Benjamin retweeted
I’m happy to share that the Central Bank of Tanzania (BOT) @BankOfTanzania has granted @SwahiliesPay our own Payment Service Provider (PSP) License.
Over the past few years, we have worked with more than 15,000 SMEs through bookkeeping and embedded finance solutions. This license now allows us to build and launch our own financial products directly with licensed partners, while also serving businesses with higher transaction volumes.
We are getting back to work, focused on building bigger things for businesses across Tanzania and Africa!
Benjamin retweeted
Tulianzisha @SwahiliesPay Geto, Sinza, Dar Es Salaam lakini leo huduma zetu kama @KuzaBusiness zinatumiwa na wafanyabiashara zaidi ya 10,000 huku tukiungwa mkono na wawekezaji kama @baobabnetwork @ennovateventure na mashirika kama @undptz .
Bado Hatujafika tunapotaka kufika lakini safari yetu imetufundisha kwamba ukubwa ni swala la muda tu.
Wakati tunazungumza na wafanyabiashara mbalimbali wanaotumia na wasiotumia @KuzaBusiness tuligundua hata wao hawakuanza kwa ukibwa lakini wamepiga hatua.
Ndiyo maana tumezindua rasmi safari ya Ukubwa ni swala la muda.
Tutarekodi hadithi za wafanyabiashara 100 Dar es Salaam na mwisho tutatoa ripoti maalumu ya kile tulichojifunza kuhusu ukuaji wa biashara ndogo.
Ungana nasi @KuzaBusiness kwenye safari hii.
I like the way @NMBTanzania has marketed their wearables saying nothing about NFC
2
184
So @VodacomTanzania mmeshindwa kuwa na internet ya kueleweka tokea November mmmmh
1
173
Benjamin retweeted
At @SwahiliesPay 2025 was a year of validation and preparation for scale.
Now Validated, Backed, Ready To Scale! 🎉🎉🎉
I have been at the gym during this festive season, I noticed the same disciplined people still showing up.
It made me realize that success in life isn’t just lucky, it’s consistency 🚀
















