Benedict Adolf retweeted
Paid Course for free
1. Artificial Intelligence
2. Machine Learning
3. Cloud Computing
4. Ethical Hacking
5. Data Analytics
6. AWS Certified
7. Data Science
8. BIG DATA
9. Python
10 MBA
(48 Hours only )
To get:
1. Follow @kamran4300
2. Like & retweet
3. Reply "course"
Benedict Adolf retweeted
Najua una maswali mengi kuhusu uzazi wa mpango, shiriki nasi kwa kuarika marafiki zako na nyote muulize maswali pamoja na kuomba ushauri wa kitabibu kuhusu uzazi wa mpango tarehe 25/08/2022 saa 12 jioni kupitia Instagram LIVE.
Benedict Adolf retweeted
Kuanzia 1 august 2022 hadi 8 august 2022 @SoilaPlc tutakuwepo katika viwanja vya maonyesho ya Nanenane Mkoani Morogoro. Njoo upate fursa ya kuijua SOILA PLC na uweze kuwekeza nasi.
Benedict Adolf retweeted
Replying to @primemediakenya
@KenyanprimeNews @kipala_artwork @silabuapp @Fredrick_issah @Adventure_36 @ModestaZ7 @GylanV @ummymwalimu @InnocentMagesa7 @KagutaMuseveni
Retweet plz
Benedict Adolf retweeted
Wazazi wangu wamekuwa wakinihusia sana katika kusubir ili nijijengee msingi bora wa maisha,wanapenda na kunihimiza kutumia mfano wao katika kuwa na subira ili niwe baba bora hapo baadae hakika wanayaongoza maisha yangu na familia yangu.
Je, nani anakushawish katika maisha yako?
Benedict Adolf retweeted
Ndoto zangu ni kufanya biashara sehemu kubwa ya Tanzania na nje ya Tanzania,napendelea kuzunguka sehemu nyingi kutafuta wanunuzi wa bidhaa zangu,mimba iliyopangwa inaweza kuathir muenendo mzima wa biashara yangu ndo maan nasubir wakat sahihi.
Je,ni nini malengo yako??
Benedict Adolf retweeted
Nlipokuwa na umri wa miaka 13-21 sikuweza kuhimili kuwa na mtoto hata sasa pia bado,kuwa na mtoto sasa kutasimamisha mienendo ya biashara zangu.mtoto ni baraka na ningependa kumpata miaka mitano mbele zaid ili nifurahie zaid.
Je, kuwa na mtoto wakati huu kunakuathiri vipi??
Benedict Adolf retweeted
Wazazi wangu wamenilea katika misingi mizuri ya kusubiri muda sahihi wa kujenga maisha mazuri kwa sababu kila jambo lina wakati wake, hunisihi sana kufuata mfano wa maisha yao ili niwe baba bora wa familia yangu hapo baadae.
Je wewe wazazi wako wanaathirije maisha na ndoto zako?
Benedict Adolf retweeted
Je unafikiria maisha yako yatakuwaje baada ya kuoa/kuolewa na mipango yako kutimia?
Benedict Adolf retweeted
Mtoto ni baraka kwenye familia, kuwa na mtoto sasa hivi kunaweza kunichelewesha kufikia ndoto zangu za muda mrefu, kwa sababu nguvu kubwa nitaihamishia kwenye malezi ya mtoto, ningependa kuwa na mtoto baada ya miaka mitano
Je kuwa na mtoto sasaivi kunaathirije ndoto zako ?
Benedict Adolf retweeted
Nikiwa kijana mwenye malengo ya muda mrefu kufikia mafanikio niliyopanga kumiliki kampuni kubwa ya utalii, ninapaswa kuhakikisha ninapanga uzazi na kuzuia mimba zisizotarajiwa ili kufikia ndoto yangu ya muda mrefu.
Je wewe ndoto au malengo yako ya muda mrefu ni yapi?
Benedict Adolf retweeted
Baada ya mipango yangu ya kibiashara kutimia,nafikiria kuwa na familia bora na yenye furaha na afya bora zaid.pia nafikiria kuwa na miradi mingi na mizuri hata nitakapooa nitakuwa karibu zaid na familia yangu.
Je,unafikiria maisha yako yatakuwaje baada ya kuoa/kuolewa ??
Benedict Adolf retweeted
New project Buyuni beach Kigamboni
Bei ni 6500/- kwa sqm moja
Kwenda site ni kila jumamosi BURE
Piga simu: 0621 311 728 ๐
Au fika ofisini kwetu Manzese Bakhresa- Cyprus Building karibu na ofisi za tigo
Benedict Adolf retweeted
๐งต๐ชกโฆ
Kipimo cha IQ ni njia pekee inayo aminiwa kupima uwezo wa akili za mtu kwa kawaida binadamu wengi wana IQ ya kuanzia 90 mpaka 110 lakini watu wachache sanaa wana IQ level ya kuanzia 140 na kuendelea hii hapa list ya watu wanaoaminikia kuwa na akili hadi kufikia mwaka 2017
Benedict Adolf retweeted
Haya Mitambo Ya Kwenda Hii Hapa, Jipatie ๐๐พ
โช๏ธRealme C11 (2+32) - 300K
โช๏ธSamsung A02 (3+64) - 350K
โช๏ธRedmi 9A (2+32) - 270K
โช๏ธOppo A54 (4+128) - 560K
โช๏ธRedmi Note 10s (8+128) - 680K
๐Uhuru/Msimbazi, Kariakoo
๐ 0745100757
@SimuZaNjiwa
Kindly Retweet Kijana Mwezetu Apate Tonge
Benedict Adolf retweeted
Tafuta pesa zako, Kuwa na Mpenzi mmoja wa ndoto zako, mkumbuke muumba wako. Halafu ishi maisha yako


































