Archaeopteryx retweeted
How about you copy that fucking GIF link, roll it into a tiny little ball, shove it so far up your rancid arse that your ancestors have to dig through three generations of bullshit to retrieve it
Nakuelewa ila hizo taarifa haziwafikii wengi kama page haina engagements, kadiri page ni popular ndio contents zake zinakuwa pushed kwa watu
As long as tunataka kurasa rasmi za taasisi za serikali kuchangamka kwenda na wakati whatever ila lazima tujue sio sehemu za memes na utani, ni sehemu za wananchi kupata taarifa rasmi za huduma zinazotolewa.
817
Watu wako excited ila thaman ya hii ni kama 1B $ tu hivi
Tanzania has discovered 223 billion cubic feet of natural gas in the Mnazi Bay Block, its first reported new gas discovery in more than a decade.
thecitizen.co.tz/tanzania/ne…
76
Archaeopteryx retweeted
Tanzania has discovered 223 billion cubic feet of natural gas in the Mnazi Bay Block, its first reported new gas discovery in more than a decade.
thecitizen.co.tz/tanzania/ne…
Archaeopteryx retweeted
Mradi wa Reli za Mjini 'Monorail' mbioni kuanza Dar es Salaam ikiwa hatua ya upembuzi yakinifu inaendelea.
“Tulipata ufadhili ya Serikali ya Sweden kupitia mfuko wao unaitwa SWEDFUND. Ambao walitupa fedha kwa ajili ya kufanya upembuzi maandalizi ya ujenzi wa huo. Mfumo unaojulikana kama Monorail, ambao utaanzia Mwenge, utapita barabara ya Sam Nujoma. Na pia tunaangalia kupitisha ‘parallel’ na barabara ya Morogoro Road, tutapita Bibi Titi Road tutarudi tena Ali Hassan Mwinyi halafu tutarudi Mwenge. Na pia tutakuwa na tawi la kuelekea uwanja wa ndege wetu wa kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere. Hiyo kama ‘phase’ ya kwanza," amesema Mhandisi Machibya Shiwa.























