just because retweeted
At every wedding, there’s always a guy who has slept with the bride and is just chilling in the tent waiting for food. 😂😂
Ukipata mtoto mapema kabla ya kujipata chances za kutake risks zinapungua.
Na ukitake risk lazima usacrifice welfare ya mtoto wako.
34
Watu wengi wanao ongoza kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu mara nyingi huwa hawaja-achieve kitu cha maana kwenye maisha yao.
13
Sometimes we can't blame people who con others because the stupidity of the masses is very intimidating.
14
There is a sense of calmness in talking(mostly portrayed as laziness) when someone is being consumed by too much wealth or knowledge
7
Kuna aina ya watu ni wasenge sana. They can't be saved from their own misery. No wonder matajiri wataendelea kutunyonya maana inashawishi kuwanyonya watu ambao hawajielewi.
16
just because retweeted
Tumetengeneza PITIA, platform ambayo ukiwa unasafiri Dubai, China au Tanzania unaweka safari yako, watu wenye mizigo wanakupata, mnawasiliana na kukubaliana bei pitia.online
Ili watu wasishtuke kama unafanya marketing, andiko kama hili utakuja tena kulitoa baada ya miezi 6. Hehehee.
Unajua unaweza kupoteza thamani ya TSh MILIONI 1.8 kwa mwaka bila hata kutumia pesa zako? 😳🇹🇿
Mfano: Mshahara wako ni TSh 2,000,000 kwa mwezi = TSh MILIONI 24 kwa mwaka.
Januari 2026:
💵 $1 = TSh 2,470
💰 Milioni 24 = $9,717
Novemba 2026:
💵 $1 = TSh 2,654
💰 Milioni 24 = $9,043
Yaani mshahara wako wa mwaka, ukipimwa kwa dola, umepungua thamani kwa $674 (takriban TSh milioni 1.8)!
Hujapunguziwa mshahara, lakini uwezo wa pesa zako kununua vitu vinavyouzwa kwa USD umepungua.
Sasa badala ya kulalamika, tufanye nini? 👇
- 🇹🇿 Wekeza kwenye hisa za DSE
- 🏦 Angalia Treasury Bills na Bonds za Serikali
- 💵 Hifadhi sehemu ya akiba kwa USD
- 📈 Wekeza kwenye mifuko ya pamoja kama UTT AMIS
- 💼 Jenga chanzo kingine cha kipato
Usifanye kazi kwa ajili ya pesa tu. Hakikisha pesa zako pia zinafanya kazi kwa ajili yako.
18











