madogo waliilaza baadhi ya mitaa ya Arusha saa 11 Jion.Siku wanakufa ile mitaa walishangilia sana.
159
Yote hii ni kuhakikisha kijana anapata tambo
Replying to @INFLUENCERjr
Njoo na kadi ya chama
28
Msaada tutani Kwa mtu anaetaka kuwa muuzaji wa simu used( mfano, mtu anakuletea simu anasema anauza ili ununue kisha na wewe uuze) Je unatakiwa kuzingatia nini ili kukwepa kununua simu za wizi na ambazo zimesha tolewa taarifa polisi.? @bonifacejoseph_ @NjiwaFLow @MrDepalitto9
1
2
2
362
@gabyconscious @Cowwbama Naomba mniwie radhi kwasababu nimewa tag bila ridhaa yenu. Natanguliza shukurani
1
38
Brother, hii ni bei gani.?
Laptop kuanzia bajeti ya 250,000/= tunazo dukani kwetu Piga simu ☎️0788106694 DSM FREE DELIVERY UTALIPIA MZIGO UKIKUFIKIA
20
Nidhamu ni kitu cha msingi sana. Hili wazo nami nimelipokea, nalifanyia kazi.
Kuna dogo mmoja ni kinyozi hapo makumbusho ( akachube road).. Ni mpambanaji na ana nidhamu pia, . Hapo alipo kwa sababu ni saloon ya kawaida kwa siku boss anataka 15,000, nikamuuliza nini malengo yako ni yapi akashindwa kujibu, nikamuuliza unajiona wapi baada ya miaka miwili,.. Nilichogundua ni kwamba vijana tunafail kuplan hivyo we do plan to fail,. Bhasi nikamwambia mimi nakuona una saloon yako mwenyew mwaka ujao, akasema inawezekanaje,. Nikamwambia jinyime nakufungulia bank account then kila siku utatunza 4,000 tutadeposit total kwa kila week.. hapo ni average ya 100,000 kwa mwezi ... ni mwezi wa 3 huu hajafail, means mwaka unaisha ana more than 1.2mil... Kupitia Nidhamu, Inawezekana, kuifanya fursa ndogo kuwa ndoto kubwa🙏💯..
26
Ameen.
This post is from a suspended account. Learn more
8
CHAKADIZE JR🇺🇸 retweeted
Kuna nyie ambao mna mazuri mengi kuliko mabaya, Na Kuna sisi ambao mabaya yetu yanafunika mpaka mazuri yetu. Lakini neema ya Mungu haijawahi kutuacha hata sekunde moja. 📌
2
1
7
225
Ni kubwa ndio,sasa unamuombaje mwenzio mshahara wa miezi mitatu. Kama unaona ni ndogo mtumie wewe.
Ivi bado kuna wanaume ukiomba 100k wanaanza kuona ni pesa kubwa 😔😀
44
Naomba tu RT ili ifike mbali.
UKIONA HII REPOST Nimetoka kuongea na Ofsa Kiduku hapa kwa urefu kidogo. Kwanza mwana anashukuru sana kwa Love Mliyoonyesha kwa kupaza Sauti, lakini pia kasema niwaambie kuhusu Afya yuko sawa na amedai kuna watu walikuwa wanaendelea ku show Love mpaka huko kituoni mwana anasema alikuwa anakula vizuri tu kwasababu ya U Familia wenu. 🙏 Jambo lingine ambalo hakuniomba nililete ila mi nalileta kwenu baada ya mimi kumuomba akubali nililete ni hili. Mwana ametoka kwenye matatizo hana Simu na kwa bahati mbaya ilikuwa ni muda wa kodi umekaribia na hajafanya kazi wiki akatuomba kama wana tufanye linalowezekana apate kodi na simu. Ila tunajua kiume mwana ana changamoto zaidi ya hizo ila hawezi sema nikaona kidogo tutachochangia na wana tumchangie chochote kile maana kodi 600k na simu kwa biashara yake hawezi tumia kitochi lazima apate tambo. Mimi na Sativa tutachangia 300K iliyobaki wengine tunaweza changia kwenye hii namba ya Mtu wake wa karibu maana yeye hana laini wala simu. Namba 👇👇👇 0657523001 YAHSINTA CHUWA REPOST REPOST
94

89
906
50
1,590
244,961
Mungu afanye wepesi urudi mtaani ukiwa salama na mwenye afya imara, ili uendelee kutekeleza majukumu yako ya kutafuta mkate wa kila siku kwaajili ya familia yako. #FreeKiduku
15
Watu wengine huchagua kutembea peke yao, si kwa sababu wanapenda, bali kwa sababu usaliti uliwafundisha kuwa upweke ni salama zaidi kuliko kuzungukwa na uaminifu wa uongo
2
65
3
364
21,995
CHAKADIZE JR🇺🇸 retweeted
Kama unafanya jambo lolote kuboresha maisha yako, jivunie, haijalishi uko katika hatua gani..✍️
2
5
5
423
Wakati mwingine unyenyekevu, uaminifu na wema wako unawafanya watu wafikiri wanaweza kukuchezea.
12
81
437
22,407
Ujumbe mkubwa sana bro. Brother huwa ananiambia kuwa nitakufa maskini kwasababu ya huruma zangu lakini huwa namwambia sawa tu yamkini ndo Mungu amepanga iwe hivo.
Kama mshkaji akikuomba msaada na ukimsaidia haita damage mfuko wako msaidie. Kuna watu ukiona mpaka wamekufuata kukuomba msaada maji shingoni na ukimsaidia unakuta umesaidia Cheni ndefu nyuma yake.
54
CHAKADIZE JR🇺🇸 retweeted
Viongozi wetu, hawafikiri kuhusu Vijana wa nchi hii wasio kuwa na ajira, wasiokuwa na Ujuzi, wasiokuwa na Mitaji, Umaskini wa Vijana katika nchi yetu umepandwa kwasababu ya Sera Mbovu za nchi. Hakuna sera zinazogusa Vijana na Rasilimali zao za Asili. Tupiganie Mabadiliko.
1
2
6
162