
Husband| Father| Brother| Gypsy| Chief Executive | #VodaFam🇹🇿
- Tweets2.9K
- Following1.3K
- Followers4.6K
- Likes7.2K

ALT Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akizungumza wakati wa kikao chake na ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya hiyo, Bw. Philip Besiimire (hayupo pichani), jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo.

ALT Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (katikati), akizungumza wakati wa kikao chake na ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania (kulia) ulioongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya hiyo, Bw. Philip Besiimire, jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo.

ALT Ujumbe kutoka Kampuni ya Vodacom Tanzania ukiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni hiyo, Bw. Philip Besiimire (kulia), ukimsikiliza kwa umakini Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), wakati wa kikao chao kilichofanyika jijini Dodoma, ambapo wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo.

ALT Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (wa tano kulia), na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Vodacom Tanzania, Bw. Philip Besiimire (wa tano kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Vodacom Tanzania pamoja na Maafisa wa Wizara ya Fedha, baada ya kumalizika kwa Kikao chao, jijini Dodoma, ambapo katika kikao hicho wamejadiliana masuala mbalimbali ya kuimarisha ushirikiano na uwekezaji kati ya Serikali na Kampuni hiyo.














































