Eng anamlqzimisha kocha fadlu Davis kupeleka kadi ya review kwa mwamuzi basi nae kocha akafanya kweli ety😀😀🙌
Ausi junior retweeted
Watoto washenzi hawa kutoka Lindi walitaka kutudhalilisha 😁 #NguvuMoja
Ausi junior retweeted
Bilionea @moodewji wewe ni mwanachama mwenye vigezo vyote, ikikupendeza chukua fomu uwe Mwenyekiti wa Wanachama. Kama hili ni gumu basi watakaochukua fomu wewe niambie tu unamuunga mkono nani halafu suala la kampeni niachie mimi. Tunataka Mwenyekiti anayeweza kuvaa jezi ya klabu.
Ausi junior retweeted
Kuna watu kila siku wanaharibu image za watu ila wao wakiguswa kidogo tu milio 😁
Ni mwezi sasa umepita sijaona post ya kijana wetu @mchizidamas where are you mamen
1
1
43
Kuna namna Manchester United inatushangaza sisi washabiki yani juzi kati uwanjani kwetu lulikuwa na maombi ya kwenda lakini hivi vipigp mmmh hapana aisee🙌🙌🙌
Ni rahisi sana kwa huyu jamaa kujificha kwenye ukweli tatizo la team linaanzia kwake kwa kuzidisha mazoea na wachezaji kuishi kwa mazoea na kusahau misingi ya kupambania badge ya team
2
4
101
If the poor performance of your team is due to the poor tactics of this dude Why few days ago you were blaming about doping on your rivals Simba?
Sema ukweli ni kwamba hapa coach ndio katolewa kafara tu ila matatizo ni uongozi kuishi maisha ya kisela na wachezaji kiasi kwamba mchezaji anakuwa huru kujiamulia mambo
Kuna siku nikiwa pale KCM stadium kwenye game ya simba queens dhidi ya yanga Princess baada ya game nikamsikia Godyyanga akisema team yao huwa inawqsikiliza sana mashabiki
NB:hata hili ni msukumo wa mashabiki
1
71
Kuna siku nikiwa pale KCM stadium kwenye game ya simba queens dhidi ya yanga Princess baada ya game nikamsikia Godyyanga akisema team yao huwa inawqsikiliza sana mashabiki
NB:hata hili ni msukumo wa mashabiki xitter.cf/ausi_junior/status/211…
1
54
























